Is It Possible?

Biblia inakataza kabisa kabisa kuachana. Nashauri kutafuta namna ya kureconcile badala ya
hii ya kuwa na term interactions.
yeah, inakubali tu kuachanishwa na Muumba sio? Hivi babke yesu kabla ya kuwa na Maria hakuwahi kuoa kabisa?
 
Aisee nilipoona hii nikajua mambo ya Lerionka yemerudi tena, "Is it possible to hold a spear in one hand and a book in the other"?...
GY uko njema sana upstairs.... swali hili limemaliza kabisa mjadala
 
Maty na Nyamayao, nimewaweka akiba. Siku yakinikumba ntawakodisha na mdundiko nyuma nyie mbele mie kati. MJ1 atakua mpiga picha wetu,kha!
MJ1,pole. Lakini ukaribu na huyo baba sarawili unakuchelewesha ku-move on. Jiulize unamkaribisha becoz u ar single ama hata ukiwa na mahusiano/ndoa still utamkaribisha? Kama jibu la kwanza ni applicable,it is nt worth it.

Karibu king'asti lol!

hahahaha mie namuona maty kachizika zaidi aise, ntamuweka mbele yangu mie nimfate kwa nyuma,hahahah....mie nasemaje kuhusu huyu kaka kwamba kweli alipata mwanamke.....

Hahahaha nyamayao na kwenye mambo kama hayo huwa nachizika hasa, biashara za kuchezeana akili nani anataka? kama hataki kushiriki kutunza mtoto aishie sitaki kuona pua yake kwani baba hajitambulishi bali majukumu ndio humtambulisha. Halafu ukiona siku hizi tulivyo marafiki huwa tukikumbukaga zile timbwili twacheka kufa.

Ila ndio hivyo hawa watu si wa kuwachekea chekea bana.
 
hapa inategemea mko serious kiasi gani..Kama mmeachana na kila mtu ashaanza mahusiano mengine binafsi unawezaje kuaga kwa mwenza wako
Kwamba sweetheart leo natoka out na baba camilla kuwatembeza watoto..i see ni ngumu.
Pia katika kuachwa inategemea mmeachana vip siku zote huwa mmoja bado anaendelea kuumia kutokana na maamuzi ya mwenzie ..
Ule ukaribu wenu unaweza kuendelea kuongeza maumivu ya moyo wa mmoja wenu na kukumbuka yaliyopita ...
Hapa inatakiwa kusahau kabisa labda kama mna mpango wa kurudiana mbeleni..
..Najiuliza hapa umeachwa na wewe bado unampenda mwenzio na alishaanza mahusiano mengine kumbe wewe kamoyo kanaumia ...unaweza kujikuta unaanza vijiuchokozi visivyotabirika !
Na log off
 
inawezekana kama wote mnataka iwe hivyo na mko single, au kama mna wenza waelewa...kwa bongo hilo la wenza waelewa ni almost impossible, ni wachache sana wenye kujiamini na kukubali wenza wao kuchangamana na ex. Mkiweza ni kitu kizuri sana kinamjengea mtoto kujiamini na kuona wazazi wanashirikiana vizuri ingawa hawakai pamoja
 
Back
Top Bottom