Is it the end of an era for the William Sisters?

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372
Serena and Venus Williams both suffered shock fourth round exits on a dramatic afternoon at Wimbledon. For the first time in five years neither sister will play in the quarterfinals at the All England Club.

_53720168_serenawilliamsandmarionbartoli.jpg

Serena stopped by battling Bartoli .

_53724370_d07_pironkova_1.jpg


Pironkova beats Venus in straight sets.

Huu unaweza kuwa mwisho wa hawa dada zetu katika mchezo hu ambao, kwa sababu ya hali ya uchumi na sababiu zinginezo, unatupiga chenga sana watu weusi.
<!-- END - caption --><!-- end of the embedded player component --><!-- Player embedded -->
 
Dah wametolewa.....hata sijui kwa muda gani walikuwa nje ya game....dah
 
Hata Mike Tyson naye alitesa kwa muda mrefu lakini kila chenye mwanzo hakikosi kua na mwisho!
 
Back
Top Bottom