Mpendakukimbiakimbia
Senior Member
- May 18, 2018
- 151
- 274
Naomba jibu. Halafu wanaosomea arts mara nyingi huwa ni vilaza
One ya point 7 inapokwenda kusoma Arts na kuibuka na point 3 unadhani haijui science au mathematics ?Naomba jibu. Halafu wanaosomea arts mara nyingi huwa ni vilaza
Naomba jibu. Halafu wanaosomea arts mara nyingi huwa ni vilaza
Ha ha ha. Mjibuni tu dogo vizuri bila hasira. Ukweli ni kuwa wengi tulifarakana njia pale form two walipomleta kwa mara ya kwanza mdudu anaitwa “Simulatenous equations “ na yule mwenzake Quadratic equations.Kama ulivyo kilaza ww.
Watoto mliozaliwa miaka ya 2000 mna matatizo sana ninyi.
Huchelewi kuja kutuuliza ili uwe mbunge usomee nn, tahira ww
Kuna mwenzako mpaka sasa hajulikani alipo we endelea na maswali ya kipuuzi. CCNP EngineerNaomba jibu. Halafu wanaosomea arts mara nyingi huwa ni vilaza