Is this a Murder or Suicide ? .

Is this a Murder or Suicide ? .

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,062
Reaction score
3,280
6da872d5f811ea87ce346d476ae62b2f.jpg
 
My previous answer reamin the same, mpaka na kwako.
Anza kuichambua hiyo picha vizuri kupitia zile kanuni KUU 3 za uchambuzi wa picha ndio utapata sababu ya jibu kalo. Otherwise utakuwa ni kama unafanya betting.
Mkuu naomba opinion yako niko open kufikiria outside the box
 
Duniani kote hakuna kazi ngumu waliyo nayo prosecutors kama kuprove beyond reasonable doubt.

Najaribu kuangalia scene napata a lot of them doubts kuwa hiyo ni suicide
 
Binafsi na mimi hiyo itakuwa ni MURDER.
Maana kwa kuanza kuangalia taratibu utagungua marehemu, kabla ya kufa ni kama alikuwa anaandika kitu huku hapo mezani huku akivuta sigara. Hilo halibishaniwi.

Sasa akiwa katika mazingira hayo inaonesha muuaji ni kama ametokea au amemgonga risasi, marehemu kutokea upande wake wa kushoto ndio maana utaona kuna michirizi ya damu hapo ukutani upande wa kulia. Sasa mistake aliyofanya muuaji ni kuplant hiyo silaha mkono huo huo wa kulia wa marehemu ili mwisho wa siku aonekane marehemu amejiua (committ a suicide).
 
Hyo ni exactly nilichokuwa nafikiria kwa kusema kuna doubts kibao
 
Ndiovyo wanavyopoteanagana mpaka kesi inaanguka.
 
You can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.
Coz hata ingekuwa suicide lazima struggle yoyote ingetoea tu katika hatua za mwisho za uhai wake.

It's true denoo, lakini kuna tofauti ya struggle ya murder na ya suicide. Ya murder si itakuwa more complex? Kama ya huyu dada inavyoonekana, while Suicide struggle will be less complex. Ama?
 
Hyo ni exactly nilichokuwa nafikiria kwa kusema kuna doubts kibao
Kuna kitu ambacho nasisi huku Bongo tukikizimgatia kwa sana kinaweza okoa mengi.
Upigaji wa picha sehemu ya tukio. Kwa nchi zilizoendelea katika mambo ya utafiti, tukio linapotokea kitu cha kwanza kufanya tu huwa ni "kuzingira" eneo husika katika hatua 3, then wanapiga picha hayo maeneo yote matatu. Alafu wanaanza uchuuzi wa picha zenyewe moja baada ya nyingine huku wakikonnect dots na tukio lillilojiri.
 
Mfano mzuri ni kesi za kiboya zinazofunguliwa daily in TZ. Kasheria kadogo nakokajua kanasema anayeshitaki anakuwa na burden of proof. Hapo ndo huwa wanawapotezea watu muda plus kuwatia ndani af DPP anasema hana nia ya kuendelea na mashtaka. Wanakuwa wamejua hawana kesi inayotosha kuprove kosa.
 
Kuna kitu ambacho nasisi huku Bongo tukikizimgatia kwa sana kinaweza okoa mengi.
Upigaji wa picha sehemu ya tukio. Kwa nchi zilizoendelea katika mambo ya utafiti, tukio linapotokea kitu cha kwanza kufanya tu huwa ni "kuzingira" eneo husika katika hatua 3, then wanapiga picha hayo maeneo yote matatu. Alafu wanaanza uchuuzi wa picha zenyewe moja baada ya nyingine huku wakikonnect dots na tukio lillilojiri.
Wapelelezi wetu wanaoenda crime scene na camera wachache mno. Wakati ni ushahidi wa muhimu na hii picha inaeleza mengi kuhusu tukio hata kama hakuna shahidi. Sijui hatuna cameras au ni uzembe
 
It's true denoo, lakini kuna tofauti ya struggle ya murder na ya suicide. Ya murder si itakuwa more complex? Kama ya huyu dada inavyoonekana, while Suicide struggle will be less complex. Ama?
Ilo halina ubishi pia. Ubishi upo kwamba struggle ilikuwepo au haikuwepo (no matter was complex or in complex), ndio kitu nilichobishania.
 
Binafsi na mimi hiyo itakuwa ni MURDER.
Maana kwa kuanza kuangalia taratibu utagungua marehemu, kabla ya kufa ni kama alikuwa anaandika kitu huku hapo mezani huku akivuta sigara. Hilo halibishaniwi.

Sasa akiwa katika mazingira hayo inaonesha muuaji ni kama ametokea au amemgonga risasi, marehemu kutokea upande wake wa kushoto ndio maana utaona kuna michirizi ya damu hapo ukutani upande wa kulia. Sasa mistake aliyofanya muuaji ni kuplant hiyo silaha mkono huo huo wa kulia wa marehemu ili mwisho wa siku aonekane marehemu amejiua (committ a suicide).

Mkuu hiyo note I thought the same as you lakini..
Defense wanaweza kuuliza labda kama ilikuwa ni suicide note marehemu alikuwa anaandika?
Halafu hiyo sigara ina utata sana, inaweza kuwa staged. Nashindwa kuelewa alishika vipi sigara mpaka anakata roho.
 
Hizi ni doubts nlikuwa naongelea hapo juu
 
Back
Top Bottom