Is this a Murder or Suicide ? .

Is this a Murder or Suicide ? .

Mkuu hiyo note I thought the same as you lakini..
Defense wanaweza kuuliza labda kama ilikuwa ni suicide note marehemu alikuwa anaandika?
Halafu hiyo sigara ina utata sana, inaweza kuwa staged. Nashindwa kuelewa alishika vipi sigara mpaka anakata roho.
Bado ni kosa la kipumbavu sana alilofanya muuaji. At least angenishawishi kama hiyo sigara ingeoneka imeanguka na ipo jirani na maeneo ya mkono wake, lakini sio kuwa ipo mkononi kabisa ameishika mpaka mauti yanamfika. Huo ni uongo wa kijinga na kipumbavu.
 
Police wakiamua kuharibu kesi wanaharibu kwenye hatua ya Kwanza, upigaji picha
Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody cares
 
Bado ni kosa la kipumbavu sana alilofanya muuaji. At least angenishawishi kama hiyo sigara ingeoneka imeanguka na ipo jirani na maeneo ya mkono wake, lakini sio kuwa ipo mkononi kabisa ameishika mpaka mauti yanamfika. Huo ni uongo wa kijinga na kipumbavu.

Kwa kweli, anaonekana sio professional killer.
Hata hiyo sandal inaonekana moja hapo, inaonyesha kulikuwa purukushani haswa mpaka sandal nyingine ikapotea.
Silaha mkononi is not enough evidence.
 
Wapelelezi wetu wanaoenda crime scene na camera wachache mno. Wakati ni ushahidi wa muhimu na hii picha inaeleza mengi kuhusu tukio hata kama hakuna shahidi. Sijui hatuna cameras au ni uzembe
Mkuu upo sahihi kabisa, fuatilia hata majalada ya kesi nyingi za jinai hapa bongo kukuta ina mpaka picha kama sehemu ya ushahidi na chache SANA, pengine hata hili neno Sana naona kama bado silitendei haku.

Wapelelezi wengi kwa huku uishia kuchora ramani ya tukio tena kwa mkono na wanazichora kipuuzi mno.
 
Niliwahi kuwa na kesi ya kuibiwa nlipofika kwenye tukio nilipiga picha kwa simu na askari walipokuja nikawaonyesha. Hakuna aliejali zile picha wala kupiga za kwao mpk leo case haijawa solved toka 2013
 
Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody cares
Siku tukipanua wigo wa sheria zetu hapa bongo tukaruhusu mfumo wa private investigation ufanye kazi kwenye mahakama zetu, basi hao polisi/public investigation wahesabu goli kwa kila kesi against...
 
Hawatakubali hiyo maana simple investigation wanashindwa na that system itafumua uozo wa kutosha. Luckily for defense lawyers ndo wanaishi kwa huo uzembe
 
Mara nyingine wanaharibu bila hata kujua maana wengi ni mizigo imetuliwa pale. Investigation ni art na kuna specialists kabisa. Hawa jamaa zetu wanafanyia mazoea at the end of the day wanaharibu kesi. Lakini tunaendelea tu na maisha, business as usual maana nobody cares

Acha tu, kulipua lipua kwingi mradi tu mtu amalize kazi wakati wanaharibu kazi na haki haitendeki.
Tatizo zaidi ni kwamba yamekuwa mazoea.
 
Investigation zetu hapa bongo zimebakiza weledi wa kujua mambo, pale Upinzani wanapopanga kuandamana au ni wapi wanafanyia vikao vya siasa. Otherwise ni rubush plus zero.
 
You can be right but that ain't a sufficient reason to convince the jury.
Coz hata ingekuwa suicide lazima struggle yoyote ingetoea tu katika hatua za mwisho za uhai wake.
Na damu ukutani aliweka victim?
 
Back
Top Bottom