Is he worth a second chance?

Is he worth a second chance?

are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)

ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi

Kweli wewe ni Kilaza
 
Last edited by a moderator:
Kama M'mungu amekuandikia utaolewa nae atakuoa ila usijirahisishe hivyo. Best wangu alizaa na jamaa mwaka 1986 wakatemana, jamaa kaoa kama wake wawili hv wakapita, lakini mwaka jana wamerudiana na ndoa yaani utapenda wanavyoishi
 
Shoga Matege ukiambiwa niambie na mimi wamenifanya niwe curious hawa watu KikulachoChako na Kilaza.....si mtuambie tuuuuuuu wajameni

Sema na Mungu wako,inawezekana
*Amejirekeribisha na anajutia kosa lake kweli.
*Amejua thamani na umuhimu wako kwake. So
*Anakupenda kweli. AU
* Ameona umetulia anataka akuumize tena.
 
Mpe second chance..

ila usijikubalishe haraka..

muweke hivyo hivyoo on hold afu kuwa nae karibu balaa#

baada ya miezi sita ndo mwambie yes
 
Listen to your heart & your mind!!

Sometimes you need not to collect other peoples' opinions!!!
 
Mwanaume akikucheat akakurudia hua ana pause tu..... then mkishakua stable ana rud kule kule...... but kama bado unampenda mwambie muoane tho hataacha kucht ila atleast utakua umewekwa ndani
dada huyo jamaa kapigika huko aliko na ametendwa kama alivyokutenda sa cha kufanya mrudie halafu akinogewa tu unamwaga dawa ya moto ni moto yaani hakuna mapenzi ya kweli hapo kama ni uongo muulize story since kakamwaga mpaka hapo alikua single au?
 
Use your brain not your heart! Miaka mitatu yote hiyo ukute kalikologa huko! Mi sikushauri! Chunguza sim zake utakuta majanga!
 
Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future.
Jitu mmeachana miezi 6,leo linakutesti lirudishe majeshi,na wewe ulivyo kiazi,upo-upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama??
Kurudia Matapishi ya EX ukitegemea Amebadilika ni Sawa na Kupika Sufuria la Makande kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi tu..
Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi??Nini Kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi??Akafie Mbele huko.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama Bendera ya Katibu Kata wa Kishumundu...Mtu kama Hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe Minyoo ya Kinyarwanda.
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!
Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!
Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo...
 
Hope utaifanyia kazi hiyo message hamna kitu hapo ni kujirudisha nyuma kimaendeleo mwambie kama anakupenda kweli mpe na wewe challenge ya kukusubiri another 10 years kama dont be desperate na hawa viumbe watakupeleka puta mdelete kwenye sim yako aka mblok asikufanye utumie moyo badala ya akili!!
 
binti2013 sikiliza moyo wako ila Naomba utambue hili ya kuwa hajabadilika chochote huyo mwanaume wako.
 
Last edited by a moderator:
:coffee:

Sio Kila EX wako anayeomba Mrudiane anamaanisha! Wengine huomba kurudi ili wakutesti tu jinsi ulivyo Mbulula,jinsi usivyo na msimamo na jinsi ulivyo CHEAP na huna Misimamo wala Future.
Jitu mmeachana miezi 6,leo linakutesti lirudishe majeshi,na wewe ulivyo kiazi,upo-upo tu,ina maana miezi yote hii ulikuwa umeganda unasubiria rehema zake ama??
Kurudia Matapishi ya EX ukitegemea Amebadilika ni Sawa na Kupika Sufuria la Makande kwa Mshumaa,Utaambulia Masizi tu..
Kipi kipya kakiona kwako hadi arudi??Nini Kilimshinda huko nyuma ambacho leo anakiweza anataka kurudi??Akafie Mbele huko.
KUWA NA MSIMAMO,Ukisema Its Over umaanishe,sio unakuwa na hisia zinapepea tu kama Bendera ya Katibu Kata wa Kishumundu...Mtu kama Hajielewi achana nae,siku akijirudisha mwambie kwanza akapimwe Minyoo ya Kinyarwanda.
Umekazana kuwaambia marafiki zako 'Siku hizi hakuna Mapenzi ya dhati watu wote Majanga tu',nani amekwambia hayapo??Yapo sana ila wewe unatumia mbinu tofauti..Huwezi kusoma Degree ya Law halafu u-apply kazi ya Chief Accountant wa Bodi ya Tumbaku...Kila siku utasingizia Balance Sheet haina Jurisprudence..Lawyers mmenielewa!
Acha kudate watu wasiojielewa,Usidate kwa sababu uko lonely,Usiwe desperate kuingia Mahusiano kwa sababu shosti zako wanakusimulia walivyopelekwa Ruwenzori Waterfalls..Ingia kwenye Mahusiano pale Moyo wako ukiwa tayari na mtu uliyemfia kihisia na amekuwa approved na Veins,Auricles,na Aorta za Moyo wako kwamba He/She is really the One..
Unadate na mtu ambaye mustakabali wake mwenyewe haujui,ukimuuliza anataka kuwa wapi ndani ya miaka 5 ijayo anakwambia Mungu anajua dont worry,halafu BBM na Instagram unajiita Baby Ake Mie Iam in Love..Utaishia kufua boxer hadi kucha zinukie gololi!
Mbwa kamwe hashughuliki na kesi za Paka kufungiwa kabatini.Date the Right Person,With Right reasons,in a Right Time uone kama Mapenzi hayapo...
 
kutembea na kilaza haimaanishi na wewe utakuwa kilaza wewe utabaki kuwa binti2013 mfana mzuri nina date na Tumboo mbona yeye hajawa kilaza???? (hataivyo nina mpango wa kumtema siku sio nyingi )

........I see u still have that feeling kwa jamaa kama bado unampenda mkubalie tuu sasa utafanyaje hahahahahahaha ninavyojua mimi sisi tunarudishaga "majeshi" kwa manzi wanasema ku"retreat" kwa sababu tunazozijua lakini sio kwasababu tumejuta (usiombe kuzijua hizo sababu)

..........

tuambie bwana tuzijue
 
Last edited by a moderator:
Sema na Mungu wako,inawezekana
*Amejirekeribisha na anajutia kosa lake kweli.
*Amejua thamani na umuhimu wako kwake. So
*Anakupenda kweli. AU
* Ameona umetulia anataka akuumize tena.

zamda Geuka
 
Kuna mhubiri mmoja wa marekani anaitwa TD Jakes huwa anasema when people walk away from you let them go, if they were meant to be with you, they would have continued to be with you. Let the bygines be bygones. Funga huo ukurasa na usonge mbele. Zaidi sana muombe Mungu akupe hekima. Ndo maana anaitwa Ex...kashapita huyo...songa mbele.
 
Evarm tatizo la Seth anaongea tu...nways si kila anachosema ni formula.
 
are you in a relationship now????? if not give that hore a second chance ........but don't expect any thing special from him (tabia zake na kila kitu unakijua usitegemee muujiza hapo)

ushauri wangu mkubalie alafu mapenzi yakinoga mcheat tena mcheat na mimi

hahahaaaaaa looo
 
Back
Top Bottom