Is God fair ?

Is God fair ?

You are putting the horse before the cart.

Unasema kuna uhusiano kati ya kifo na mungu kabla hata hujathibitisha mungu yupo.

Thibitisha mungu yupo kwanza kabla ya kuforce uhusiano wa kifo na mungu.

Unaweza kuthibitisha mungu yupo?

Unaweza kuthibitisha kutokuwa na uwepo wa Mungu bila kuangalia kwanza kama Mungu ana Upendo au hana?

Upendo na uwezo wote hizo ni sifa zake kama lilivyo swala la kifo.
 
Unaweza kuthibitisha kutokuwa na uwepo wa Mungu bila kuangalia kwanza kama Mungu ana Upendo au hana?

Upendo na uwezo wote hizo ni sifa zake kama lilivyo swala la kifo.

Kutokuwepo hakuthibitishiki.

Unaweza kunipa alama za vidole za mwizi ambaye hayupo na wala hajawahi kuwepo?
 
Kutokuwepo hakuthibitishiki.

Unaweza kunipa alama za vidole za mwizi ambaye hayupo na wala hajawahi kuwepo?

Ulipojifunga ktk hilo swali lako ni hayo masharti ya huyo mwizi, kwama "hayupo na hajawahi kuwepo".

Sasa mie nimekwambia kuwa Mungu yupo na ndiyo nikakwambia wewe unayesema hayupo uthibitishe kutokuwepo kwake(baada kukataa ishara zenye kujulisha uwepo wake)
 
Kabla ya kusema yupo, toa uthibitisho kwamba yupo.
 
Labda kati yenu pengine kuna mmoja hajui udhibitisho ni nini? Na upo katika aina ngapi?

Mkilijua hilo mtaelewana mapema kuliko mnavyozid kurudia maneno yale yale tokea awali
 
Uthibitisho upo ktk kitabu chake.

Kiabu gani?

Kilichosema ana uwezo na upendo wote, kisha kaumba ulimwengu ambao utasababisha awachome viumbe wake mwenyewe moto wa milele?

Hivi hili linaingia akilini na kukubalika kweli?
 
Labda kati yenu pengine kuna mmoja hajui udhibitisho ni nini? Na upo katika aina ngapi?

Mkilijua hilo mtaelewana mapema kuliko mnavyozid kurudia maneno yale yale tokea awali

Udhibitisho ni tofauti na uthibitisho.

Unakusudia kipi?
 
I am in a deep thoughts,Is God really fair?

For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu

Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?

NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain

Ndugu, The God is never unfair. Tuachotakiwa ni kufuata taratibu alizotuwekea. May be uliyechagua hakuwa muaminifu so ulifanya kosa katika uteuzi, be honest ujiulize ulimchagua kwa vigezo anavyoridhia The God? au vinavyopendwa na binaadamu. Mara nyingi matatizo yanasababishwa na sisi wenyewe au binaadamu wenzetu na sio God. Mfano abiria wasio na hatia wanapopindka na ndege, meli au gari huwa most of the time we dont say God is unfair to them, lnawezekna mokosa wamefanya madereva, captains... au wenye dhamana na hiyyo vyombo. All in all, tunatakiwa tuwe wastahmilivu katika mitihani lakini is unfair to question The God fairness because He is never unfair to us, all that we belong and proud of are the results of God mercy on us! Hatuna wema tuliomfanyia Mungu akatulipa mazuri tuliyonayo amefaya kwa mapenzi yake tu, jiuize tumefanya wema gani mpaka Mung akatujaalia kuwa na macho, mikono,miguu,maskio,mdomo, akili....na waliokosa haya wamefanya kosa gani?
 
Mungu hayupo alishakufa, amebaki SHETANI tu ndiye anayehubiriwa kwenye majumba yote ya ibada kuwa ndiye MUNGU!
 
Kiabu gani?

Kilichosema ana uwezo na upendo wote, kisha kaumba ulimwengu ambao utasababisha awachome viumbe wake mwenyewe moto wa milele?

Hivi hili linaingia akilini na kukubalika kweli?

Kitabu gani hicho? Na kimeuzungumziaje huo upendo?
 
Kiabu gani?

Kilichosema ana uwezo na upendo wote, kisha kaumba ulimwengu ambao utasababisha awachome viumbe wake mwenyewe moto wa milele?

Hivi hili linaingia akilini na kukubalika kweli?

Kungia akilini mwa MTU inategemea mambo mengi.
1. Je ? MTU mwenyewe anayo hiyo akili ya kuweza kuelewa na kuingiza uelewa kihusu Upendo wa Mungu.
2.Je ? Anaelewa maana ya Upendo kwa kadri unavuozungumziwa kwamba ni Upendo wa Mungu.
3. Je ? MTU mwenyewe uwezo wake wa kujiuliza mambo mbali mbali iwe ya kimwili (material) au ya Kiroho (spiritual )
4. Je? MTU mwenyewe akili ya kufikiri na kutafakari IPO au anayo lakini imeghoshiwa au anayo ya kumsaidia kukariri Tu na si kutafakari...

Sasa MTU Kama Kiranga ambaye anayoakili ya kukariri Tu ya kutafakari imeganda kwake ni ngumu Sana kutia akilini mambo ambayo kuyaelewa uanahitaji matumizi ya akili ya kujihoji na kuhoji.
Usimlaumu Mungu ni wewe wewe
 
Last edited by a moderator:

Hujajibu swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya na mateso yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?
 
Biblia na Quran.

Vimeuzungumzia upendo kama upendo wa kimungu, upendo wote.

Wewe ulifikirije?

Eh! Navyojua huo Upendo ni sifa yake, lakini vilevile anasifa ya Uumbaji. Je,sifa hii ya uumbaji nayo imezungumzwa vp kwn hivyo vitabu?
 
Hujajibu swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya na mateso yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?

Narudia tena kwamba Mungu anaumba kwa maamuzi yake atakavyo,haumbi kwa kuamuliwa na upendo, kwahiyo angetaka kuumba ulimwengu wenye starehe tu mwanzo mwisho usio na mabaya asingeshindwa. Ila lengo la kutuwekea maisha haya unayoyaona, ni ili atakayefaulu mitihani yake basi amemwaandalia maisha mazuri zaidi.

Sasa kuhoji kwanini asingeumba ulimwengu usio na maovu, jibu hakutaka hivyo angetaka angefanya.

Halafu Mwenyewe unasema kabisa kuwa kwa sababu ya Upendo wake "alikuwa na uwezo(sio lazima) wa kuumba ulimwengu usio na maovu" lakini nashangaa unakuja kudai kuwa anajipinga!

Na Mungu ana sifa nyingi tu. anaupendo na pia anauvumilivu na zengine nyingi .
 
Hujajibu swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya na mateso yanawezekana wakati alikuwa na uwezo na sababu kuumba ulimwengu ambao mabaya na mateso hayawezekani?

Umejibiwa Sana,Bahati mbaya majibu hayafanani na ulichokaririshwa ndiyo sababu huyataki ?
Hata ukiulizwa ni nini kimekufanya ugundue kwamba ni uwezo wote na Upendo wote pekee kinachofanya Mungu afikie au asifikie uamuzi wa kuumba aina ya ulimwengu ambao umejikaririshwa kwamba ndiyo bora ?
Huna majibu baridi unarejea kwenye default position yako....

Angeweza kuumba na kufanyabinadam wote wawe sawa misukule au wawe wanakariri pasipo kufikiri Kama wewe
 
You are putting the horse before the cart.

Kabla ya kusema nashindwa kumuelewa mungu ni nani, prove kwamba yupo.

Mungu akiwa hayupo, of course nitashindwa kumuelewa ni nani.

Hayupo.

Nitamuelewaje ni nani wakati hayupo?

Thibitisha kwamba mungu yupo.

Umahiri wa busara za mtu huonekana pale anapojadili na watu ktk mada tofauti.
Nadhani wewe hauko hapa Kuelewa bali ni kuleta ubishi usiokuwa na Tija na kupoteza muda wako na wangu.

Unarudia maneno km matangazo ya vifo. Hali ukitambua kuwa km ungeamua Kufikiri kidogo usingefanya hivyo. Na mada hii isingekuwa na mlolongo mrefu namna hii bila sababu za msingi.

Nadhani kwa mtu mwenye busara itakuwa si jambo la busara kuendelea Kujadili na wewe manake Umeziba njia zote za Uelewi.

Nakusikitia sana kiranga Kwa kumkana MUNGU aliyekupa nafasi ya kuuona Utukufu wake uliokuzunguka.

Ni masikitiko kuona kwamba Mpaka leo hii 2015 kuna baadhi ya binaadamu wanakubali kabisa kuwa wao wako hapa duniani na kila kitu kinachowazunguka vyote vimekuwepo hapa kwa BAHATI NASIBU (Chance).

Nakutakia mjadala mwema.
 
Mkuu;pole Sana. Kiranga hafundishiki lakini huwa tunamtumia Kama ubao wa kufundishia wengine.
Katika hilo anafaa Sana.
Tusimwache aendelee kumwaga uchafu wake ambao waweza kuharibu watu wengine wasio na uelewa mzuri. Kiranga ni mmoja wa binadam wengi ambao sayansi imewafunga milango ya udadisi juu ya mambo ambayo yanaonekana ya kawaida lakini sayansi haiyajui.
Anajua kwamba Upendo upo. Anajua kwamba busara IPO,anajua kwamba huruma IPO na vingi vinavyofanana na hivyo lakini kwa kuwa hakuna maabara ya kuvipima na sayansi imezima kitengo cha kutafakari na kujitafakari amebakia kukariri Kama kasuku...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom