Maswali gani ambayo sijayajibu?
Au naandika katika lugha ambayo huifahamu?
Kuhusu are we here or not, nishajibu hili mara mia, that does not automatically link to a god.
You need to show the link.
Why are we here because of a god and not anything else?
If you can't show the link, and conclude as if there is a link, that in logic is an error called a "non sequitur".
Soma hapa.
Non sequitur (logic) - Wikipedia, the free encyclopedia
You are concluding that, because we are here, god must exist. Before showing that we cannot exist by any other way apart from being created by god.
Unachosema hapa ni kwamba, unaweza kufika Moshi kwa kutumia ungo. Uko Moshi, therefore umetumia ungo kufika Moshi.
Hujaprove kwamba ungo upo. Hujaprove kwamba ungo unaweza kukufikisha Moshi. Hujaprove kwamba huwezi kufika Moshi kwa njia nyingine yoyote isipokuwa ungo.
Unarukia tu ungo upo kwa sababu wewe upo Moshi.