Is this the end of CHADEMA?

Status
Not open for further replies.
Haya ona sasa,
Kila mtu akiwakosoa katumwa na Zito
Mie ni chilisosi na situmwi, I am my own boss
By the way mie natuma situmwi

Chilisosi,

Huna hoja mheshimiwa.
Sijali umetumwa au huwa unatuma lakini kwa hoja hii wewe UNATUMIKA!
Hakuna chama cha siasa chochote ambacho kitakosa migongano ya hapa na pale unless hicho chama kimekufa kwa maana ya non-exisiting.

Ujue kuwa any active political party lazima kiwe na migogoro. Chukulia mfano tu wa chama chako cha Magamba-CCM. Kwa taarifa yako CCM ndicho kina michafuko na mitafaruku kibao. Mwenyekiti wenu aliwahi kusema kwamba kwa sasa CCM ilipofikia mtu hawezi kuacha glasi ya maji au kinywaji kwenye meza aliyokaa na wana-CCM wenzake!!!!Yote hiyo ni shida ya Ufisadi na tamaa ya madaraka nadni ya Chama cha Magamba.

Waulize kina Lowassa,Sammy Sitta,Harrison Mwakyembe na John Pombe Magufuli kwa walio hai na pia uulizie habari za kina Marehemu Horace Kolimba,Amina Chifupa,Edward Moringe Sokoine na wengi wengineo waliofia ndani ya CCM kwa kutaka mabadiliko ya haki.

Kwa taarifa yako migogoro iliyoko ndani ya CHADEMA ni nafuu zaidi ya mara mia ya migogoro iliyoko ndani ya CCM.
 
Teher is no doubt chadema inakufa. Vijana wametueleza mengi kuhusu ubaguzi wa ukabila unaoendelea humo. Mwenyekiti wa chadema freeman mbowe, mwenyekiti wa jumuiya ya wanawake wa chadema suzan lyimo katibu wa vijana wa chadema dogratias mushi na john mrema woote wameapa kulinda post zao. Vijana wanasema wafanye maamuzi magumu kukinusuru chama na kuandamwa na ukabila ambao unaonekana waziwazi kwa nafasi zote tamu tamu mpaka wahasibu?? Ni

chadema hakina uwezo wa kuwayumbisha hawa vijana kinaowatisha kuwafukuza na wengine kutishiwa maisha. Kosa la zitto watanzania hawajaliona. Shida ni slaa kuwatumia bavicha kujihakikishia kugombea urais bila kujali demokrasia. Masikini sasa hii ndiyo movement for change waliokuwa wakiililia
 
Yes indeed,
Jua ndio linatua na mbwa mwitu (chadema) hajakamata mlo hivyo inabidi waanze kutafunanana wenyewe kwa wenyewe, atakaeonekana mwoga tu anarukiwa na kufanywa dinner. tayari leo wameishatolewa kafara watatu bado zitto sema wanamuogopa tu lakini he is next na baada ya hapo Chadomo itakuwa history
 


ptuuuuuuh,,
hii haja kubwa uliyoidondosha hapa ina harufu mbaya sana,hebu kuja haraka sana uizoe na kuipeleka mahala stahiki,ona inzi wa chooni wanavoizengea zengea kwanza..
 

Tatizo ccm wanamuogopa dr slaa.
 
mbona hajasema migogoro iliyomo CCM. kwa hiyo nayo yaelekea kufa?
 



leo sio interest yako cdm kuvunjika? Acha unafik mzee. Sijaona kicheko chako leo, au ndo wkt wa kuomboleza?
 



" Hebu angalia wanavyovunja katiba yao
yenyewe, hawa kweli ndio wataweza
kuiongoza nchi kwa staili hii?"

utahama nchi na huyo mzee mwenzio km hutoafikiana na uongoz wa cdm. Alekwambia twarizika na uongoz wenu ni nan?
 
Hata fisi siku zote huwa anadhani mkono wa binadam,umekaribia kudondoka kwa sababu unaning'inia,matokeo yake miaka inakatika na mkono uko palepale.
 
Mume uliyemkimbia anakuhusu nini tena jamani?i knew it sooner or later you will start this.............
 
Hivi siamini kama kuna watu wapo serious au ndio propaganda. Hivi yale makundi ya ccm na ule ufisadi na rushwa, chuki na uzandiki wa ccm hauonekani? Ila najua wengi mnashadadia migogoro isiishe cdm ili chama kidondoke. Hilo mtasubiri sana aisee.
Najua hapo kiroho kinawauma kama vile walivyopigwa chini wale madiwan wa Arusha. Ila Cdm ni mpango mwingine haiwezi kutatua matatizo yake kwa kufuata mnavyofanya nyie mafisadi mnaolindana.
 
Nazani ungeweka hii picha tungekuelewa vizuri zaidi kuliko ya hao mbwa manake umetufanya wengine tucheke sana
 
Sijui ni lini nitajua tofauti kati ya
Chilisosi na Chris Lukosi

 
Last edited by a moderator:
Punde Halima Mdee na Josephina utasikia wametupiana maneno.Sasa havi katiba hawaifuati hati bavicha wanamfuka mtu uanachama.Chezea mtumwa Heche
Ficha upumbavu wako, usifiche hekima yako. Hapa Halima na Josephine wameingiaje? Mtumwa ni wewe unaekubali kutumiwa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…