Is Lowassa still relevant? - I would say "No"

Naamini mfumo wa bongo ni mbovu toka chini mpaka juu, na swala la kumuona Lowasa tuu ndo mchafu wakati uongozi wote umeoza si sawa! CCM watuaminishe ivi leo alie msafi awe wa kwanza kumnyooshea kidole lowasa, tukumbuke haya:-
.Mkataba wa Bulyanhulu ----Jakaya Kikwete
.IPTL ----Jakaya Kikwete
.Uuzwaji wa vitalu, na ujenzi wa ---- Msekwa
.Hoteli holela pale Serengeti
.TPA(Kuhodhi vitengo muhimu) ------Kinana
Unexplainable -----Mkapa& Anna Mkapa
.SDA ----- Sita
 
Ndio maana nimesema yuko relevant ndani ya CCM tu. Ana kibarua kizito cha kuwashawishi wananchi. Anayo karata moja tu ambayo ameishikilia ambayo akiicheza vizuri atakivuka kizingiti hicho. Lakini, I have a feeling (no evidence whatsoever) kwamba yaweza kuwa garasa kama mtu mwingine akiwahi kuicheza kwani he has a poker face.
 
Mwanakijiji hebu rejea hii makala, iliandikwa 2008:

Is ‘political comeback' a norm?
Our society is peculiar. That is how one disappointed activist described Tanzania after the recent Kiteto by-election. It seems she expected too much from the aftershocks of Richmondgate.

Yes, Richmondgate has created a lot of expectations. In fact it is even credited for transforming our society. For instance, one journo describes "How Richmond re-ignited reading culture" (The Citizen 27/02/08).

Were it not for Richmondgate what else would compel our government to do away with its culture of accumulating teachers arrears? A threat of a nationwide teacher's strike? Maybe. But some will argue that we have been there before. They will remind us that in July 2006 the then Minister responsible for Education had to promise that the government will pay teachers their accrued allowances up to January 2006, amounting to Tsh 850 million. But what happened?

Thus, they will insist that the twin scandals of Richmond and BoT have proved beyond reasonable doubt that we have enough money to cater for teachers. That is why the government has promised to release more than Tsh8 billion to clear teachers' pending arrears. But, what about the other outstanding debts, the skeptics of the impact of Richmondgate would ask?

These skeptics will go on to catalogue how our society easily forgives and forget. They may even argue that it is not peculiar to Tanzania. Rather, it is an African essence. To buttress that assertion they may appeal to the coiner of ‘Africa's short memory of hate' who argues that "sometimes we forget too readily, but it is a very important democratic resource."

This coiner goes on to provide a classical case to prove ‘Africa's culture of Tolerance': "My Founder-President, Jomo Kenyatta, was imprisoned by the British and dismissed as leader unto darkness and death by the colonial governor. Kenyatta lived to become the leading Anglophile of Kenya, suffering without bitterness and remaining fond of the British."

Another case he provides is that of Nelson Mandela. This is well-known and publicized. But, what about this: "You have Ian Smith, who let loose all sort of devastation on the population of Zimbabwe. Then comes the ending of the unilateral declaration of independence, and this architect of terror becomes a Member of Parliament and continue to abuse the new black government of the day of Robert Mugabe"?

Almost persuaded, we may look back and try hard to remember. With the aid of our historians we could remember all those we ‘hated' in the wake of the Arusha Declaration. We called them ‘kupe' i.e. ‘ticks'. In hindsight, we will see what has become of those we labelled ‘wahujumu uchumi' i.e. ‘economic saboteurs.' Thanks to Tanzania's short memory of hate, they are no longer exploiters. Some are partners in development. Others are our engines of growth.

Perhaps it is this amnesic culture of forgiving and forgetting much faster that explains why it is easy to stage political comebacks. How else can we explain the public credibility of those whose political career seemed to be over after Mwalimu Nyerere's open critique on ‘Our Leadership and the Destiny of Tanzania'? How can one explain the fall and rise of those who cast the first stones to our immediate former Prime Minister? Didn't they also scandalize us in the past?

Villains of yesterday can become heroes/heroines of tomorrow. Isn't that what our politicized adage ‘yaliyopita si ndwele tugange yajayo' i.e. ‘what has befallen us is no longer a big deal/illness, let us focus on the future' imply? Why don't we simply forget that overblown link between Richmondgate and deaths due to lack of access to electricity? After all Richmondgate, like Loliondogate, is just another ‘political accident'. And how can ‘African culture of tolerance' query this when its adage affirms that ‘ajali haina kinga' i.e. ‘an accident is not preventable'?

Our anti-corruption activists may be appalled at the political comeback of the immediate former Vice President of South Africa who was demoted because of a corruption scandal. They may do well to mull on why, as the new President of the ruling party, he will most likely be voted by ‘the people' to become the next President of South Africa. But can they tell us what is so peculiar about this political comeback? Isn't it so close to home? Why should we be wary about what our society has democratically normalized as a legitimate part and parcel of our political landscape?

If many scandalous politicians have resurrected their political career why then should it be an anathema when those implicated in Richmondgate wish to do so? By the way, do they elect themselves? Where do they get their legitimacy and credibility? Aren't we the ones who vote them in and/or out?

Ultimately, it is our society that determines the success of a political comeback. We are that society. If we opt to be​ peculiar so be it. After all, it is the chief architect of our seemingly peculiar ‘familyhood' who sarcastically told us that we get the leaders we deserve.
 
Ni kweli kabisa anachosema mwandishi na kwa kweli ikitokea EL anarudi madarakani haiwezi kushangaa na haitakuwa nje ya realm of possibilities. Ila threshold ya yeye kuweza kuwavutia Watanzania ni kubwa sana in my opinion.
 
If many scandalous politicians have resurrected their political career why then should it be an anathema when those implicated in Richmondgate wish to do so? By the way, do they elect themselves? Where do they get their legitimacy and credibility? Aren’t we the ones who vote them in and/or out?

Ultimately, it is our society that determines the success of a political comeback. We are that society. If we opt to be​ peculiar so be it. After all, it is the chief architect of our seemingly peculiar ‘familyhood’ who sarcastically told us that we get the leaders we deserve.

Ni kweli kabisa anachosema mwandishi na kwa kweli ikitokea EL anarudi madarakani haiwezi kushangaa na haitakuwa nje ya realm of possibilities. Ila threshold ya yeye kuweza kuwavutia Watanzania ni kubwa sana in my opinion.
 
Naweza kupendekeza kuwa Lowassa alikuwa na nafasi ya kujijenga upya baada ya kujiuzulu katika kashfa ya Richmond. Wakati ule alipojiuzulu alikuwa bado na umaarufu wa aina yake na umaarufu ambao ulilazimisha watu kugawanyika pande mbili kumhusu yeye. Nakumbuka walikuwepo watu ambao waliamini kabisa kuwa ni Lowassa aliyemjenga Kikwete na kuwa ni yeye kweli aliyekuwa mashine ya serikali. Maamuzi mbalimbali ambayo yalichukuliwa na serikali kati ya 2006 na 2008 yalimhusisha sana Lowassa kiasi kwamba haikuwa haki kumpa pongezi Kikwete bila kumpa pongezi waziri wake mkuu.

Anguko lake lilikuja kwenye suala la Richmond kama wengi tunavyojua. Nimerudi kuangalia mara kwa mara maelezo yake kwenye mahojiano yake na TVT (yanapatikana kwenye mwanakijiji's Channel - YouTube) na kumsikiliza zaidi ya mara hamsini sasa. Jinsi alivyolishughulikia suala lile hata kama ilikuwa ni kwa nia nzuri kiasi gani isingeweza kukubalika kwani alijipa madaraka ambayo hakuwa nayo. Na zaidi ni uamuzi wake wa kujiuzulu (kuzira) Uwaziri Mkuu kwa mtindo alioufanya ambao kwa kweli wengine japo tulitarajia lakini tulitarajia uwe ni kujiuzulu kwa kuwajibika siyo kwa kuzira.

Sasa kuanzia wakati ule wa kujiuzulu naamini umekuwa ni wakati wa majuto kwani yumkini amebakia kufikiria mara 1001 jinsi ambavyo angeweza kujitetea pale Bungeni bila kulazimika kujiuzulu. Siwezi kushangaa kuwa kama kuna majuto aliyonayo Lowassa ni jinsi alivyojiuzulu kwa haraka ili kuwapata kile alichokiita "a wish" ambayo wabaya walikuwa wanataka yaani "uwaziri mkuu". Nakumbuka maneno yake kuwa "I'm going to grant it".

Sasa, aliamua siyo tu kuzira lakini kuzira kabisa na mambo mengine. Ni wazi aliumizwa sana na tukio lile na watu waliokuwa karibu yake nao waliumia pamoja naye. Na wengi wameendelea kuonesha uaminifu kwake. Wamesimama naye na wameenda naye jangwani na hatimaye wamekuwa na matarajio kuwa wanaweza kurudi naye kwenye nchi imiminikayo maziwa na asali.

Tatizo ni kuwa Lowassa hawezi kurudia utukufu uliokwisha ondolewa. Alikuwa na nafasi ya kuurudia kama angefanya maamuzi sahihi baadaye. Na atakuwa na wakati mgumu zaidi kama atajikuta anachukuliwa hatua yoyote na Chama chake. Usalama wake ni kuweza kuzuia mashambulizi na kurudisha mashambulizi. Lakini endapo atajikuta anapewa "karipio kali" au uamuzi wowote adverse dhidi yake utakuwa ni mwisho wa nyota ya kisiasa ya Lowassa. Sidhani kama atakuwa na nafasi yoyote ya maana nje ya CCM. Isipokuwa kama ataweza kuondoka kweli na wabunge wengine ndani ya CCM ambao wanamtii na hivyo kusababisha a semi-parliamentary election.

Could Lowassa be a "come back kid"? I don't think so. Could he be a reckoning force? labda ndani ya CCM. Is he relevant for the political future of the country. AN EMPHATIC NO.

For once, you are right!
 
lets wait and see mwanakijiji everything is posibble in politics, hakuna formular humu inategemea vipi unawandaa watanzania
 
MKJJ,

Hiyo paragraph ya 5, the last line unamaanisha aondoke CCM akaanzishe chama chake na "wafuasi watiifu" wake au unamaanisha aondoke CCM na kujiunga na already established political parties?

Kama ni the former naona atakua na the most to lose sababu chama kipya kabisa mpaka kienee nchi nzima kinahitaji muda na organisation ya hali ya juu, halafu ukiongeza na CHADEMA factor kusimamisha mgombea naona both CCM Asilia na CCM Lowasa will lose to CDM.

Kama ulimaanisha the latter, je watajoin chama gani kitachowapokea na chenyewe kikabaki na harufu safi na si kuhusishwa na ufisadi? Halafu tuassume waende CHADEMA, hivi CDM haikua na wagombea kwenye hayo majimbo ambayo "walichakachuliwa" na hao wafuasi wa Lowasa, je watashindanishwa ndani ya CDM au ni green pass?

I think analysis nzuri ila hapo hujapaweka clear....
 
Naweza kusema kuwa Lowasa is still relevant kwa sababu ya mrithi wake Pinda. Tangu Lowasa ajiuzulu tunaona ni jinsi gani Serikali chini ya Pinda imepwaya na imeshindwa kufanya maamuzi mengi madogo madogo ambayo Pinda anayaona kuwa ni mazito,, yes Lowasa is still a hero when it comes to taking difficult and right decisions, the rest remain a mystery...
 
Naweza kusema kuwa Lowasa is still relevant kwa sababu ya mrithi wake Pinda. Tangu Lowasa ajiuzulu tunaona ni jinsi gani Serikali chini ya Pinda imepwaya na imeshindwa kufanya maamuzi mengi madogo madogo ambayo Pinda anayaona kuwa ni mazito,, yes Lowasa is a hero when it comes to taking difficult and right decisions, others remain a mystery...

I'll tell you one thing.. PInda angekuwa mwanasiasa wa aina ya Lowassa angeimbwa na kutukuzwa sana; think about it. Pinda siyo mtu wa kuandikwa sana na hatumii watu wa ofisi yake kuandikwa andikwa. Pinda ni simba mwenda pole. Tatizo lake kubwa ni kinyume kabisa na Lowassa yeye - kama wengi walivyosema alipoteuliwa - anapenda kuwa on the safe side. Hataki toka mwanzo kumoutshine Kikwete. Pinda ukimuondoa Uwaziri Mkuu sasa hivi wala hakuna mtu atakumbuka aliwahi kuwa Waziri Mkuu lakini rekodi yake ya utendaji utaona inapita kwa mbali tu ya Lowassa. Go figure.
 
MKJJ,

Hiyo paragraph ya 5, the last line unamaanisha aondoke CCM akaanzishe chama chake na "wafuasi watiifu" wake au unamaanisha aondoke CCM na kujiunga na already established political parties?

Kama ni the former naona atakua na the most to lose sababu chama kipya kabisa mpaka kienee nchi nzima kinahitaji muda na organisation ya hali ya juu, halafu ukiongeza na CHADEMA factor kusimamisha mgombea naona both CCM Asilia na CCM Lowasa will lose to CDM.

Kama ulimaanisha the latter, je watajoin chama gani kitachowapokea na chenyewe kikabaki na harufu safi na si kuhusishwa na ufisadi? Halafu tuassume waende CHADEMA, hivi CDM haikua na wagombea kwenye hayo majimbo ambayo "walichakachuliwa" na hao wafuasi wa Lowasa, je watashindanishwa ndani ya CDM au ni green pass?

I think analysis nzuri ila hapo hujapaweka clear....

Let me give you the worst case scenario. Sema Lowassa anaondoka na kundi la wabunge pamoja naye (which is highly improbable) hawezi kwenda CDM au CUF. Na sidhani kama ataanzisha chama kipya. Chama pekee ambacho anaweza kuingia nacho ni UDP kwa sababu ya Chenge (kama Chenge naye anaondoka). Lakini, akitoka atakuwa amejiweka kuonja majoto ya silaha ya mashambulizi binafsi ya CCM (the weapon of personality destruction). Ndio maana he is smart hajaweza kuondoka na sidhani ataondoka mwenyewe.
 
Naweza kusema kuwa Lowasa is still relevant kwa sababu ya mrithi wake Pinda. Tangu Lowasa ajiuzulu tunaona ni jinsi gani Serikali chini ya Pinda imepwaya na imeshindwa kufanya maamuzi mengi madogo madogo ambayo Pinda anayaona kuwa ni mazito,, yes Lowasa is a hero when it comes to taking difficult and right decisions, others remain a mystery...

If Lowassa is still relevant kwa "extraordinary abilities" kama ulivyoziportray hapo.

Kwanini anashindwa kutoka CCM wanakomchafua kila siku na kuanzisha chama chake cha siasa? 2015 is still 4 years away, ODM-Kenya kiliundwa only 2 years before the Kenya 2007 general elections na walishinda sema "walichakachuliwa" na vita ikalipuka. Huko ndo kukubalika kwa Odinga kulivyokua. Na hayo ndio hasa "maamuzi magumu" anayotakiwa kuyafanya. Sio kutuma wapambe kwenye mitandao kumpamba wakati mwenyewe hajiamini.

Why anasita kutoka huko wanakomchafua if he is that capable and that clean? Atoke huko wananchi waamue 2015
 
Let me give you the worst case scenario. Sema Lowassa anaondoka na kundi la wabunge pamoja naye (which is highly improbable) hawezi kwenda CDM au CUF. Na sidhani kama ataanzisha chama kipya. Chama pekee ambacho anaweza kuingia nacho ni UDP kwa sababu ya Chenge (kama Chenge naye anaondoka). Lakini, akitoka atakuwa amejiweka kuonja majoto ya silaha ya mashambulizi binafsi ya CCM (the weapon of personality destruction). Ndio maana he is smart hajaweza kuondoka na sidhani ataondoka mwenyewe.

The last two lines zimesummarize vizuri what i have been suspecting all along. Maana kila siku wapambe wake humu utawasikia, ENL ni mtu wa difficult decisions, sijui anauthubutu, ana maamuzi, lakini linapokuja suala la kuachana na siasa uchwara za CCM, za kumchafua na kuanzisha chama chake cha siasa ili wananchi wampime na kuamua 2015, hawasemi kitu.

ODM-Kenya waliweza in just 2years, kwa nini yeye hajiamini kutoka huko na kuna 4years to the next general elections? Nadhani MKJJ hapa umenipa jibu la ujazo.
 
I'll tell you one thing.. PInda angekuwa mwanasiasa wa aina ya Lowassa angeimbwa na kutukuzwa sana; think about it. Pinda siyo mtu wa kuandikwa sana na hatumii watu wa ofisi yake kuandikwa andikwa. Pinda ni simba mwenda pole. Tatizo lake kubwa ni kinyume kabisa na Lowassa yeye - kama wengi walivyosema alipoteuliwa - anapenda kuwa on the safe side. Hataki toka mwanzo kumoutshine Kikwete. Pinda ukimuondoa Uwaziri Mkuu sasa hivi wala hakuna mtu atakumbuka aliwahi kuwa Waziri Mkuu lakini rekodi yake ya utendaji utaona inapita kwa mbali tu ya Lowassa. Go figure.

Hii taarifa nilikua siijui, nashukuru kwa hii taarifa.
 
Kwa kuwa bado inaaminika kwamba hakuna Rais atakayeweza kutoka nje ya CCM, Lowassa kwa kutumia mbinu mbalimbali za ushawishi ndani ya chama kupitia kwa baadhi ya wajumbe wake, anafanya jitihada kubwa kuona kwamba CCM inampitisha kama mgombea urais.
Niliwahi kuwa mkoa mmoja bila kujua kwamba Lowassa was on the way. Lobying ya wajumbe na makada wa chama, na pilikapilika nilizoshuhudia pale, ziliniacha hoi baada ya kugundua yalikuwa ndo maandalizi ya ujio wa bwana mkubwa. Kwa bahati mbaya wengi waliokuwa wanajishughulisha ilikuwa ni kwa manufaa binafsi zaidi kuliko kichama.
Kujibu hoja yako MMJ, relevance ya Lowassa imebebwa na dhana kwamba ni CCM pekee ndo ina mandate ya kutoa Rais, kwahiyo mheshimiwa anapigana kufa na kupona kuhakikisha yeye ndo anabeba bendera ya CCM 2015. Ila ndani ya moyo wangu, naamini kabisa sitakuja kuishi katika mikono ya mtawala mwenye jina hilo...sijui kwanini lakini moyo wangu unaamini hivyo kwa dhati kabisa.
 
As we are speaking the Dude Edo is very very powerful now, kuliko nyakati nyingine zooote, more popular, hasa CCM ndani ya chama jamaa anapendwa kuliko yeyote yule, na ana nguvuuuu kichama mnooo, hamuamini ila watch him, na pili viongozi wooote wa dini mostly Lutheran bishops, Roman Catholic church, & hata makanisa binafsi mfano Antony Lusekelo ba waumini wooote wanamkubali saaana, so makanisani kasha maliza campaign, Kichama ndio almost none seems to be his competitor up to now kama wakisema wagombee urais, na kumbuka hii bado mapema kampeni zimepamba moto, na niseme jamaa akishika nchi, atawafinya wabaya wake watajuta, kumbuka jamaa ni mchapakazi sana hili halina ubishi, achana na magazeti if u know him utajua nisemacho, I AM CONVINCED ATAWEZA KUSHINDA URAIS MAPEMA KABISA, ulizeni mikoani, wenyeviti wa mkoa CCM, jamaa anakubalika, this will be INTERESTING TO WATCH....
 
Back
Top Bottom