Naona bado unaendeleza ujinga wako. Uliquote Sheria ya Bajeti kifungu cha 8 kwa confidence zote, sasa unabadilisha kifungu cha 41. Hii ni ishara kwamba hujui unachojadili, unataka uandike tu ili kufurahisha baraza kwa wale ambao hawaelewi. Again nakushauri soma, jifunze, achana na ushabiki maandazi unadumaza ubongo wako.Mkuu hiyo sheria Namba 11 nililenga kifungu cha 41 (1) kwamba pesa isipotosha iwe ya mkopo au mapato ni lazima mini budget mpya iletwe bungeni. Kwahiyo kma ukikopa/kuongezewa fedha nje ya allocation bila ya kupita bungeni ni kuvunja sheria so naomba unipe sheria inayoruhusu waziri kukopa/kupewa fungu zaidi ya lililoidhinishwa bila kuidhinishwa na bunge.
Mfano bajeti ya 2017/18 wizara ya TAMISEMI iliidhinishiwa 8 Trl ila kufikia machi 2018 walipewa 17 Tri. Je huoni mamlaka ya bunge yaliporwa?
2. Pia Nmetoa provision hapo ya Public audit Act inayotoa fursa ya wizara kujibu hoja za CAG ndani ya siku 21 ila ww umedai eti fursa hiyo inapatikana ripoti ikifika kwa kamati. Je hizo siku 21 huwa mawaziri wanafanya nini? Je huoni kuwa querries za CAG mpaka kufika bungeni ni conclusive (At least kwa mipaka ya CAG) na sio provisional !!!
3. Kuhusu serikali kukopa zaidi ya ukomo bila idhini ya bunge. Kinyume na public finance act 2001 Sec. 18 (3-4) screenshot hiyo hapo ya CAF report 2016/17
View attachment 1521738
4. Kuhusu Mbowe mpka ssa hujaja na kidhibiti chochote zaidi ya kelele tu ilihali hujawahi ona hta financial statement moja ya CHADEMA. Kwahiyo hearsay zako ni kelele tu bila ushahidi.
Nadhani my facts are straight mpka hpa ssa ningeomba majibu tafadhali.
Kifungu cha 41 (1) cha Sheria ya Bajeti kinaongelea kuhusu Uhamisho wa Fedha (Re allocations of Funds). Nanukuu " An accounting officer may, upon by the Minister, re allocate funds from the authorised expenditure. Ambapo kwa tafsiri rahisi inasema kwamba, Afisa Masuuli anaweza kufanya uhamisho wa Fedha zilizoidhinishwa na Bunge baada ya kupata idhini kutoka kwa Waziri wa Fedha.
Sasa hapo wapi ilipoelezwa kuhusu Serikali kutakiwa kupata idhini ya Bunge kabla ya kukopa? Nadhani mpaka hapa utakubaliana namimi nikikuambia una uelewa mdogo au kuna mahali unacopy desa ambalo linakupotosha.
Kuhusu Public Audit Act, ambapo Wizara/Taasisi zinazokaguliwa na CAG kutakiwa kujibu hoja ndani ya siku 21. Ufafanuzi ni kwamba, CAG anapokagua na kukawa na Audit Query anatoa hizo siku 21 ili kupewa ufafanuzi kabla hajaandika kwenye taarifa yake. Zikipita hizo siku 21 hajapata ufafanuzi ndo anaiandika kwenye taarifa yake na hivyo Wizara/Taasisi itakwenda kutoa ufafanuzi huo mbele ya Kamati ya Bunge ya PAC. Kwasababu taarifa za CAG end consumer wake ni Bunge. Anafanya kazi zake kwa niaba ya Bunge siyo nyinyi watu wa mitandaoni.
Ndo maana, nilikuambia unapotoka kusoma hoja za CAG ili uzielewe vizuri ni lazima pia usome na taarifa ya Kamati ya PAC. Kwasababu Kamati ndo ianachambua hoja zote za CAG na baadae inawaita wahusika pamoja na CAG mwenyewe kwa ajili ya kujadili hizo hoja. Kama Wizara/Taasisi itashindwa kutoa majibu ya kueleweka ndo hiyo hoja inakua valid na Kamati inapeleka taarifa bungeni ili Bunge liishauri Serikali juu ya hatua za kuchukua. Na hiki ndo kilichotokea hata kwenye ile 1.5T. CAG aliweka kama Audit Query lakini baadae Kamati ilivyochambua katika taarifa yake iliyowasilishwa Bungeni ikasema hakuna upotevu wowote. Sasa nyinyi mnaposoma taarifa za CAG huwa mnaconclude kabla Kamati ya Bunge haijafanya uchambuzi wake. Hoja za CAG ni Audit Query na si vinginevyo. Taarifa ya PAC ndo final ambayo inatoa sasa conclusive opinion ya hoja za CAG.
Kuhusu ufisadi wa Mbowe nauachia muda ndo utaongea. Tunaelekea kwenye Uchaguzi, tuombe mungu mpate wabunge wengi kinyume na hapo mbowe hawezi kuwa na interest na hiko chama kama ruzuku inayomwezesha kupata mil.50 kila mwezi haitopatikana tena. Atajifanya anaachia wengine waongoze baada ya mslahi yake kuisha.
Nadhani baada ya maelezo haya, sitojibu ujinga wako tena ambao umejaa uongo, ushabiki na uelewa mdogo.