Kwa wale wanaojua bei za viwanja na nyumba hapa DSM ni kuwa mkoloni Rostam amejinunulia nyumba maeneo ya ghymkana kwa bei poa.
Hii ni nyumba ambayo alikuwa anakaa DR. SHABA , na imenunuliwa kwa shilingi milioni mia nne tuu ile hali wizara ilikuwa imefanya valuation na kuonyesha kuwa bei ya nyumba pamoja na shamba la zaidi ya ekari tatu zilizopo eneo hilo ni shilingi bilioni moja na milioni mia nane. 1.8 billioni yeye kapew kwa milioni mia nne tuu.
Shame to the government and JK as well kwni yeye ndio anawalea hawa mafisadi.
WanaJF sidhani kama kiuafrika ni jambo zuri kuanza kumuita mtanzania mwenzetu mkoloni.Naona watu wanaangalia tu ukiitwa udhibitishe ni vipi Mhesh Rostam ni mkoloni unaweza?(kama unaweza dhibitisha).Au kisa rangi yake