Is this true?

Ijuganyondo

Member
Jan 13, 2011
62
1
Eti jamani hii ni kweli? Eti mapenzi ni pesa?!eti bila fyeza hakuna luv? Sisi masikin tuta-survive kweli?
 
Pendana na masikini wenzako. Sasa wewe huna hata baiskeli halafu unamtaka mtoto wa EL
 
Pesa za kubadilisha vinywaji na outing za kimtindo ziwepo japo.
Vishoping na vivocha, lol!
 
Mbona wenye pesa wanagongewa na ma house boi...aah wapi mapenzi ni utamu tu, pesa si kiiivo
 
Kweli kabisa mapenzi ni pesa, ila inatofautiana kwa amount tu!!!!!! Sisi wa mia tunapendana wenyewe na wao wa mamilioni wanapendana wao, huo ndio ukweli :love:!!!
 
we kama hauna pesa subir kugongewa mkeo! vizee vy cku hz nuksi vinahongaa balaa!!
 
Pesa inanogesha mapenzi, kama huna haizuii kumpata mpenzi! ila utampata wa size wa mfuko wako!
 
usitumie pesa kama fimbo kakaaaa mambo ya pesa huwa na makubaliano hapo ndipo pesa huwa na dhamani eeeeh!
 
Eti jamani hii ni kweli? Eti mapenzi ni pesa?!eti bila fyeza hakuna luv? Sisi masikin tuta-survive kweli?

avatar24727_1.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom