Is this a Murder or Suicide ? .

Is this a Murder or Suicide ? .

6da872d5f811ea87ce346d476ae62b2f.jpg
Huyu dada kajiua "Suicide" hajauliwa "Murder",hii picha haionekani vizuri hapa lakini ukitumiwa kwenye simu,unaweza kuivuta ile barua iliyoko juu ya meza karibu na miwani ya kusomea..Ile barua ameandika huyu dada sababu za kujiua..

"Suicide letter".......🙄🙄
 
Muuaji anaweza kuwa kaandika pia, ionekane kama suicide
 
Sasa Scenario kama hii, Muuaji si anatoboa kiulani kabisa kama watu hawatakuwa makini na evidence zote!..
That's true. ndo maana 90% ya homicides ziko unsolved especially Tanzania na kwingineko Barani Africa.
 
Forced entry ni kweli inaweza isigundulike na assassin akatoka kwa hilo kama mtu anaweza kuingia ndani kimya kimya, lakini hiyo sigara kuendelea kubaki kwenye fingers ndo italeta utata.
Unless kama muuaji sio serial killer na asijali kuacha trails.
100% hii ni Murder. Ila imekuwa executed so perfect kiasi kwamba the first impression mtu atajua kuwa ni suicides. zamani wanasiasa walikuwa wanaundiwa ajali...watu wakiamka asubuhi wanakuta ajali mbaya na targeted victims wanamkuta amenasa kwenye wreckage. Hizo mambo zilikuwa zimepunguwa huko tz ila nasikia zimerudi kwa kishindo...
 
My previous answer reamin the same, mpaka na kwako.
Anza kuichambua hiyo picha vizuri kupitia zile kanuni KUU 3 za uchambuzi wa picha ndio utapata sababu ya jibu kalo. Otherwise utakuwa ni kama unafanya betting.
Murder...kama ange-commit suicide bastola na sigara isingekuwa rahisi kubaki mkononi namna hiyo! Lakini pia damu kuwa ukutani inatia shaka...pia...ngoja nifanye analysis zaidi!!!
 
100% hii ni Murder. Ila imekuwa executed so perfect kiasi kwamba the first impression mtu atajua kuwa ni suicides. zamani wanasiasa walikuwa wanaundiwa ajali...watu wakiamka asubuhi wanakuta ajali mbaya na targeted victims wanamkuta amenasa kwenye wreckage. Hizo mambo zilikuwa zimepunguwa huko tz ila nasikia zimerudi kwa kishindo...

Yeah, hii design ya perfect execution pengine murderer anamjua vizuri victim wake. I stand to be corrected.
Mkuu yanayoendelea in our beloved country, brings chills.
 
Back
Top Bottom