Amoeba
JF-Expert Member
- Aug 20, 2009
- 3,289
- 781
FAHAMU HILI:
Mungu yupo, tena si mmoja. Wayahudi, waislam na wakristo wanamwamini Jehova-Mungu wa Abraham, kwa wagriki kuna Zeus, kwa wahindu kuna Brahman, Afrika kuna Vodoo kibao (Damballa, Igbo Chi, Ife nk), kila jamii ina Mungu wake wanayemwabudu-wanaamini huyu ndiye aliwaleta duniani, na ndiye atawaondoa duniani. Kwa wanaoamini, mateso hapa duniani yanaweza kumaanish "Mungu anakujaribu" au "Mungu anakuadhibu". Hivyo kama wewe ni mmoja wa waamini-na umaskini wako unazidi richa ya kumwomba mungu wako, kuyafanya mapenzi yake na kufanya kazi kwa bidii! basi huenda "anakujaribu" (vumilia), na kama unafanya kinyume chake basi "anakuadhibu" (badilika).
Binafsi naamini Mungu (Yeyote) ukimuomba jambo lililo ndani ya uwezo wake anao uamuzi wa kukupa au kukunyima. However; hakuna Mungu anayeweza yote, hata ukijidanganya kwa vitabu vya hadhithi za kale vinavyoitwa "vitakatifu"-HAKUNA!!
Hapa duniani tunakuja wote tukiwa sawa, ukiondoa ubnomalities kama za ulemavu wa aina mbalimbali, ni mazingira tunayoyauta (naturaal&man made) ndiyo yanayoanza kututofautisha! Hapo ndipo yanapoanzia matabaka, ukizaliwa familia bora uko likely zaidi kuishi maisha bora bila kutoa jasho jingi. Ifahamike pia kuwa, hakuna jamii iliyokuwa maisha bora from the beginning, ni utafutaji ndy unaweza kukutoa katika maisha magumu. Ukiangalia historia ya Binadamu utakuta kuwa wote asili yetu ni moja (Maeneo ya pembeya Afrika), na ukichimba zaidi utaona kuwa, kundi lililo vencha nje ya afrika (walioelekea magharibi mwa jangwa la sahara mpaka Ulaya, na waliovukia Misri mpaka mashariki ya mbali) ndy waliopata misukosuko mikubwa, na misukosuko hiyo ndy iliwapa mbinu za maisha na kujikuta wengine wakifanikiwa kufanya jamii za kisasa zaidi duniani, ofauti na ndugu zao walioshuka kuelekea kusini na hali ni mbaya zaidi kwa wale waliobweteka kalahari mpaka leo hii!
Mali zinatafutwa, na kamwe usibweteke ukasubiri mtu au Mungu yeyote akutengenezee njia ya kupita! Fight your way through! Inasikitisha kuona mtu wa morogoro hajawahi kufika hata Ifakara, wakati kuna jamaa ametoka ulaya na kuja kuseto Peramiho!!!:redfaces:
Kulalamika sana si suluhu! Hii ni struggle fo survival, amini nakwambia-HATA MAMA ATAMSAHAU MWANAWE!