Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Kiboro nini...uwiii mbavu
Maneno yako unaniachaha hoi najifunzaga mimi.
Umenena kweli amuache aende huko akajioneeee
nimekukosa muda mrefu mama, vipi umzima?
Sasa inakuja kutokana,na kuuchepuka?
Brod darlin naomba tu umsamehe
Nimemsamehe sis darling, wengine twataka mbingu ndogo ndani ya nyumba...yeye analeta figisu za kuchepuka tena:hurt:Brod darlin naomba tu umsamehe
Kiboro dinda at work, muache mkeo ukamtafute huyo intern umuoe afu uone kama ukiishi nae atabaki intern as you see her au nae atakua kama wife ambae leo unamuona kama kibwengo....
Teh nashukuru brod darlin, wewe endelea tu kujilia maraha ya paradiso ndogo.Nimemsamehe sis darling, wengine twataka mbingu ndogo ndani ya nyumba...yeye analeta figisu za kuchepuka tena:hurt:
Hivi unajua hata chakula unachokipenda, ukiwa nacho kila leo muda wa kukikinai utafika?
Kabisa mpendwa..."Kukurupuka si sawa", hilo naliafiki kabisa. Ni kumuomba tu Mungu akupe chaguo lako sahihi
Kisa huyu ni mwanaume???
Mbona nyinyi wabinafsi sana!
Hapa angeandika mwanamke wallah angejuta!
Ila kwa vile mwanaume ........
Ulipotea sana, afu umerudi ki husband material material.... A u singo or dabo