Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,767
- 145,554
Zee la kukariri ! Habari ya mwaka mpya mkuu.
Unaandika kila unachofikiri na kukiwekwa katika swali la "huyu hakuna mungu " kwanini alifanya hivi kwa nini hakufanya vile...
Hujajibu swali.
Zee la kukariri ! Habari ya mwaka mpya mkuu.
Unaandika kila unachofikiri na kukiwekwa katika swali la "huyu hakuna mungu " kwanini alifanya hivi kwa nini hakufanya vile...
Hujajibu swali.
He need laws to proves that "he is perfect "
God is Holy Spirit...Mungu ni Roho
Kiranga MUNGU yupo,Mungu ni Nature na Ndio source ya Uhai.......!Hivi ulishawahi kujiuliza kwa nini Sayansi imeshindwa kuvipa viumbe uhai?
Ulishawahi kujiuliza kwa nini Kifo kimemshinda Binadamu?
Ushawahi kujiuliza binadamu,wanyama source yetu ni nini?( Achana na theories za uongo za kuwa binadamu alitokana na sokwe wakati hao sokwe mpaka sasa.wameshindwa kumtengeneza tena binadamu)
Umejuaje kwamba mungu(kama yupo)ni roho
Wanasayansi kushindwa kuvipa viumbe uhai haimaanishi kwamba kuna mungu labda uamue tu kuhisi hivyo!.
Nikuulize ndugu inamaana we ukishindwa kujua mbili mara nne ni ngapi una hisi lazima itakuwa nane kwa sababu tu we hujui?kwa nn isiwe ziro ??,kwa sababu th unaona haiwezi kuwa zero?.
Laws makes perfection, in contrast, God doesn't need laws but created them.If he is so perfect, why would he need laws?
Why would he need anything?
Needing is imperfection, how can a perfect being need anything?
Hujathibitisha mungu yupo, ushampa "he".
Angalau meli inaonekana.
Mungu unamthibitishaje kwamba yupo?
You are not answering my questions.
Why would a perfect god need laws?
If he is so perfect, why would he need laws?
Why would he need anything?
Needing is imperfection, how can a perfect being need anything?
Sijui.
Lakini hilo halothibitishi kiwepo mungu.
Ukitokea wenyewe si lazima mungu awepo.
Usipotokea wenyewe si lazima mungu awepo.
Kwa hio meli kwa kuwa Onaonekana Ina haki ya kuitwa "SHE".
Na Mungu kwa sababu Haonekani Basi kwa fikra zako Hana haki ya Kuitwa" HE".
Natamani Kucheka kidogo lkn sipendi kumkwaza mtu.
Mbona vingi tu Visivyoonekana vina sifa za kupewa Majina ya namna mbali mbali?
We kifo unakiona? Mbona kina Jina?
We Busara (intelligence) unaiona?
Mbona unaipa majina tofauti?
Ile force of gravity Unaiona?
Mbona unaipa jina na kuidadavua kwa kirefu.
Kwakweli unahitaji kujipanga sana ktk Mdahalo huu.
Mpaka sasa Sijaona Point yyt muhimu kutoka kwako.
Rafiki kiranga.
Can you help us with the Definition of "PERFECT" please.
Thank you in advance.
Where did you get this definition that
PERFECT means (NO NEED OF ANYTHING)?
Help me with the name of that Dictionary! Is it italian one?
chinese! Or Perhaps the Indian one!
Tell me where can i find that definition please.
I found this in Oxford English dictionary.
perfect
Definition of perfect in English:
ADJECTIVE
Pronunciation: /ˈpəːfɪkt /
1Having all the required or desirable elements, qualities, or characteristics; as good as it is possible to be:
1.she strove to be the perfect wife.
2.life certainly isnt perfect at the moment.
More lame non theist excuses. Still no arguments.Your very definition, number one.
If only you could read and understand.
Where did you get this definition that
PERFECT means (NO NEED OF ANYTHING)?
Help me with the name of that Dictionary! Is it italian one?
chinese! Or Perhaps the Indian one!
Tell me where can i find that definition please.
I found this in Oxford English dictionary.
perfect
Definition of perfect in English:
ADJECTIVE
Pronunciation: /ˈpəːfɪkt /
1Having all the required or desirable elements, qualities, or characteristics; as good as it is possible to be:
1.she strove to be the perfect wife.
2.life certainly isnt perfect at the moment.
Wanasayansi kushindwa kuvipa viumbe uhai haimaanishi kwamba kuna mungu labda uamue tu kuhisi hivyo!.
Nikuulize ndugu inamaana we ukishindwa kujua mbili mara nne ni ngapi una hisi lazima itakuwa nane kwa sababu tu we hujui?kwa nn isiwe ziro ??,kwa sababu th unaona haiwezi kuwa zero?.
Mkuu kwema? Pokea Baraka tele za Mwaka huu mpya! Huyo jamaa ni mtambo huo!Tumia akili yako vizuri. Kama 2*2 nimekwambia ni nane ninakuwa nimekosea Tu. Jibu langu haliliifanyi 4 isiwepo Bali yule ajuaye anaweza kunikatalia kuwa mbili Mara mbili sio nane Bali ni NNE.Ukweli unabaki kwamba NNE ndilo lilikuwa jibu sahihi na lilikuwepo hata Kama nchi nzima yungeshindwa kujibu.