Is high class/high social status earned/acquired/contended? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Is high class/high social status earned/acquired/contended?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kongosho, Nov 15, 2011.

 1. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  I have been wondering how someone changes social status/class from lower level to higher level. Do you earn/acquire from the society around you au ni wewe mwenyewe unajitangaza kuanzia leo mimi ni high class? Reference location: Tanzania.

  Na ni vitu gani vinavyomfanya mtu atoke lower social status to higher mfano, ni kipato, elimu, mavazi n.k
   
 2. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #2
  Nov 15, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Pesa mama
  pesa inamfanya hata mzee amsalimie mtoto mdogo kule kwetu
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Kwa hiyo pesa nyingi ndio high status?
   
 4. Habdavi

  Habdavi JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  society ina values ambazo inatumia kama criteria ya mtu aliyefanikiwa. Angalia jamii inayokuzunguka, ni vitu gani wana uphold?
   
 5. Bright Smart

  Bright Smart JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 644
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  ha ha haaaa..umenikumbusha kale ka wimbo ka Mr. 2 Proud kitambo kidogo,kanaimba "mambo ya fedha ni nomaaa mwanafunzi anaonekana mkurugenzi, mkurugenzi anaonekana kama rais, fedha huleta nafasi pasipo na nafasi usisahau fedha huleta s***...."~II PROUD
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  It is yooote ulotaja... Wapo wa aina tofauti

  1. Earned - By working hard, haijalishi ni fisadi, jambazi ama tu loyal worker e.g Oprah Winfrey
  2. Acquired - Alitumia babu mpaka mjukuu, e.g Prince Charles (Mimba tu mamake na jamii ilijua mtoto atakua High Class)
  3. Contended - What can i say hapa zaidi ya kusema e.g Tigger Woods, Drogba na wengine kibao!!
  Regards to my pal...
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Unajua AshaDii, kuna kitu nakiona lakini sijapata maneno sahihi ya kuelezea. Watu tumeanza kujiweka kwenye high class kwa vigezo ambavyo naona havina mantiki, mfano who are u dating, vipodozi, na kuongea kingereza na kila mtu hata asiyekijua. Inaniconfuse sana kuelewa hii dhana ya high class

  Salam nafikisha.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Unazaliwa nayo
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Nov 15, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kongosho... High Class katika the original dhana ya "High Class" IMO is all about Mtu mwenyewe... it has nothing to do with whom you date, what you were... it is about the person and the whole package of what defines a person.... Nilivokuambia hapa maybe very confusing.... (mana hata mimi nahisi am confused) but ukweli unabaki kua kuonekana wa juu haitoshi kudefine "Class"... Ndo pale mtu aweza onekana High Class BUT once s/he opens up his/her mouth unamshusha at par!

  Tukitaka kuzungumzia jamii yetu ya Ki Tz ndo mtu waweza enda chaka kabisa!! Sababu most of the vigezo vya jammii ndo vile vinafanya mtu aitwe kafulia just bcoz at one time alikua anajiita (ujilikana) ni high class...
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Realy? Mbona huku kwetu tunajiita high class kwa kubeba pochi ya designer tu.
   
 11. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #11
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwa uelewa wangu kwanza kuna tofauti baina ya watu wa high class, celebrities na rich

  Kuwa high class ni process ya muda mrefu itakayokufanya uwe na manners fulani, ideology fulani pamoja na traditions fulani.
   
 12. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  kama kuna mtu anajua

  structure ya class in India aweke humu itasaidia mjadala
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na wewe uliposema ni long term process. Kwa mtazamo wangu siamini kama unaweza kudeclear wewe mwenyewe kwamba ni high class. Naamini ni jamii inayokuzunguka inakuweka katika class fulani.
  Kwa hiyo nafikiri high class is earned from the society na sio kugombewa kama ubunge.

   
 14. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #14
  Nov 16, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Upper class is a state of mind.
   
Loading...