Is he worth a second chance?

Is he worth a second chance?

Natumaini wanajamvi wote wazima...nimewamiss wote baada ya kuadimika kwa muda kidogo.

Back to the topic, Kuna kaka niliwahi kua na mahusiano nae miaka kama mitatu iliyopita, nilimpenda sana lakini tuliachana baada ya kugundua alikua ananicheat, niliumia sana kwani nilimpenda ila sikua na jinsi sababu alinidanganya.

Maisha yaliendelea na nikamsahau kabisa. Yapata kama miezi miwili sasa huyu kaka amekua akiniandikia na kunipigia na bila kuchanganya maneno aliniambia anajutia kosa alilofanya na anaomba tuanze upya9 mwanzo aliomba msamaha nikamwambia nimemsamehe ila tusiendelee).

Sijamkubalia ila nimekua nikimuuliza kwanini amerudi wakati alinichanganya akadai ule ulikua ni ujana unamsumbua na hakua amewaza kusettle bado ila sasa anataka kuoa na kutulia hivyo anaomba nimkubalie niwe nae.

Kwa upande wangu siwezi sema namchukia ila alichofanya nilichukulia kama challenge za mahusiano nika move on.

Hivi amerudi kuna sparks na feelings kwake zinarudi ila siziamini ukizingatia tuko mbali nimemuambia tuwe tu marafiki (najipa muda kumsoma kama amebadilika naweza rudiana nae sipo kwenye mahusiano kwa sasa na kama nimpango wa Mungu huko mbeleni mengine yatakua.)

Kilichonifanya nije kwenu niombe mawazo yenu nashindwa kujua kama yupo serious? Nini kitanihakikishia kua hataniumiza tena?

Naamini wapo waliona experience ya urudiana na ex watanisaidia lakini na pia naamini people desrve a second chance if they earn it!
Nadhani nimeeleweka mnisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nimejitahidi kuwasilisha la moyoni.

Natanguliza shukrani.

Kusema kwa experience nilyopitia hata sikushauri urudiane unless kama unataka kulizwa tena . I have learned that a cheater is a cheater they will be always a cheater. Move on my dear I know you are lonely now . Jitahidi kujikeep busy. I remember nilipoachana na ex wangu ni sababu hiyo hiyo nilimsamehe akarudia tena na tena . Nilikuwa na volunteer sana kanisani kujikeep busy ya kumsahau ilinidaidia sana sana . Dada move on mume wako yuko njiani . Asante.
 
Napenda hisabati jamani, ndio maana huwa silali nikiwa natunga maswali!

ukitunga maswali majibu unayomajibu tayali ... binti2013 kokotoa bint kokotoa mwana ikikushinda muulize mwalimu.

kamluzi ....suuuh suuuuh suuuuh hisabati olalaa ..laalaa somo zuri sana.

CC miss chagga mwingine huyu huku njoo
 
Hivi, where do females wanaojielewa come from? I would'nt waste My time hurting a Woman who sincerely loves Me!
Lady, huyo atakuumiza tena, he has this illusion that you are the best kwa vile kuna uwezekano kaumizwa alikotoka na kwa kuwa hukumfanyia ubaya mwanzoni, lakini haina maana ataweza kutulia tena na wewe, kwa sababu kama alienda kwingine wakati hukumkosea, alikuwa na sababu iliyomfanya afanye hivyo, na kwa vyovyote vile huijui, sasa atasemaje anarudi kwako wakati hujajisahihisha? Hujui kwanini alikucheat mwanzoni, atasemaje anataka kurudi kwako wakati wewe ni yule yule? Naelewa unaweza usielewe kwa urahisi lakini jaribu kuelewa utakiona nachokisema.
 
Hivi, where do females wanaojielewa come from? I would'nt waste My time hurting a Woman who sincerely loves Me!
Lady, huyo atakuumiza tena, he has this illusion that you are the best kwa vile kuna uwezekano kaumizwa alikotoka na kwa kuwa hukumfanyia ubaya mwanzoni, lakini haina maana ataweza kutulia tena na wewe, kwa sababu kama alienda kwingine wakati hukumkosea, alikuwa na sababu iliyomfanya afanye hivyo, na kwa vyovyote vile huijui, sasa atasemaje anarudi kwako wakati hujajisahihisha? Hujui kwanini alikucheat mwanzoni, atasemaje anataka kurudi kwako wakati wewe ni yule yule? Naelewa unaweza usielewe kwa urahisi lakini jaribu kuelewa utakiona nachokisema.

Asante my dear....had to read this twice to understand!! Thank you
 
Dada yangu,
Nikusifu kwanza kwa kuandika vizuri na mtiririko unaoeleweka, bila shaka wewe ni mtu makini sana.
Nirudi kwenye hoja, mnapokuwa na mahusiano na mtu tena ya muda mrefu mnapitia changamoto nyingi, sisi tulionza kuwa na wapenzi kuanzia A level na baadaye mkaendelea mpaka chuo tunaelewa vizuri.

Mtu anaweza kukucheat hilo ni jambo baya kabisa na mnaweza kuachana kwa sababu hiyo lakini baada ya miaka unagundua kwamba msichana 'uliyemcheat' ni bora kuliko wote na kuamua kurudi kwa msamaha na kujuta.

Ninaongea kutokana na experience hapa,ilitokea hivi kwangu japo sikucheat na tukaachana na msichana niliyekuwa naye kwa miaka mitano, then baada ya mwaka nikagundua kuwa yeye ndio msichana bora kabisa so nikamtafuta nikiwa nje ya nchi na nikamueleza ukweli tu kuwa imekuwa ngumu kwangu kuanzisha mahusiano mengine hivyo anisamehe na sitarudia tena tabia iliyofanya tuachane. Ilimchukua miezi mitano kukubali ombi langu, allahamdulillah alipokubali sikuchelewa tumefunga ndoa na tunaishi kwa amani na furaha.
Lakini kilichonishangaza ni siku aliponiambia kuwa japo alikuwa anani ignore kwa sababu alikuwa hapokei simu zangu wala kujibu message mara kadhaa lakini moyoni mwake alikuwa akinikumbuka na kutamani turudiane....

Inawezekana amebadilika kweli na anakuhitaji....Maamuzi bado yapo kwako kumkubali ama kumkataa, lolote unaloamua amua kwa busara.
 
Love is all abt risk...u will nvr knw until u give t try

spot on, hakuna namna ya kujua b4, kama kungekua na kitu kama icho ulimwengu wa kimapenz ucngekua na suffering zote izi na hakika iyo huduma hata ingekua ghali vipi lazima ingepata wateja, back to the topic dada angu kama jamaa alivyosema, ni kutake risk tu labda this time ongeza kumchunguza zaid kisiri siri ingawa in the end majibu ili kuyapata ni lazima uwe nae kwanza this goes the same hata kwa wadada wanaodai namchunguza kwanza nimjue tabia yake ndio nimkubali ukweli ni wanapoteza muda tu!!!
 
Back
Top Bottom