Is Tanzania a primitive State?

Is Tanzania a primitive State?

Lack of appreciation is the greatest primitive wichcraft in Africa... tena wewe umeonyesha highest degree by feeling shy about it badala ya kuappreciate..... hii nchi tunairoga wenyewe bila kujua..
Tatizo ni kukusanywa viongozi na kupangwa kwa zamu kuingia ndani ya ndege kujionea ....... hii hata mimi nimeona aibu. Naamini viongozi wengi waliokuwapo hapo nao watakuwa wameona haya ila hawakuwa na jinsi. Mpaka picha kwenye kiti cha rubani ..... NO WAY!! This was a bit to the extreme side ...!!
 
may be I cant link between the two,but you failed to show us what exactly has been done by previous three planes, second,kwa taifa changa kama Tanzania kununua mandege makubwaa manne ni kumisuse resources! bajeti yetu ya fedha ni ndogo na priorities ziwe kwingine,afterall hao watalii mnaowasema kwani wanakuja Tanzania kwa mamilioni kiasi tutake kuwa na mandege mengi?????????,Magufuli anakosea lakini kuwa na wateteaji kama wewe kunanishangaza sana
Wewe ni aina ya watu ambao wanafikiria kila kitu ni mimi, leo, na sasa. Uwekezaji mkubwa unahitaji kujinyima vitu flani na kusubiria mrejesho chanya baada ya muda flani. Maendeleo makubwa hufanyika ktk mtindo wa gradual change.
Na pia sio lazima wafaidike wa sasa, sisi wa sasa tuteseke kwa ajili ya wanao kuja kesho.
 
Not only primitive but also moribund and decadent kabisa! Na bado tutaona mengi!
 
Ai agrii withi yu...bati du yu mini hizi ekselensi ambasada ofu USA izi primitivu ezi weli? Ifu yesi, keni yu plizi difaini ze temu primitivu?

Ai hedi in hia(TZ), inglishi izi touti in swahili.......
Mjomba ningekuwa karibu nawe ningekupa balimi ya bardiiii. ..mbavu sina hapa. .kweli wewe chale chaplin!
 
Wewe ni aina ya watu ambao wanafikiria kila kitu ni mimi, leo, na sasa. Uwekezaji mkubwa unahitaji kujinyima vitu flani na kusubiria mrejesho chanya baada ya muda flani. Maendeleo makubwa hufanyika ktk mtindo wa gradual change.
Na pia sio lazima wafaidike wa sasa, sisi wa sasa tuteseke kwa ajili ya wanao kuja kesho.

mtakuja na kila sababu ya kujustfy kuwa ni jambo jema,wakati watu wanakula mlo mmoja kwa siku,unamwambia kijukuu chako kitafaidi, wewe sasa hivi kula mlo mmoja,atakuelewa kweli?,kama ulishindwa kumpa milo mitatu yeye ,utaweza kumfanya aamini kijukuu chake kitaenjoy Maisha???
 
Tatizo ni kukusanywa viongozi na kupangwa kwa zamu kuingia ndani ya ndege kujionea ....... hii hata mimi nimeona aibu. Naamini viongozi wengi waliokuwapo hapo nao watakuwa wameona haya ila hawakuwa na jinsi. Mpaka picha kwenye kiti cha rubani ..... NO WAY!! This was a bit to the extreme side ...!!
Kama utashidwa kustand proud for wat is urs (mnachokiita kidogo), unafikir utaweza katika hayo unayoyafikiria wewe ndio makubwa..
 
Ethiopian wana ndege kubwa zaidi ya 100!!
Kama wangekuwa wanazipokea kama sisi, wangehitaji mwaka na nusu kupokea ndege moja kila week
 
Hivi tyfoid dose yake kama ni ciprofloxacin ikoje ? Nataka iishe kabisa usitoe nusu dose
 
ofisini nina colleagues wangu Wakenya na Waghana.... yaani nina kibarua cha kuwakwepa tangu asubuhi.

wanataka kunisemesha lakini ninajifanya niko busy na blue Monday.

nyie CCM nyie.....kwa nini mnatuwekea watindiga kwenye ofisi yetu kuu?
yaani kweli kwa makusudi kabisa mmeturejesha kwenye zama za ujima nyie watu!!!
Mtu aliyeelimika huwa amevuka kwenye ile hali ya kuangalia watu eti watamcheka akifanya jambo fulani, ukiona bado una feelings za kuogopa kuchekwa fahamu elimu uliyo nayo imekusaidia kujua kusoma , kuandika na kupata vyeti tu..lakini hujatoa ujinga!
 
tunaongozwa na washamba, period.

wanaowapigia makofi washamba wajitafutie kundi na wasisahau kulipa jina hilo kundi lao !!
 
Wati didi yu eksipeti fromu Mista Embasada wulidi duu? hi wozi jasti akomplishingi hizi protokoo he kulidinti refyuzi ze wito.

Hanesti spikingi wi azi Tanzanians, wi aa rili skrudi apu thisi taimu, leti mi endi hia ai hedi fromu the owuna of DSM thati wi wili bi delti withi. thekth!
An endi tude ngonjera is niaring ekonomik developia is praktikality noti a songu withauti atuni!
 
Kuna vitu vinafanywa awamu hii utadhani nchi ndio inapata uhuru dah !!!
Mungu tusaidie.
 
Wenyeji ndio wenye haki ya kutoa jina la mji wao, na sio wasafirishaji. Umechemka

Mzee hzo ni IATA and ICAO codes znajulikana internationally hata wahindi wenyew wanafaham sio kwamba zmetengenezwa kienyeji, for every pax who goes to Mumbai his/her boarding pass and baggage tag will read BOM. Kama ukienda kwa bus ndo utasema Mumbai bt if you are flying it is BOM
 
Ila watanzani tunaipenda sana Nchi yetu kiasi kwamba tunaamini kila tunaloambiwa na watawala
Kwa muono wako Atcl inarudi kuwa shirika la maana la Usafiri wa ANGA umeshajua faida kiasi gani imepatikana tangu ndege za Mwanzo zianze kufanyakazi
Labda utupe mawazo yako, tufanyaje ili atcl irudi kwenye biashara? Kama tulikuwa hatuna ndege, solution si ilikuwa ni kununua ndege ndugu au ulitaka tuendelee kuwasifia KQ halafu tusubiri muujiza wa Mungu? Kama hujaianza safari kujua changamoto zake na kamwe huwezi kujua suluhisho la changamoto hizo. Lililo jema atcl wanajua ugumu ulio mbele yao.
 
Kabla hatujaenda mbali natamani kujua kama umewahi kufanya biashara yoyote!
 
tunaongozwa na washamba, period.

wanaowapigia makofi washamba wajitafutie kundi na wasisahau kulipa jina hilo kundi lao !!
Bora washamba waliothubutu kugombea uongozi na waaminiwa na watu..na pengine wamefanya mambo mazuri kwa jamii hata kama ni machache kuliko wewe unayetoa povu jf huna zuri moja la kuonyesha hata mtoto wa darasa la kwanza ulilofanya kwa jamii..you agreed to be a slave of your own poor mind!
 
vipi bado upo airport unaishangaa-shangaa dreamliner?
 
Back
Top Bottom