Nadhani misahafu ndio imetufikisha hapa tulipo! Moja, kwa kuwa misahafu inasema tajiri ni ngumu kufika mbinguni. Matokeo yake ni kuleta dhana ya kupeana nafasi, ya kwamba tajiri atafaidi duniani, hana haja ya faida ya mbinguni. Maskini anahofu ya moto wa milele hivyo hayuko tayari kupigania haki yake, kuiba, kuwaadhibu majajiri ambao ni wezi wa share yake. Matarajio ya maskini ni kuwa tajiri ataadhibiwa na Mungu mwenyewe.
Hitimisho: nadhani kizazi cha maskini kilichopo sasa ni batili (hakina mtazamo wa mbali). Tumeambiwa tuitawale dunia na mambo yake. Sisi tumeshindwa, dunia ya wadhalimu inatutawala. Tumeshindwa kutekeleza maagizo ya Mungu. Kimsingi, nadhani Mungu ameamua kuteketeza kizazi hiki ili aanze upya na binadamu watakao kuwa tajiri na maskini wenye kujua haki na wajibu wao. Naamini Mungu yupo kwa kuwa napumua kwa msaada wake, nayo ni huruma tu kuona kama nitabadilika na kutambua wajibu na haki zangu, amasivyo ataniondoa siku yoyote!
The Judeo-Christian God of the Bible is constituted by these key characters: Love, Mercy, Grace, Justice, Rightenousness and Truthfulness - He only operates according to these characters, you may call that a limitation if you wish to that is why it is so important to understand the 'contradiction' inherent in the call for God to do actions that are loveless, merciless, graceless, unjust, unrighteous and untruthful; How can he act in contradiction to who He is? Is it possible for God not to be God - to undo His Godness nature?
Yeah, kama kafanya makusudi kuingia mbinguni kuwe kugumu namna hiyo kwa tajiri huoni kwamba hayuko fair ?
If god cannot undo his "godness' nature, then god is not all powerful. He does not have the power to "ungod" himself, in fact he is a slave to his "godnes" and cannot control that one aspect of his existence.
So are you saying god is not all powerful? There is something god cannot do after all ?
Have I ever claimed that there is nothing that God cannot do? I don't think I have to put my words on God's mouth here! This is what God of the Bible says about Himself: "I change not" (Malachi 3: 6).
Umaskini mwingine unatokana na laana na kurithi kutokana na vizazi na vizazi vilivyopita.
Nijuavyo mimi hamaanishi wote. Ila kuna wale ambao utajiri wao haujapatikana kwa njia halali na pia matajiri wanajisahau kwa kufanya anasa bila kuwasadia wanaotaabika.
every time i read this post, nachuma dhambi ya kuanza kuhoji uwepo na uwezo wa Mungu!!! the main reason being the suffering of many "strongest" believers in the arm of strong believers (maskini wa mbagala waliobomolowa nyumba namabomu na RA - is my case)I say god does not exist, and that is why the world is not fair. It is inconceivable that there exists a just, all powerful god who made a world that is inherently unjust, with the law of the jungle ruling practically all over nature.
Ndiyo maana wajanja wakasema "God helps those who help themselves". Hii ni aina ya kidiplomasia tu ya kusema "look after yourself, god does not exist".
Mungu mwenye upendo na nguvu zote angekuwepo angewezaje kuwapelekea maskini WaHaiti majanga baada ya majanga? Mara matetemeko ya ardhi, mara cholera ?
I want to know one thing; how did god come about? Who 'birthed' him/her?
Huyo Mungu hamtaki kumtii then mnalalamika kwa nini duniani kuna matatizo! Ama kweli binadamu kiumbe wa ajabu sana!!!!
Leave pie as pie do not simplify