Is Tanzania a primitive State?

Is Tanzania a primitive State?

Ha
Ni wakati wetu kurudisha kwenye jamii, matunda ya elimu na ujuzi tulioupata bure enzi za utawala wa Mwl. Nyerere. Sisi tunaongozwa na elimu, siyo hisia kama wafanyavyo wachangiaji wa JF wengine. Je, wewe uko upande upi?
Kupata elimu bure, kodi yetu iligharimia
 
Huo huo ,,ushamba" ndiyo tuliouchagua, na 2020 tutauchagua tena, utapata tabu saana!
Acha uongo, hatujawahi kuwa na uchaguzi toka mwaka 1965, tulipofanya uchaguzi wa mwisho, baada ya hapo ni tume za tanu na ccm zinajifungia siku 5 halafu zinatangaza jina la wanaemtaka!
 
hizo tatu zilizokuja before zimefanya nini? tunataka vitu evidence based,you must be mad wananchi wako wanategemea kilimo kama uti wa mgongo then una invest kwenye mandege!
Your brain is soo much doomed girl
 
There's no day like today that I ever felt shy like. When I saw my president being in a motorcade and hustling to the Airport so as to launch a plane that has arrived today from the US.

Was there any necessity to have our president in the scene? Is a plane so strange and austere to us in such a way that it was very much obligatory to have a head of state in place?

In this world of high class science and technology particularly in this 21st century, is a plane still a new thing to us?

The president's slogan lives by "Tanzania ya Viwanda " and not by 'Tanzania ya ndege ",so he should have just walked by his slogan in order to build more factories which would possibly have hired a big number of people, unlike planes.

I have seen the CCM fans clapping their hands on the arrival of the plane. To them, their chairman does not go wrong, he is their godfather.

A plane is just a sky bus, so having the government entourage in the Airport has exposed us internationally as the primitive state.
Those who are thinking about that are the one who are primitive.
For me that was the best event for we Tanzanian to proud ourselves that we can do better and better for our economic transformation 2015-2035.
By that time, We shall be among the giant of tourism in the World because we have our resources to that.
We are baging our Almighty God to bless us so that the vision of our Leaders success.
 
Mzee hzo ni IATA and ICAO codes znajulikana internationally hata wahindi wenyew wanafaham sio kwamba zmetengenezwa kienyeji, for every pax who goes to Mumbai his/her boarding pass and baggage tag will read BOM. Kama ukienda kwa bus ndo utasema Mumbai bt if you are flying it is BOM
The codes doesn't change the city names, whether naenda kwa farasi au ndege. Acha kuwaza kwa akili za kikoloni
 
Ha

Kupata elimu bure, kodi yetu iligharimia
hata dhana ya kinach ojadiliwa huelewi. Kila mtanzania (hasa wakulima wa mazao ya biashara wakati huo) waligharimia elimu za watoto wa Tanzania.
 
hata dhana ya kinach ojadiliwa huelewi. Kila mtanzania (hasa wakulima wa mazao ya biashara wakati huo) waligharimia elimu za watoto wa Tanzania.
Ndio maana nikasema haikua elimu bure, ilikua ukinunua chochote kile kuna kodi ndani yake, mazao ya biashara nk kwahiyo haikua bure, tulilipa kwa fedha zetu either za kodi or vyanzo vingine, kusema eti ilikua elimu bure sio sahihi
 
Ndio maana nikasema haikua elimu bure, ilikua ukinunua chochote kile kuna kodi ndani yake, mazao ya biashara nk kwahiyo haikua bure, tulilipa kwa fedha zetu either za kodi or vyanzo vingine, kusema eti ilikua elimu bure sio sahihi
yet to grasp; Public vs. private costing concept.
 
Tanzania is not a primitive country but the pushers are primitive tribe's
 
Back
Top Bottom