Is Tundu Lissu a Moderate?

Is Tundu Lissu a Moderate?

Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na milele.

Ni kiongozi mzuri na watanzania wanamkubali....
Eti muumini wa utawala wa sheria!! Unamjua au unamsikia?
 
ccm wote mmeshajiona hamna uwezo wa kuwa rais isipokuwa dingi yenu pekee, sishangai kuona ungependa mtu anayeabudu madaraja ndiye ashike nchi kuliko mtu anayependa haki.
Hakika kukosa haki/uhuru ni kama kuishi jela. Hatupendi tuishi jela kwenye nchi yetu wenyewe.
Haki ipi?
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?
Wew nguruwe urais haupewi bali watu watamchagua kwa mapenz yao acha uchoko wewe
 
JPM atosha
 
Mkuu,Lissu ni Mwanasheria ila hilo la kuwa muumini wa utawala wa sheria linahitaji mjadala kidogo.Binafsi naona kama vile Lissu sasa maekuwa ama ni moderate au hana uhakika iwapo anautaka URAIS kweli.

Afahamu kwamba watu wanaweza kumpa KURA na kama hayuko tayari itakuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu
Kwani Magufulia alikuwa na uhakika? Kumbuka mweyewe alisema abajaribu na akasukumiwa urais
 
Ndio mkuu, vyombo vya habari vitakuwa huru kuibua ufisadi serikalini ili uchukuliwe hatua. Bunge litakua huru kuisimamia serikali bila hofu ya "mashangazi kuvunjwa viuno". Mahakama zitatenda haki sio kuwaachia mafisadi kisa tu ni CCM na kufunga wale tu wanaokuwa upinzani. Bajeti itatakelezwa kma ambavyo pesa ilipangwa bungeni bila kona kona za kufuja pesa za mfuko mkuu wa serikali.

Kiufupi kwa tafiti lukuki zilizofanyika kuna uhusiano mkubwa kati ya utawala wa sheria na maendeleo. Nadhani mifano hai unayo
Kwani waliokua wanaibua ufisadi serikalini ni vyombo vya habari? Au wao walikua wanaandika yale yanayoongelewa na wanasiasa? Halafu mbona kwenye hivyo vyama vyenu kuna ufisadi wa kutisha mbona hauongelewi? Au napo hakuna utawala wa sheria.

Tusidanganyane, tangu Serikali ya awamu ya 5 imeingia madarakani suala la ufisadi limepungua kwa zaidi ya asilimia 80, ndo maana miradi mingi mikubwa imeweza kutekelezwa. Ufisadi ungekuepo tungewasikia kina Zitto na wengine wakipiga kelele kwasbb hiyo ndo turufu kubwa ya upinzani, ukiona kimya basi ujue hakuna kitu.

Bunge na Mahakama zinafanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba mihimili hii inaingiliwa kwenye majukumu yake, bali ni maneno ya wanasiasa wanaotafuta hoja za kuokoteza. Mtu akienda mahakamani anataka shauri liamuliwe anavyotaka yeye, kinyume na hapo basi kuna maelekezo yametolewa kutoka juu. Anasahau kwamba pale ni utawala wa sheria ndo unafanya kazi siyo vinginevyo. Ndo maana kila mtu anaruhusiwa kuweka wakili wake wa kumtetea. Halikadhalika, Maamuzi yanayofanyika Bungeni yanatokana na wabunge wenyewe. Chama chenye wabunge wengi siku zote ndo kinachopitisha kila jambo linalopelekwa kwa kuangalia maslahi mapana ya chama chao. Sasa utasemaje Bunge linaingiliwa. Kwahiyo wapinzani wanatakiwa wapambane ili wawe na wabunge wengi kama wanataka kuzuia maamuzi ambayo hawakubaliani nayo. Otherwise hakuna namna yoyote wanayoweza kufanya ikiwa idadi yao itaendelea kuwa ndogo.

Infact, Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa nchi hii. Ndo maana kila mkiulizwa huyu mtu ana sifa gani za kuwa Rais? mnakimbilia kusema atasimamia utawala wa sheria. Utawala wa Sheria ni component ndogo sana katika uendeshaji wa nchi, ndo maana vipo vyombo vimepewa jukumu hilo. Kama mnaona ana sifa mbona hajawahi kupewa uenyekiti wa chama chake tu ili tuone uwezo wake wa kusimamia na kuendesha taasisi kabla ya kupewa nchi. Alipewa urais wa TLS alifanya nini? Kuendesha nchi siyo suala la mchezo mchezo kwamba mnaweza kumpa mtu yoyote tu kwasabb anajua kubwabwaja.
 
Lissu ni muumini Mzuri wa utawala wa sheria...na ndicho anachokisimamia leo na milele.

Ni kiongozi mzuri na watanzania wanamkubali....
Lisu ni mentally disturb, kasema barabara zilijengwa na mjerumani, na ma Raisi wengine hivyo hakuna cha ajabu alichofanya Magufuli, sasa kama mtu anashindwa kutofautisha hicho, basi mtu huyo atakuwa na matatizo
 
Lisu Kama kweli ni muumini wa utawala wa Sheria asingekubali maMvi agombee kiti Cha urais kupitia Chadema bila tuhuma zake kusafishwa na mahakama, Lisu Kama kweli ni muumini wa utawala wa Sheria asingekubali Zitto afukuzwe Chadema bila kujitetea kutokana na tuhuma za waraka wa siri.
Zitto alipo kimbilia mahakamani Lisu alishinikiza afukuzwe maramoja. Kwa ujumla uyo ndie Tundu Lisu mramba viatu wa DJ. Lisu amezaliwa awe mpinzani tu, hana uwezo wa kuliongoza taifaili, ameachwa mbali sana kwa sifa za uongozi na JPM. Sifa moja kuu ya Lisu ni u Snitch katika eneo ilo yupo vizuri sana.
 
Nimemsikiliza Tundu Lissu akihojiwa na mwandishi wa BBC

Nimeshtuka sana baada ya kugundua kwamba TUNDU LISSU ninayemfahamu sio niliyemsikia katika maongezi yake.Je anafikir atapewa zawadi ya Urais kwa sababu tu alipigwa RISASI?Kwamba tutamzawadia URAIS kama kumpa pole kwa masahibu aliyoyapata?

TUNDU LISU ana SERA GANI?ANASIMAMIA NINI?JE ANATAKA KWELI KUWA RAIS WA HII NCHI?ANAO UWEZO WA KUWA RAIS WA HII NCHI?
Tuache masihara na cheo cha Urais sio cheo cha Mchezo Mchezo kusema kwamba tunampa mtu kwa sababu tu alipigwa RISASI bila kujua hasa ni nini anachokisimamia na nini anachokiamini

Nimeshangazwa sana na namna anavyozungumza na misimamo yake kuhusu maswala ya msingi haieleweki.Naona kama Tundu Lisu ameshakuwa addicted na Upinzani kiasi kwamba thinkinga yake iko katika kukosoa na kuhoji na kupinga na sio kupanga na kutekeleza maswala yenye maslahi

Niwaulize CHADEMA na TUNDU LISSU MWENYEWE JE Unautaka Urais ILI nini?KWELI unautaka Urais au unataka kugombea Urais?

MKuu kwa mfumo wetu wa siasa kusimamiwa na chama, SERA utungwa na kuandaliwa na CHAMA na sio MGOMBEA.
 
Kwani waliokua wanaibua ufisadi serikalini ni vyombo vya habari? Au wao walikua wanaandika yale yanayoongelewa na wanasiasa? Halafu mbona kwenye hivyo vyama vyenu kuna ufisadi wa kutisha mbona hauongelewi? Au napo hakuna utawala wa sheria.

Tusidanganyane, tangu Serikali ya awamu ya 5 imeingia madarakani suala la ufisadi limepungua kwa zaidi ya asilimia 80, ndo maana miradi mingi mikubwa imeweza kutekelezwa. Ufisadi ungekuepo tungewasikia kina Zitto na wengine wakipiga kelele kwasbb hiyo ndo turufu kubwa ya upinzani, ukiona kimya basi ujue hakuna kitu.

Bunge na Mahakama zinafanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba mihimili hii inaingiliwa kwenye majukumu yake, bali ni maneno ya wanasiasa wanaotafuta hoja za kuokoteza. Mtu akienda mahakamani anataka shauri liamuliwe anavyotaka yeye, kinyume na hapo basi kuna maelekezo yametolewa kutoka juu. Anasahau kwamba pale ni utawala wa sheria ndo unafanya kazi siyo vinginevyo. Ndo maana kila mtu anaruhusiwa kuweka wakili wake wa kumtetea. Halikadhalika, Maamuzi yanayofanyika Bungeni yanatokana na wabunge wenyewe. Chama chenye wabunge wengi siku zote ndo kinachopitisha kila jambo linalopelekwa kwa kuangalia maslahi mapana ya chama chao. Sasa utasemaje Bunge linaingiliwa. Kwahiyo wapinzani wanatakiwa wapambane ili wawe na wabunge wengi kama wanataka kuzuia maamuzi ambayo hawakubaliani nayo. Otherwise hakuna namna yoyote wanayoweza kufanya ikiwa idadi yao itaendelea kuwa ndogo.

Infact, Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa nchi hii. Ndo maana kila mkiulizwa huyu mtu ana sifa gani za kuwa Rais? mnakimbilia kusema atasimamia utawala wa sheria. Utawala wa Sheria ni component ndogo sana katika uendeshaji wa nchi, ndo maana vipo vyombo vimepewa jukumu hilo. Kama mnaona ana sifa mbona hajawahi kupewa uenyekiti wa chama chake tu ili tuone uwezo wake wa kusimamia na kuendesha taasisi kabla ya kupewa nchi. Alipewa urais wa TLS alifanya nini? Kuendesha nchi siyo suala la mchezo mchezo kwamba mnaweza kumpa mtu yoyote tu kwasabb anajua kubwabwaja.
1. Mkuu awamu ya 3 na 4 ufisadi mwingi mpaka wa ESCROW na EPA ulianzia magazetini ndio ukapewa nguvu na wanasiasa ila wote tunafahamu awamu hii watu wakiibua suala zito wanapata matatizo mfano wizi wa mafuta bandarini wote tunajua jamii forums ina kesi hadi leo, Azory alipoibua suala la Kibiti wote tunafahamu kilichompata, kabendera alipokosoa mfumo wa uchumi tu akaitwa fisadi, Jamhuri limeongelea ufisadi wizara ya utalii akawekwa ndani kwa ujambazi n.k. Hii imeua ujasiri wa waandishi kufukua changamoto kibao.

2. Unaposema waandishi hawaibui ufisadi upinzani una maana gani? Nachojua external auditors wote akiwemo CAG wametoa hati safi kwa main opposition party CHADEMA sielewi waandishi waongelee ufisadi upi sasa. CCM wana hati chafu nadhani swali lingekua kwanini waandishi wanaogopa kuianika wizi wa CCM hasa wa ile kamati ya Bashiru kukagua mali za CCM.

3. Ufisadi haujapungua otherwise kina Lugola wangekua Segerea sahivi. CAG kila mwaka anadai 56% ya pesa za bajeti za wizara zinaenda kufanya mambo tofauti na yaliyoainishwa hasa za bajeti ya maendeleo na hadi Leo hatujaona waziri akiwajibika. Kila mwaka halmashauri zina hati chafu kwa ufisadi mkubwa then unasema ufisadi umeisha? Are u serious? Nikikuuliza kuna mshtakiwa hta mmoja wa uhujumu uchumi alikutwa na hatia? Kuna hata mshtakiwa mmoja kwenye so called mahakama ya mafisadi hadi Leo??

4. Kuhusu ukimya sio kwamba hakuna ufisadi ila utoaji taarifa umebanwa sana kiasi ripoti ikivuja tu jua kitengo kizima mnatimuliwa. Ndio maana mikataba ya madini/gesi mmegoma kuipeleka bungeni. CAG amekatazwa kukagua mfuko wa Rais, na Vote 28 pia. Bado Issue ya ndege mmegoma CAG asikague kabisa. Ssa kma hamna ufisadi mnachoogopa ni nini? Magufuli pia amejitoa Open Governance Initiative inayolazimu nchi wamachama kuweka wazi michakato yote kwa ajili ya uwajibikaji. Sasa kma Hamna ufisadi mlijitoa kwanini? Mnaona waTZ wajinga sana eeh?
 
Bunge na Mahakama zinafanya kazi zake kwa mujibu wa Katiba na Sheria. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba mihimili hii inaingiliwa kwenye majukumu yake, bali ni maneno ya wanasiasa wanaotafuta hoja za kuokoteza. Mtu akienda mahakamani anataka shauri liamuliwe anavyotaka yeye, kinyume na hapo basi kuna maelekezo yametolewa kutoka juu. Anasahau kwamba pale ni utawala wa sheria ndo unafanya kazi siyo vinginevyo. Ndo maana kila mtu anaruhusiwa kuweka wakili wake wa kumtetea. Halikadhalika, Maamuzi yanayofanyika Bungeni yanatokana na wabunge wenyewe. Chama chenye wabunge wengi siku zote ndo kinachopitisha kila jambo linalopelekwa kwa kuangalia maslahi mapana ya chama chao. Sasa utasemaje Bunge linaingiliwa. Kwahiyo wapinzani wanatakiwa wapambane ili wawe na wabunge wengi kama wanataka kuzuia maamuzi ambayo hawakubaliani nayo. Otherwise hakuna namna yoyote wanayoweza kufanya ikiwa idadi yao itaendelea kuwa ndogo.

Infact, Tundu Lissu hana sifa za kuwa Rais wa nchi hii. Ndo maana kila mkiulizwa huyu mtu ana sifa gani za kuwa Rais? mnakimbilia kusema atasimamia utawala wa sheria. Utawala wa Sheria ni component ndogo sana katika uendeshaji wa nchi, ndo maana vipo vyombo vimepewa jukumu hilo. Kama mnaona ana sifa mbona hajawahi kupewa uenyekiti wa chama chake tu ili tuone uwezo wake wa kusimamia na kuendesha taasisi kabla ya kupewa nchi. Alipewa urais wa TLS alifanya nini? Kuendesha nchi siyo suala la mchezo mchezo kwamba mnaweza kumpa mtu yoyote tu kwasabb anajua kubwabwaja.
1. Bunge linaingiliwa sababu bajeti wanayoipanga huwa haitekelezwi na serikali kuu wala halmashauri. Sasa kuna faida gani ya kuwa na bunge kma serikali inajipangia bajeti zake juu kwa juu.

2. Mahakama kuingiliwa wote tunaona hivi Lugola na kashfa zote zile mbona DPP hajafungua jalada hadi leo? Wizi wa Tanzanite mbona sikuona DPP akikamata mwizi yeyote aliyetajwa kwenye ripoti ya Zungu? Hivi sakata la EGMA na ESCROW mbona sijaona upande wa serikali akikamatwa yeyote hivi ina maana hakukuwa na collusiom yeyote kati ya hao wezi na maafisa wa serikali? Yaani BOT ilikwapuliwa hela bila mkono wa signatory yeyote wa serikali? Hivi upo serious kweli?? Haya akiyasema Lissu kwenye kampeni mmekwisha.

3. Kuhusu Lissu, Urais hauna kozi so muhimu ujue tu changamoto zilizopo na namna ya kuzitatua kwa kutafuta watendaji wazuri kusimamia maono yako. Ndio maana makampuni makubwa duniani waanzilishi wake sio experienced kivile ila wakipata bodi na management nzuri yanapaa sana na mifano ipo mingi. Kasome ya Nestle Japan ndio utaelewa nachosema. So Lissu akiwepo pale juu maadam wote tunafahamu ni mzalendo haswaa na hana utani na ufisadi kabisa basi lazima mambo yaende. Tz inahitaji mtu wa nje ya mfumo ili iweze kupata mabadiliko ya kweli.
 
Umeandika maelezo mareefu, lakini upo very subjective. Yaani unaandika kishabiki zaidi kuliko uhalisia ulivyo.

Eti unasema Bunge linaingiliwa kwasbb bajeti haitekelezwi. Hivi unajua maana ya Bajeti? Bajeti maana yake ni maoteo ya mapato na matumizi. Siyo kila ulichopanga lazima ukitekeleze inategemea na jinsi ulivyokusanya. Inaonyesha uelewa wako ni mdogo sana.

Unasema CAG aliipa hati safi CHADEMA. Hivi unajua maana ya hati safi? Maana yake ni fedha uliyopata na matumizi yake huku ukionyesha na stakabadhi za matumizi hayo. CAG lazima atakupa hati safi. Lakini sisi tunachoji ni uhalali wa matumizi hayo. Kwa mfano, M/kiti wenu kila baada ya uchaguzi lazima awe na madai ya kukikopesha Chama. Madai hayo hupitishwa na bodi ya chama ambayo hatujui ni vigezo gani wanatumia kuhalalisha madai hayo. CAG akipita anaambiwa fedha hizi zilitumika kwenye Uchaguzi. Leo hii, Mbowe analipwa karibu nusu ya ruzuku ya Chadema kwa Madai ya kukikopesha Chama. Kwann chama kisiibue miradi yake kutokana na hiyo ruzuku ili kiweze kujitegemea. Huu kama siyo ufisadi ni nn? Chama mpaka leo hakina jengo lake lenyewe, wanapanga ili kujustify matumizi.

Hii nchi haipo desperate kiasi hicho, mpaka eti Tundu Lissu aje kufanya majaribio ya kuongoza. Kama mnataka kumjaribu si mumpe hiko chama chenu? Maana kina matatizo mengi kuliko ya nchi. Mbona hamthubutu kumpa mnamng'ang'ania mbowe mwaka wa 20 huu. Nyinyi mnamuona hatoshi kuongoza chama chenu halafu mnataka kutupa galasa lije liongoze nchi.

Serikali ya awamu ya 5 imefanya mengi kwa kipindi kifupi mpaka tumefikia uchumi wa kati. Sasa tunamuhitaji Tundu Lissu aje afanye nn? Dunia nzima itatushangaa kwa uwendawazimu huu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Haki ipi?
Mtu kama musiba anaongea vitisho hadharani anaachwa tu, hivi unadhani anaowatishia wanaishi kwa uhuru?
Lakini akapost mtu hata utani tu kama Idrissa akakamatwa haraka sana ,,, huoni kama haijabalance??
Hii si haki.

Tendeni haki ili mheshimiwe,, mkionea mtaogopwa lakiki hamtaheshimika.
 
Ndugu yangu,Laiti ungelijua msingi wa swali langu na kuelewa mantiki yangu na wewe ungeuliza swali hilo hilo.Kama umemsikiliza Tundu Lissu vizuri kwa aina ya maswali na aina ya majibu utaona kwa nini nimeuliza swali hili la muhimu na ni kwa nini ni muhimu uelewa kama TAL ni moderate.

Subiri baada ya matokeo uje uusome huu uzi utakuwa umeshaelewa
Mkuu 'andoza', niache kujadili mambo haya ya siasa, nikushauri tu kama mTanzania mwenzangu, mwana JF mwenzangu bila hisia za kisiasa zinazoweza kuvuruga akili.

Bandiko lako hapo juu lina matatizo mengi ya kiufundi.
Anzia kwenye kichwa cha habari, kipo kwingine kabisa, na habari yenyewe inayowasilishwa haina uhusiano wowote na kichwa cha habari, licha ya kuwa mchanganyiko maalum.

Kwa kifupi, mawazo ndani ya maandishi hayasomeki na kuwa na maana yoyote kuhusu aliyosema Tundu Lissu katika mahojiano hayo.

Jaribu kutulia na uwaze bila ya inda, usome tena ulichoandika, utaona kuwa sikushambulii, bali habari yako ilivyowasilishwa haielezi kama unavyotetea hapa.

Tafuta njia ujifunze jinsi ya kuwasilisha habari kwa urahisi na ieleweke kwa wasomaji wako kama ulivyotaka ieleweke na sio kudhani imeeleweka.
 
Umeandika maelezo mareefu, lakini upo very subjective. Yaani unaandika kishabiki zaidi kuliko uhalisia ulivyo.

Eti unasema Bunge linaingiliwa kwasbb bajeti haitekelezwi. Hivi unajua maana ya Bajeti? Bajeti maana yake ni maoteo ya mapato na matumizi. Siyo kila ulichopanga lazima ukitekeleze inategemea na jinsi ulivyokusanya. Inaonyesha uelewa wako ni mdogo sana.

Unasema CAG aliipa hati safi CHADEMA. Hivi unajua maana ya hati safi? Maana yake ni fedha uliyopata na matumizi yake huku ukionyesha na stakabadhi za matumizi hayo. CAG lazima atakupa hati safi. Lakini sisi tunachoji ni uhalali wa matumizi hayo. Kwa mfano, M/kiti wenu kila baada ya uchaguzi lazima awe na madai ya kukikopesha Chama. Madai hayo hupitishwa na bodi ya chama ambayo hatujui ni vigezo gani wanatumia kuhalalisha madai hayo. CAG akipita anaambiwa fedha hizi zilitumika kwenye Uchaguzi. Leo hii, Mbowe analipwa karibu nusu ya ruzuku ya Chadema kwa Madai ya kukikopesha Chama. Kwann chama kisiibue miradi yake kutokana na hiyo ruzuku ili kiweze kujitegemea. Huu kama siyo ufisadi ni nn? Chama mpaka leo hakina jengo lake lenyewe, wanapanga ili kujustify matumizi.

Hii nchi haipo desperate kiasi hicho, mpaka eti Tundu Lissu aje kufanya majaribio ya kuongoza. Kama mnataka kumjaribu si mumpe hiko chama chenu? Maana kina matatizo mengi kuliko ya nchi. Mbona hamthubutu kumpa mnamng'ang'ania mbowe mwaka wa 20 huu. Nyinyi mnamuona hatoshi kuongoza chama chenu halafu mnataka kutupa galasa lije liongoze nchi.

Serikali ya awamu ya 5 imefanya mengi kwa kipindi kifupi mpaka tumefikia uchumi wa kati. Sasa tunamuhitaji Tundu Lissu aje afanye nn? Dunia nzima itatushangaa kwa uwendawazimu huu.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
1. Mkuu jikite kwenye hoja nmekwambia ukisoma ripoti ya CAG kurasa kuanzia 30 anaeleza jinsi pesa iliypelekwa sio MAKADIRIO ikifika wizarani inapelekwa kwa matumizi mengine zaidi ya 58% hasa bajeti ya maendeleo je hapo huoni bunge linadharauliwa? Je haki na madaraka ya bunge yapo considered kweli? Naomba unipe jibu. Mfano mwingine bajeti ya ofisi ya CAG/NAO inapangwa na kamati ya bunge sio wizara nakumbuka 2017 ilitengwa billion 80 lakini serikali kwenye bajeti kuu ikatenga billion 40 pekee almost nusu ilikatwa sasa hapo bunge haliingiliwi mamlaka?

2. Hati safi maana yake madeni na mali yamekaguliwa sasa kma deni limeandikwa na CAG kathibitisha sio deni hewa bali kweli Mbowe alikopesha je CHADEMA wanatumia mbinu gani kumdanganya CAG? Mbona 2017 aligundua gari lililonunuliwa na CHADEMA halikua kwa ajili ya chama bali mtu binafsi? Yaani basis ya madai yako ni ipi kwa hyo variation ya 2017 na 2019?

3. Unakumbuka ripoti ya kamati ya Tanzanite? Kwanni iliwasilishwa kwa Rais na sio bungeni ili wapitishe maazimio kwa ajili ya utekelezaji serikalini? Mwisho wa siku wote tunafahamu hakuna hata mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa wala pendekezo la mikataba kupita kamati za bunge kufanyiwa kazi?
 
Back
Top Bottom