I think it has something to do with Greek mythology. "Mother earth" usually referred to earth being life-producing andWhy Some countries are refered as Her?
I think it has something to do with Greek mythology. "Mother earth" usually referred to earth being life-producing andWhy Some countries are refered as Her?
We tatizo unadhani ushamaliza hoja zote kuhusu uwepo wa Mungu. Mimi nakuuliza swali jingine wewe unajiundia maswali halafu unajijibu. Nimekuuliza tupo hapa au hatupo na kama tupo tumefikaje? More fundamentally nimekuuliza universe imetokea tu yenyewe hujajibu unakimbilia kusema nimesema kuna link, wapi mimi nimeandika kuna link?!! Mbona una haraka sana??!!
Swali langu ni rahisi tu, tupo hapa au hatupo na kama tupo tumefika vipi hapa tulipo? Hebu jibu hapo ndio tuendelee sihitaji uniwekee link za wikipedia!
Mapungufu ushayaonyesha wewe mwenyewe kwa kuelezea shaka yako.
Asili imetokea wapi? Imetokeaje?
Ofcourse, shaka yangu kwako ni dhahiri juu ya aidha hujui unachokiuliza au unajua unachouliza ila una interior motives zinazokufanya kuwa stiff nacked!
Nimekuomba uniambie kwanini umedai sijajibu swali lako la Nature ilitokeaje, unarukaruka tu hadi sasa.
Chochote kile chenye CHANZO hakiwezi kuwa ASILI, kwa maana ASILI iko subjected only to itself. Kwa level yako si ya kuuliza swali hili, au tu uwe umeamua kufanya mizaha.
God/Nature is beyond the Universe Mkuu wangu! Umiza kichwa!
Anaita sasa!
Dada La Princesa, ni kawaida sana watu kuona Mungu hayuko fair kwao wanapojikwaa katika jambo fulani huku wenzao wakifanikiwa. Bahati mbaya binadamu wanapofanikiwa wao katika mambo mengine huku wenzao wakishindwa huwa hawaoni Mungu hayuko fair. Tukifanikiwa kupata tutakacho tunasahau kabisa kuhusu Mungu, lakini wachache sana hukumbuka na kusema wana BAHATI na wachache zaidi hukumbuka kwamba MUNGU KAWABARIKI. Hii yote ni shehemu ya ubinafsi wa binadamu. Hebu fikiria haya machache na useme kama Mungu yuko fair au la?I am in a deep thoughts,Is God really fair?
For instance...how come mtu unajitunza for so long timeas as a woman or a man)then it reaches a point unadecide kuwa na maisha...you open up your heart to sb...you give him/her everything full committed then what you get in return ni maumivu yasiyoeleweka na HIV juu
Kinachosikitisha ni kuwa....wale ambao ni waru waru,are enjoying life to the fullest...IS GOD REALLY FAIR?
NISAIDIENI cause spmetimes i do fail to explain
Dada La Princesa, ni kawaida sana watu kuona Mungu hayuko fair kwao wanapojikwaa katika jambo fulani huku wenzao wakifanikiwa. Ila wanapofanikiwa wao katika jambo lingine huku wenzao wakishindwa huwa hawaoni Mungu hayuko fair. Nadhani huu ni shehemu ya uninafsi wa binadamu. Hebu fikiria haya machache na useme kama Mungu yuko fair au la?
1. Kwanini wewe hujafa mpaka sasa? Ila ndugu wa karibu wamekufa, tena wengine katika matukio ambayo hawakutegemea.
2. Kwanini watu wanapata Cancers, na magonjwa mbalimbali ambayo mtu hana control nayo kabisa. Lakini wewe na mimi tumepona kwa hilo.
3. Watu wangapi tuliwaacha katika viwango vya chini vya shule kimadarasa, lakini sisi Mungu katubariki tumefika hadi vyuo vikuu na kupata degree lukuki.
4. Watu wangapi walifanya interview za kazi, na sisi wachache tu tena Tusiokuwa na sifa za ziada tukapata ajira.
5. Watu wangapi wamejaribu kuanzisha biashara au miradi mbalimbali, lakini pamoja na kwamba walifanya kwa juhudi na werevu hawakufanikiwa, ila wachache Mungu kawabariki huku wengine wakifilisika.
6. Watu wangapi wanamwacha chakula kila siku, huku wengine hawajui hata leo watakula nini?
7.
Yote hayo yanaonesha kwamba pindi Mungu anapokuwa 'fair' kwangu basi ukumbuke kuna mtu anaumia. Ile tabia ya kutaka kufanikiwa katika kila kitu tupangacho bila kujua mapenzi yake, hutufanya tuone Mungu si fair.
Khaa Kiranga sasa wewe atheist ndio utuambie mkuu. Maana mimi naamini Mungu yupo mkuu. Nipe darasa mkuu...
Hahahaaa. Hiyo ni league nyingine. Naamini atheist si kwamba hamuamini miungu au mnaikataa miungu, ila mmekosa imani kwenye miungu. Ila mimi katika maisha yangu naamini kuna Mungu mmoja, ambaye kanisaidia hapa nilipo. Naamini Mungu wangu atakuwa ana nguvu milele na milele amina. Ni Imani tu mkuu...Mingu, kwa mujibu wa maelezo yanayotolewa mpaka sasa, no hadithi za kijinga tu.
Alikubalika enzi za giza, ma kadiri pazia linavyozidi kufunguka na kuleta nuru, ndivyo anavyokosa kazi na kudhihirika kuwa ni sanamu la kuchongwa tu.
Hahahaaa. Hiyo ni league nyingine. Naamini atheist si kwamba hamuamini miungu au mnaikataa miungu, ila mmekosa imani kwenye miungu. Ila mimi katika maisha yangu naamini kuna Mungu mmoja, ambaye kanisaidia hapa nilipo. Naamini Mungu wangu atakuwa ana nguvu milele na milele amina. Ni Imani tu mkuu...
Mkuu inategemea kwako akili ni nini. Mimi huamini mtu mwenye akili ni yule anayeleta change, kwamba ni political, social n.k. Sasa ukiangalia wana sayansi wakubwa ambao walileta mabadiriko makubwa duniani ama walikuwa wanamwamini Mungu au hawakuwa wanaamini uweza wa Mungu. Wengine walikuwa wanamwamini Mungu kama muanzisha thread La Princesa, lakini leo ukirudi nyuma na kuangalia machapisho yao utakuta sentensi kama hizo za kusema God is not fair, basi akina sisi tunasema huyu hakuwa anaamini uweza wa Mungu. Lakini yeye hakusema haamini uweza au uwepo wa Mungu. Kuamini kwamba Mungu yupo, hayupo au hana nguvu ni uamuzi tu. Kama huwezi ku prove kwamba Mungu hayupo, na kama huwezi ku prove kwamba Mungu hana nguvu; basi anayeamini katika uweza wa Mungu hawezi akawa amekosea au amekosa maarifa.Kwa nini mtu mwenye akili zake za kupambanua mambo awe na imani na mungu?
Mkuu inategemea kwako akili ni nini. Mimi huamini mtu mwenye akili ni yule anayeleta change, kwamba ni political, social n.k. Sasa ukiangalia wana sayansi wakubwa ambao walileta mabadiriko makubwa duniani ama walikuwa wanamwamini Mungu au hawakuwa wanaamini uweza wa Mungu. Wengine walikuwa wanamwamini Mungu kama muanzisha thread La Princesa, lakini leo ukirudi nyuma na kuangalia machapisho yao utakuta sentensi kama hizo za kusema God is not fair, basi akina sisi tunasema huyu hakuwa anaamini uweza wa Mungu. Lakini yeye hakusema haamini uweza au uwepo wa Mungu. Kuamini kwamba Mungu yupo, hayupo au hana nguvu ni uamuzi tu. Kama huwezi ku prove kwamba Mungu hayupo, na kama huwezi ku prove kwamba Mungu hana nguvu; basi anayeamini katika uweza wa Mungu hawezi akawa amekosea au amekosa maarifa.
Achana na habari za beyond the universe, ni chombezo tu ilikuwa.Nimedai hujajibu kwa sababu hujajibu.
Wapi umejibu?
Hiyo asili umeijusje wewe?
Unaweza kuithibitisha asili isiyo na mwanzo nje ya abracadabra zako?
Beyond universe ndo wapi huko? Umekujuaje wewe? Unaweza kututhibitishia?
Achana na habari za beyond the universe, ni chombezo tu ilikuwa.
Kiranga, hivi umesahau katika mijadala hii ya uwepo wa Mungu, kati yangu nawe, wewe ndio wa kwanza ku-mention NATURE? Unakumbuka madai yako ya Natural Laws and Natural Forces? Je unakumbuka nilikudai ushahidi wa uwepo wa nature zaidi ya moja, baada ya wewe kudai hoja yetu ya kuwa, Mungu ni hicho ukiitacho ASILI ni batili, kwani tunadai Mungu ni mmoja, wakati kuna tafiti zinazoendelea kujua kama kuna asili nyingi.
Ziite kuwa ni abradacadabra, lakini sijaona tofauti ya kile unachokiita Nature na kile ninachokiita Mungu!
JE, UNATAKA KUKANA KUITAMBUA NATURE KWENYE UZI HUU? Sitakushangaa.
Anaita sasa!
Nature ni omnipotence, omniscient, omnipresence and omnibenevolent?
Nishamjibu Kiranga na wewe kama utapenda fuatilia huu mjadala vizuri utaona ni kwa namna gani nimeonesha Mungu yupo, unaposema ukiapply something to Universe then it should apply to Mungu ni kuwa na muono mfupi kwamba Mungu na Universe ni two beings with the same nature. Wewe kinachokufanya udhani Mungu na Universe wana tabia zinazofanana ni nini?Kiranga hajasema kuwa anajibu la nani kaUMBA ULIMWENGU.
Anachosema ni kwamba wanao amini mungu wasijifanye kuwa na uhakika maana mungu hajaonekana.
Pia, mungu is just as complex as the universe. As such, he/she/it also need to be created. Yaani, kama you will take the position kwamba ulimwengu hauwezi kujiumba wenyewe, then you should also apply the same to huyo mungu.
Kutokana na hayo basi, ni bora tuendelee na uchunguzi ili ukweli ujioneshe.
LET US FOCUS ON THIS DISCUSSION FIRST.
Nakubali unaweza kujua jibu si sahihi hata kama hujui jibu sahihi. Sasa kwa kutumia mfano wako huu huu wa square root of 2, nikisema ni 8 utajua si sahihi kwa kuwa unajua haiwezi kuzidi 2, vizuri utaona kuwa hapa tayari una premise kuwa jibu haliwezi kuzidi 2. Sasa Mungu unamkataa kwa premise gani? Is your premise "The universe can not be created?"Mimi kutokuwa na jibu haina maana kwamba jibu lolote utakalonipa wewe ni sahihi hata kabla hatujalichambua.
Unaweza kuniuliza "what is the square root of two?"
Nikakwambia sijui jibu. Ukaniambia "The square root of two is eight".
Kwa kuwa najua kwamba, the square root of two cannot be greater than two, nitajua kwamba jibu ulilonipa si sahihi.
Kwa kuwa kwanza, the square roor of two is less than two.Lakini pia, jibu lako ulilonipa na eight, square yake ni sixty four, not two.
Kwa hiyo naweza kulijua jibu ambalo si sahihi hata kama sijui jibu sahihi ni lipi.
Hata wewe unayesema hawezi kuwa Mungu ndio utuhakikishie kivipi? Nakubali hata kama huna jibu tuambie ni kwa nini haiwezekani awe Mungu? What is your premise to defy God?Jibu si mungu. Kama ni mungu tuonyeshe ni mungu kivipi.
In logical arguments, the burden of proof is on the one who says things are a certain way, the dissent does not have the burden of proof, it only has to ask question pertaining to how the proposition was arrived at.
Nimekuonesha ni kwa vipi ukimuondoa Mungu kwenye equation inashindikana kubalance. Sasa wewe unayemkataa Muumba fanya hii equation ibalance bila Muumba.Unaweza kututhibitishia kwamba mungu yupo?
Duh! Vioja haviishi kwako! Hilo ni miongoni mwa maswali yako ya mwanzo, na nimekujibu na hukupinga. Sasa ulifikiaje kuhoji juu ya nature ilitokeaje, wakati kuna maswali yako sijakujibu?
Kila jibu langu la swali lako liliza swali jingine, sikuchoka nikakujibu yote. Sasa atimaye umeanza tena maswali yale yale, ni utoto!
Tulianza na four omnis of God/Nature, ukahoji juu ya laws, kisha perfection, kisha existance & nothingness, kisha Nature, sasa umerudia tena kwenye Ukuu wa Nature/Mungu. Nakushauri usichoke kusoma tena, ni kwa faida yako.
Usiache kujibu nilichokuuliza pia, JE, UNAKANA KUITAMBUA ASILI?
Anaita sasa!
Nakubali unaweza kujua jibu si sahihi hata kama hujui jibu sahihi. Sasa kwa kutumia mfano wako huu huu wa square root of 2, nikisema ni 8 utajua si sahihi kwa kuwa unajua haiwezi kuzidi 2, vizuri utaona kuwa hapa tayari una premise kuwa jibu haliwezi kuzidi 2. Sasa Mungu unamkataa kwa premise gani? Is your premise "The universe can not be created?"
Hata wewe unayesema hawezi kuwa Mungu ndio utuhakikishie kivipi? Nakubali hata kama huna jibu tuambie ni kwa nini haiwezekani awe Mungu? What is your premise to defy God?
Nimekuonesha ni kwa vipi ukimuondoa Mungu kwenye equation inashindikana kubalance. Sasa wewe unayemkataa Muumba fanya hii equation ibalance bila Muumba.