...na kwa akili yako usichokiona wewe HAKIPO.vipo unavyoviona wewe tu.
kiwango chako cha upumbavu kiko juu mnoo...
yaani unakutana na mtu then unamwambia kwamba chumbani kwake kuna kibatari cha dhahabu kisichoonekana kinaelea katikati...
kwamba ni illusionist ni kukupa ujiko usio stahili.labda ni mwezi mchanga...
mifano yako imejaa majinga majinga na wala huoni soni.
unategemea ignore list imekupa kiburi cha kuandika majinga majinga...
Majinga majinga yenyewe ni :
kama unafahamu kutokuwepo kwa kibatari cha dhahabu kwa nini uulize au wewe ni chizi ?
wewe umesa chumbani kwangu "HAKUNA " then wataka uthibitishiwe hakuna yako. bogus
umeambiwa Mungu ndiye Muumbaji angalau kina pa kuanzia.
wewe unasema huyo ninayesema ni Muumbaji hayupo ! nakuuliza umejuwake hayupo ? Wakati mimi nafahamu yupo na amewahi kuja duniani akakanyaga ardhi akiitwa Yesu.
badala ya kuniambia namna ulivyomtafuta ukamkosa na ukahitimisha hayupo unabuni mfano uliojaa majinga majinga.
wewe jamaa mzigo kweli kweli...
cc Ishmael
Yeye ndiye muumbaji na ndiye mwenye haki ya kufanya atakavyo.
Mbona matuc kaka....
God is fair,righteiuos and just.Shetani huleta matatizo aangushe watu wa Mungu,ila Mungu hutumia matatizo kukutana na watu wake..Mema yote tuyaonayo,ni ufumbuzi wa matatizo..Matatizo yanaleta ladha ya maisha.akisema kuwa yy ndo mponyaji,it means hawezi kukuponya bila wewe kuugua..ndo maana akawa mponyaji..#misuliyaimani #ambwene
Anaonyesha uwezo wake wa uumbaji kwa nani? Ili iweje? Anahitaji nini mpaka atake kuonyesha uwezo wake hivyo? Asipoonyesha atakosa nini?
Sijauliza nani muumba, sijauliza nani ana haki ya kufanya nini.
Nimeuliza kwa nini kaumba hivyo? Kwa nini anaji contradict kama a bad Greek drama?
Hujajibu hili swali. Kama hujui sema tu hujui.
Sio unajibu swali ambalo hujaulizwa na ambalo umeulizwa unaliacha hujalijibu.
Roho ni uwezo unaomuewezesha kiumbe kuwa na uhai,kwahiyo kiumbe hata kiwe na viungo vyote lakini bila roho kinakuwa hakina uhai.
Sababu unajengea hoja kwa kutumia maneno ya Mungu,hivyo jenga hoja nje ya maneno ya Mungu.
Kwanza bado mkuu hadi sasa hujaeleweka,kwani uwezo wake yeye na kutuumba sie kuna husika vp hadi kuwa ni ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu?
Hebu fafanua hoja yako kwanza.
Shetani katoka wapi?
Kawezekanaje kuwapo hapa duniani?
Kiranga..God has made u in a simple way,but u have made uaself very complicated...watu wa kizazi hiki,mkipigiwa nyimbo za maombolezo hamlii,mkipigiwa ngoma pia hamchezi..if u keep that attitude of urz,u will look and look but u shall not see,u will seek but u shall not find,u will listen but you shall not understand..
Shetani katoka wapi?
Kawezekanaje kuwapo hapa duniani?
Still, utukufu wa Mungu utaonekana daima na milele..
Kabla ya kusema sana habari za roho, unaweza kuthibitisha kwamba roho ipo na si hadithi za uongo tu?
Hujajibu inapimwa kwa kipimo gani na utathibitishaje kwamba ipo kweli na si hadithi tu za uongo.
ukiombwa uthibitisho wa gravity unaleta porojo.
umeambiwa ROHO sio matter ambapo ingekuwa rahisi sana kukutjibitishia mtu ambaye u
akaririshwa yahusuyo matter.
Mimi roho najua ipo na inatenda kaxi sambamba na viungo vingine vya mwili...Roho ndiye anauesimamia na kurudufu uwezo wa kuandika hapa. ninayoyaandika yapo kwenye fikra xangu na ni sehemu ya mimi katika nafsi na roho.
Kila kitu kina sifa zake, hawezi akaja mtu na kukuuliza sauti yako ina rangi gani? Hivyo kama nilivyoeleza kwamba roho ni uwezo unaowezesha kiumbe kuwa na uhai..sasa sijajua unauliza kipimo kwa vp
I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Nipe ushahidi wa kuwepo kwa mungu, kitoka popote pale, hata kwenye vitabu hi yo inavyosema ni vya mungu, ili mradi uwe logically consistent tu.
Siyo mara mungu ana uwezo na upendo wote, mara kaumba viumbe kwenye ulimwengu ambao tabu na mateso ni kitu cha kawaida.
Mungu mwenye ukamilifu wote kwa nini ahitaji kuumba chochote?