dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,527
Kama taifa la watu waliopigwa na Umaskini kuwekeza mapesa mengi kwenye Project za maika mingi bila kuwa na uhakika wa namna gani hiyo Hela itaingia kwenye Mzunguko wa watu wakoHizo tatu uwezo wake bado sana. Fauda yake hata kama ipo ni ndogo sana maana inafanya kazi route za ndani tu ambazo hazina pesa nyingi.
Hizi kubwa zikifanya safari kubwa za ndege ndio zenye pesa.
Ninavyoona faida itachukua muda kuonekana. Hizo tatu zenyewe zimenunuliwa juzi juzi tu. So bado sana faida kuonekana
nikutofikiri vizuri