Mungu hakuwahi kumuumba mtu anayeitwa Shetani..Mungu alimuumba Lusifa malaika aliyekamilika,akiwa amejaaliwa vipaji lukuki...ulafi wa madaraka,kutoridhika na alichopewa,kujisikia ndiyo sababu ya yeye kuitwa Shetani....nimejifunza kitu,shetani alifanikiwa kuwarubuni theluthi ya Malaika kuwa Mungu ni Katili na ni dikteta..so Mungu alifanya kitu kizur sana kutokumuangamiza shetani kwa sababu moja ambayo binafsi nimeigundua...kama angemmaliza-Shetani na Malaika waliomsupport angejenga tabaka na malaika waliobaki upande wake kuwa kile Lucifer alichokuwa akiwaambia ni kweli