Hii ni Suicide scénario!!!
N.B
Anatomical position ya marehemu..
kwa jinsi alivyolala chini
1/Upande wa KULIA wa marehemu ni upande wako wa KUSHOTO kwa wewe mtazamaji unayeangalia picha kwa mbele
2/Upande wa KUSHOTO wa marehemu ni upande wako wa KULIA kwa wewe mtazamaji unayeangalia picha kwa mbele
sasa tuendelee....
Kivip!!!
Marehemu kabla ya kujiua aliandika kitu kwenye hiyo karatasi hapo mezani...
baada ya hapo akageuka kuangalia mbele..(kwa kulipa dirisha mgongo) huku akiwa na bastora mkono wa kulia na sigara mkono wa kushoto kisha kujipig risasi kichwani upande wa kulia na kudondoka chini yeye na stuli kwa pamoja uku akiwa ameshikilia bastora yake na fegi..
EVIDENCE!!!
1/kua marehemu kabla ya kujiua alikua anaangalia mbele(kwa kulipa dirisha mgongo)...
ni,,,,,
angalia miguu ya stuli baada ya kudondoka inapopoint!!utangundua inapoint upande wa KULIA PIA
Angalia miguu ya marehemu inapopoint pia inapoint KULIA ina maanisha marehemu kabla ya kudondoka yeye pamoja na stuli alikua anaangalia mbele na kisha kudondokea upande wake wa kushoto yeye na stuli( anatomical position)
2/Kujipiga risasi kichwani!!!
EVIDENCE
ukiangalia marehemu amedondoka huku akiwa ameshika bastora mkono wa KULIA..
pia ukutani upande wa KUSHOTO wa marehemu kuna damu imetapakaa ukutani..
na pia apo alipodondoka kuna kuviria au mkusanyiko wa damu upande wa KUSHOTO mwa kichwa cha marehemu..
hii ina maana gani!
ni Kwamba Marehemu alikua ameshika bastora upande wake wa kulia(Due to anatomical postn) ... then akajipiga risasi kichwani upande wake wa kulia wa kichwa(kwa kitalaam risasi inapoingia sehemu{entry point} huacha uwazi mdogo ila inapotokea{exist point} hapo ndo uacha tundu kubwa na pia ndio sehemu ambayo damu utoka kwa wingi due to large opening)...
sasa baada ya kujipiga risasi upande wake wa kulia wa kichwa damu ikaruka upande wake wa kushoto ukutani(kama exit site ya bullet upande wa kushoto) ndo maana ukutani upande wa kushoto wa marehemu kuna damu ukutani...
kwa nin upande wa kushoto?
ukiangalia apo chini marehemu alipolala utaona damu imeviria upande wa kushoto mwa kichwa cha marehemu(ivyo inakamilisha kua exit point ya risasi ilikua ni upande wa kushoto ndo maana utaona damu imaeviria ukutani)
3/Msongo wa mawazo(STRESS)
hii pia ni moja ya sababu kubwa sana ya watu kujiua ata pia kwenye hili tukio pia unaweza eleza msongo wa mawazo kama pia ni moja ya sababu ya kujiua..
hii inadhihirishwa kwa kitendo cha marehemu kuvuta sigara (akiwa ameishika mkono wake wa kushoto)
..watu wengi wakiwa na stress hutumia viburudisho kama pombe/sigara/ n.k katika kujipunguzia mawazo ivyo msongo wa mawazo(stress) ni chanzo cha kujiua
4/Ujumbe
ukiangalia katika meza kuna karatasi na peni!!
hii ina maana marehemu aliacha ujumbe kabla ya umauti kitendo inamaanisha marehemu alijua kua nin ataelekea kufanya ivyo akaacha ujumbe na kisha kujipiga risasi kichwani.......