Is he worth a second chance?

Is he worth a second chance?

kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa binti2013 mfana mzuri nina date na Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )

........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)

..........

mkuu naomba kuzijua pliz
 
Last edited by a moderator:
siri ya kambi

Mkuu ukimwambia tu nakukata masikio....
Maana utakuwa umeharibu status za wanaume wooote....kwa kuwa hiyo ndio spana tunayoitegemea wanaume wote katika ufundi wetu wa mahaba....
chonde chonde mkuuu....
 
Mkuu ukimwambia tu nakukata masikio....
Maana utakuwa umeharibu status za wanaume wooote....kwa kuwa hiyo ndio spana tunayoitegemea wanaume wote katika ufundi wetu wa mahaba....
chonde chonde mkuuu....

hahaaaaaaaaa..
 
Vijana bana.... Anyway it is your time to enjoy life
 
Hizi second chances huwa zinakuwa na mwisho m'baya..!
Maelezo yako unaonekana bado unampenda..!
Huyu kidume anajua unampenda bado ndio maana anakujaribu..!

Mara nyingi mtu akikuomba mrudiane ni vile anakujaribu tu..!
Hana nia thabiti ya kuwa na wewe, atakupa machungu kwa mara ya pili...!
 
Uwiiii kaka zangu DuppyConqueror na Eli79 haki mnanitisha kaka zangu....naogopa jamani

"Nilishakwambia....He will do it again !!!! Alafu utakumbuka haya maneno..."

"Hizi second chances huwa zinakuwa na mwisho m'baya.....Hana nia thabiti ya kuwa na wewe, atakupa machungu kwa mara ya pili...
 
Njoo pm bana..i really wanna know

Shoga Matege ukiambiwa niambie na mimi wamenifanya niwe curious hawa watu KikulachoChako na Kilaza.....si mtuambie tuuuuuuu wajameni
 
Second chance can work only for those who ewgrwt what they did
 
Endapo unajisikia unampenda, mkubalie. Ila kwa kuanzia usiwekeze moyo wako 100%, nenda naye taratibu ukimsoma na kama ndiye uliyepangiwa kuwa naye basi muda utaongea.
 
Men shall always be the winners in this love game, huyo mwanaume alishakusoma na anajua weaknesses zako vizuri tu. He can play you the way he likes and have you anytime he wants.

Kuwa makini.
 
akikucheat akirudi kama chance ipo mpe nafasi
 
Back
Top Bottom