Is CCM behind Uhuru Jomo Kenyatta?

Is CCM behind Uhuru Jomo Kenyatta?

Kageuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2012
Posts
241
Reaction score
59
Uhuru Kenyata kijana wa Mzee Jomo Kenyata,zao la KANU chama pacha wa CCM kuna kila dalili kuwa CCM wako nyuma ya Uhuru na kwa tafisiri rahisi CDM wako nyuma ya Raila Odinga.

Nani atashinda? Je matokeo yatakuwa na impact kwa siasa za Tanzania hasa kwa 2015?!!
 
Hakuna uhusiano kati ya uhuru na kanu maana hata moi hamuungi mkono. Sidhani kama ccm officially wanamuunga mkono uhuru na chadema odinga
 
Hakuna uhusiano kati ya uhuru na kanu maana hata moi hamuungi mkono. Sidhani kama ccm officially wanamuunga mkono uhuru na chadema odinga

hujui siasa za kenya na msimamo wa moi juu muungano wa jubilee
 
CCM is behind of Uhuru Kenyata but Makufuli is behind of Raila. Makuguli is correct.
 
uhuru kenyata kijana wa mzee jomo kenyata,zao la kanu chama pacha wa ccm kuna kila dalili kuwa ccm wako nyuma ya uhuru na kwa tafisiri rahisi cdm wako nyuma ya raila odinga.

Nani atashinda? Je matokeo yatakuwa na impact kwa siasa za tanzania hasa kwa 2015?!!

officially he is called uhuru muigai kenyatta
 
Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu.

Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote
 
CCM kuna kitu wametageti Kenya sasa ili kiwafae kwenye uchaguzi 2015!

Kenya kupitia kiu ya madaraka kuna viongozi wataingia mikataba na CCM ya kipuuzi!!!
 
Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu.

Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote

Wanakosea wanampomshambulia Uhuru maana wanampa nafasi ya kujieleza..P.Keneth kura zake ndogo cha msingi Raila amkamate Musalia.. ila wajina ww uko upande gani? mm natamani kuona new generation ya akina uhuru na ruto madarakani ingawa si muumini wa sera zao kabisa
 
Ningependa kuona reformer raila odinga akiongoza kenya.Leo joshua arap sang amemu-endorse raila Odinga na pia amedai kesi yake ya ICC hakuna mahali ambapo RAO alihusika kuhakikisha wanashtakiwa kama ilivyokua kwa propaganda za hapo mwanzo.Sasa tujiulize je Joshua arap Sang anaweza kushawishi kura za Rift valley kiasi gani ukilingtanisha na awakalenjin kama henry Kosgey,Sally kosgey na Franklin Bett?
 
Msijiwsahau sana, king maker wa bongo RA yuko kwa RAO jamaa mbaaya sana yule japo hapa kwetu alitutengenezea presidaaa wa KICHINA.
 
Back
Top Bottom