Is God fair ?

Is God fair ?

Free will niiitoe wapi wakati hata tumbo langu siwezi kuli control?

Wewe una free will?

so with your line of argument, you are not free. your freedom is withheld somewhere..... si ndio?
 
so with your line of argument, you are not free. your freedom is withheld somewhere..... si ndio?

Sijasema lolote kuhusu mungu lakini. Usitake kunichomekea.

Ninachisema ni kuwa hii habari ya freewill ni uongo.
 
Kwa sababu linataka kula kila baada ya masaa fulani, hata pale mimi nisipokuwa nataka kula.

Utasemaje nina free will wakati siwezi hata kusema mwezi huu sina hela ya kula hivyo nisile mwezi mzima?

kwa nini unakula ??
kwa nini usiache kula ??
 
kwa nini unakula ??
kwa nini usiache kula ??

Nakula ili nipate virutubisho na nishati za kuendelea kuishi na kufurahia maisha.

Siachi kula kwa sababu nataka kufurahia maisha.

Hujajibu suala la free will kuwa ni uongo mtupu.
 
Nakula ili nipate virutubisho na nishati za kuendelea kuishi na kufurahia maisha.

Siachi kula kwa sababu nataka kufurahia maisha.

Hujajibu suala la free will kuwa ni uongo mtupu.

Nikikuletea ugali unaweza kunionyesha hivyo virutibisho ??

je ukila hufi ??

jibu hili swali

Huyu mwizi ameacha kubeba box amekuja kuiba je hii ni free will au sio free will ??
 
Sijasema lolote kuhusu mungu lakini. Usitake kunichomekea.

Ninachisema ni kuwa hii habari ya freewill ni uongo.

Hahaha sikuchomekei, ningependa kujua nini au nani kashikiria free will yako? au free will yako iko wapi? mimi binafsi nina free will
 
Nikikuletea ugali unaweza kunionyesha hivyo virutibisho ??

je ukila hufi ??

jibu hili swali

The ramblings of a meansering illogic.

Virutubisho unataka kuviona in living color au in black and white?

Kabla ya kujujibu, tuende kwenye msingi kabisa wa wizi kuwezekanika katika ulimwengu huu.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao wizi inawezekanika baina ya viumbe vyake wakati alikuwa na uwezo wa kutosha na upendo wa kutosha kuumba ulimwengu ambao wizi hauwezekaniki?
 
nijibu hapa tuendelee...!!
Huyu mwizi ameacha kubeba box amekuja kuiba je hii ni free will au sio free will ??

Nikikuletea ugali unaweza kunionyesha hivyo virutibisho ??

je ukila hufi ??

jibu hili swali
 
nijibu hapa tuendelee...!!

Nomekuuloza swali la msingi wa wizi, hujalijibu.

Siwezi kwenda kujadili swali la matawi wakati kuna la mzizi.

I deal with fundamentals, not fleeting appearances.
 
Sijasema lolote kuhusu mungu lakini. Usitake kunichomekea.

Ninachisema ni kuwa hii habari ya freewill ni uongo.

THEO 101: God is not physical - not located in the sky or elsewhere in space.
Those silly atheist memes will not work with informed people.
 
The ramblings of a meansering illogic.

Virutubisho unataka kuviona in living color au in black and white?

Kabla ya kujujibu, tuende kwenye msingi kabisa wa wizi kuwezekanika katika ulimwengu huu.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao wizi inawezekanika baina ya viumbe vyake wakati alikuwa na uwezo wa kutosha na upendo wa kutosha kuumba ulimwengu ambao wizi hauwezekaniki?

1) If true (and it's not) that is not evidence or an argument to justify atheism. It would justify agnosticism - withholding judgement. A lack of evidence that no Gold exists outside of earth is not evidence that no gold exists on other planets in the universe.

2) It's not true. You are lying again. I've offered many arguments and much evidence that make God's existence more plausible than not. You have in fact failed each and every time to defeat anything on the merits - much less everything. You have in fact been defeated on your objections.

3) Feigning pleasantries while lying to me is crass manipulation. I lost respect for you long ago based on your chronic dishonesty when proven wrong.

If you would like to revisit your humiliating defeats, we can always do that.
I notice you clam up these days when I challenge you on other threads. You KNOW what will happen if you try and defend your insane atheist belief in public.
 
quote_icon.png
By Nyani Ngabu

Lol@ god doing the shmoney dance.

At that rate I won't be a bit surprised if he also is 'in love with the Coco'.
Those idiotic non theist talking points don't work with me son. You need to figure that out.

Now let me ask you again: How would you go about proving the age of the earth, scientifically? After all, you are the one who claims to understand science. This really should be a no-brainer for you.
 
Nomekuuloza swali la msingi wa wizi, hujalijibu.

Siwezi kwenda kujadili swali la matawi wakati kuna la mzizi.

I deal with fundamentals, not fleeting appearances.

If you wanted to know, you would check out a scientific paper. You try to logic scientific descent for yourself with examples based from ignorance.

Do you always feel pleasant when lying - or are you lying about your feigned pleasantries also? One thing is certain, we both know for a fact you are lying. We both know what actually happened to you in those debates.
 
That is neither gere not there.

Hujajibu swali.

Hata Socrates aliuliza maswali kutwa, sijaanza mimi.

But I doubt you even know who that is.

Ndiyo pale nilipokwambia "Mwenye kujua vitu vingi ni tofauti na mwenye uelewa mpana"

Hivi ushawahi kujiuliza kwanini watu humu wanakwambia unakariri sana?halafu unataka kujilinganisha na Socrates!!

Na ni vichekesho kudai kuna watu wanakuelewa kwa huko kuuliza kwako maswali tena maswali yenyewe ya ubishi.
 
I am in a deep thoughts,Is God really fair?

For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu

Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?

NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain

God is Very fair my good friend.
You can't blame God For the faults of the creation.
Human beings are Nasty animals.
They tend to be very selfish, arrogant and Evil.

You can't blame a President for the Faulty of a Citizen! Can you?

Mungu katuwekea Free will. Tuishi tupendavyo.

Wewe kwesho ukiamua Kuwa muungwana thats good for you and the Society around you.

Lkn ukiamua kuwa jambazi huo ni uamuzi wako na hakuna wa kukuingilia ispokuwa Mkono wa sheria na vinginevyo.

Na mwisho wa siku Utakuja hukumiwa.

Hope you understand.
 
Kunikwaza unahitqji kiwa na akili za ziada, maana si kazi ndogo.

So do not flatter yourself.

Unaniambia habari za kuamini mungu, mimi sitaki kuamini, nataka kujua.

Wewe unaamini au unajua?

Unaelewa hata tofauti kati ya kuamini na kujua ni ipi?

Kama wewe hutaki kuamini na kila kitu kilichopo unataka kujua.
Hebu nisaidie Kujua "KIFO" ni nini?

Nipe Maana Halisi ya kifo Ambacho Hutokea Kila mara kwa viumbe hai.
Ili na mimi nijifunze kujua kila kitu
.
Na ukimaliza hili pia naomba unisaidie kujua "BUSARA au Intelligence) ni kitu gani.

Anza na hivyo viwili ambavyo UNA HAKIKA 100% kuwa vipo.
 
Hajafundishwa kujibu maswali Kiranga yeye kafundishwa ni uwezo + Upendo unaofanya Mungu afanye au asifanye jambo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom