Is CCM behind Uhuru Jomo Kenyatta?

Is CCM behind Uhuru Jomo Kenyatta?

Uhuru Kenyata kijana wa Mzee Jomo Kenyata,zao la KANU chama pacha wa CCM kuna kila dalili kuwa CCM wako nyuma ya Uhuru na kwa tafisiri rahisi CDM wako nyuma ya Raila Odinga.

Nani atashinda? Je matokeo yatakuwa na impact kwa siasa za Tanzania hasa kwa 2015?!!
Wacha kuzuga wewe, Kenyata na CCM wapi nawapi. Mtu anatakiwa mahakamani halafu wewe unasema damdam na CCM. Au kama unaipakazia CCM tujue.
 
Very very poor analysis!.....lakini sio kosa lako shule ya Kilimo ya kihindi imeviza ubongo dogo... QUOTE=Ben Saanane;5792271]Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu. Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote
[/QUOTE] Kageuka, hatuwezi wote tukamtaka Kenyatta, na kama umeweka post hapa ni muhimu pia ujiandae na mawazo ya upande wa pili, kwangu mm namwona Kenyatta (mtt) kama Kenyata (baba), hana jipya zaidi ya kuendeleza sera za baba yake kujenga taifa dogo la Wakikuyu ndani ya Taifa la Kenya.
 
  • Thanks
Reactions: JGG
Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu.

Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote

Ben uko sahihi kuhusu Moi kwamba hatapenda Mudavadi amuunge mkono Raila. Ukweli ni kuwa hata Mudavadi akimuunga mkono Uhuru raundi ya pili aitakuwa na impact kubwa. Musalia atajikuta anamuunga mkono Uhuru lakini wapiga kura wanampigia Odinga. Hii ni kutokana na wapiga kura wengi wa Mudavadi ambao wanatoka mkoa wa magharibi kupenda rais awe Odinga kuliko Kenyatta. Mkoa wa magharibi ndiyo sehemu ambayo Kenyatta atapata kura chache kuliko hata mkoa wa Nyanza anakotoka Odinga.
 
CCM kuna kitu wametageti Kenya sasa ili kiwafae kwenye uchaguzi 2015!

Kenya kupitia kiu ya madaraka kuna viongozi wataingia mikataba na CCM ya kipuuzi!!!

Kama nimesikia sawasawa, wamemtuma Bw Kinana huko kama mwangalizi wa uchaguzi. Kwa kumbukumbu zangu hii ni mara ya kwanza kwa Katibu Mkuu wa ccm kwenda mahali kama mwangalizi.
 
Wacha kuzuga wewe, Kenyata na CCM wapi nawapi. Mtu anatakiwa mahakamani halafu wewe unasema damdam na CCM. Au kama unaipakazia CCM tujue.

we uko nchi gani?ccm ni waharifu wanaotakiwa wawe jela nini mahakamani!!!
 
Du yetu macho ngoja tusubili wakenya wanaamua nini.
 
100% true, CCM inam-support Uhuru kwa issue moja tu. Uongozi wa kurithishana thats all
 
Msijiwsahau sana, king maker wa bongo RA yuko kwa RAO jamaa mbaaya sana yule japo hapa kwetu alitutengenezea presidaaa wa KICHINA.


Hakuna uhalisia wowote kati ya uhusiano wa kenyatta na ccm, sababu kwanza siasa za kenya hazina Ideology ina depend na umaarufu na kabila ya mgombea na vile vile UHURU MUIGAI KENYATTA hana uhusiano wowote na chama cha kanu ameanzisha POLITICAL VEHICLE (chama) inaitwa TNA, chama cha kanu kinamuunga mkono mgombea wa UDF MUSALIA MUDAVADI, kwa muktadha huu tunaona kuwa hakuna uhusiano wa kisiasa kati ya uhuru kenyatta na ccm.
 
Moi yupo nyuma ya Musalia mudavadi,Kibaki anamuunga mkono Uhuru.Raila ameni-dissapoint sana jana kwa mara nyingine kwenye mdahalo.uchaguzi huu utakua na raundi ya pili.Raila atashinda Raund ya pili ila awe makini sana ahakikishe anavuta alliance ya Musalia Mudavadi kambi yake.Anaweza ku-ignore ya Peter Kenneth.Tatizo ni kwamba Mudavadi sasa ataweza kuwasaliti akina Moi maana mostlikely Moi atamuona Kenyatta kama plan B kuliko Raila Aingie Ikulu.

Naamini Raila atashinda kwa kuwa ni bingwa wa Alliance lakini inabidi awe makini zaidi wiki hii maana vitengo vya propaganda vya vyama vyote vitakua busy kuliko wakati wowote


If you dont mind, hapo kwenye red ungefafanua zaidi ingetupa afya wengi, hasa wale tuliofuatilia midahalo yote miwili.
 
Ben uko sahihi kuhusu Moi kwamba hatapenda Mudavadi amuunge mkono Raila. Ukweli ni kuwa hata Mudavadi akimuunga mkono Uhuru raundi ya pili aitakuwa na impact kubwa. Musalia atajikuta anamuunga mkono Uhuru lakini wapiga kura wanampigia Odinga. Hii ni kutokana na wapiga kura wengi wa Mudavadi ambao wanatoka mkoa wa magharibi kupenda rais awe Odinga kuliko Kenyatta. Mkoa wa magharibi ndiyo sehemu ambayo Kenyatta atapata kura chache kuliko hata mkoa wa Nyanza anakotoka Odinga.


Nimeona Uhuru jana alikua meru na TNA hawakuweka mgombea kwenye kiti cha senate.Uhuru amekua instaled kama elder huko Meru na amempigia kampeni Kiraitu Murungi ambaye ni waziri wa nishati .Hapa anataka kura za Meru kwa kuwa anajua mpinzani wa kiraitu ni kutoka ODM

Pia nimeona Raila akipata endorsement nyingine ya viongozi wa dini ya kiislamu alipokua Trans-nzoiya huko western.Amepata endorsement ya waislam western na Nyanza

Mudavadi naye alikua western na amewataka waluhya wasikubali kugawa kura.alikua ameambatana na eugene wamalwa.Jina la wamalwa linagusa hisia za waluhya wengi.Apart from Martin Shikuku,Waluhya walikua wakijivunia mwanasiasa smart na orator mzuri aliyekuja kuwa makamu wa Rais Michael Kijana Wamalwa

Wakati huo huo wakazi wa Taita-Taveta wamekasirika na matamshi ya Uhuru kwamba anamiliki 30,000 Acres tu ya mashamba ya huko,wanadai anamiliki 80% ya Ardhi ya Taita-Taveta tena yenye Rutuba


Nadhani sasa Moi muda huu anapanga jinsi ya kuwafanyia reconciliation Nicholaus Biwott,Gideon Moi kwa upande mmoja na Uhuru Kenyatta kwa uapande wa pili kama uchaguzi huu utaingia raund ya pili ili kuhakikisha Mudavadi na akina Gideon Moi wanaungana na Kenyatta.Peter Kenneth atamuunga mkono Uhuru Kenyatta ila possible Scenario ni either Martha Karua kumuunga mkono Raila au kuamua kubakia hardliner kwa kuwataka Wakenya wampigie kura yeyote ila ahawezi kumu-endorse Uhuru Kenyatta kutokana na msimamo wake kwamba ICC Suspects hawatakiwi kugombea nafasi yoyote

Pia kauli ya AU kwamba wakenya wapuuze shinikizo la kutoka mataifa ya nje kipindi hiki linamsaidia zaidi Kenyatta.Hata hivyo vyombo vya ulinzi na usalama Kenya inabidi vikae chonjo maana Najua Mapro wa Guerrilla organisations Yoweri museveni na Paul Kagame wana-monitor kila kitu na wana interest kubwa na uchaguzi huu wa Kenya kuliko kipindi kingine chochote
 
If you dont mind, hapo kwenye red ungefafanua zaidi ingetupa afya wengi, hasa wale tuliofuatilia midahalo yote miwili.

Kuhusu mdahalo wa juzi:

Hii ni wiki ya lala salama kwenye kampeni,Techinicla and political errors should be avoided.Candidates wanatakiwa kucheza kwa step.Vitengo vya propaganda na logistics vinatakiwa kuwa busy kuliko wakati mwingine wowote

Kwenye mdahalo wa jana Raila Odinga ameniangusha kwa mara nyingine ingawa napenda ashinde uchaguzi huu . Prof ole Kiyiapi has my top score, followed by Martha Karua,Uhuru Kenyatta and then Raila. I would place Peter Kenneth, Mudavadi, Muite and Dida(comedian) at the bottom four! Dida was entertaining as usual, Uhuru was evasive on the question of his land ownership(Siasa za kihuni tu na ujanja ujanja hapo), Mudavadi was stained with the Anglo Leasing and Raila...appeared as a non performer with all his while in government.

Raila, on the other hand, told blatant lies on both the molasses plant & his allegation against Uhuru's numerous court cases RE land issues when he was actually disingenuously discussing Uhuru's running mate who wasn't even on the podium to defend himself! It has become increasingly clear that a lot of what Raila utters in those rallies of his are lies & fabrications..Inaweza kuonekana Raila alikua akidanganya kwenye mikutano.Pia kitendo cha kumwambia Dida sio mkenya kinaweza kutumika vibaya na wapinzani wake watakapoenda North-Eastern kwa kueneza kwamba Raila amewaita kwamba wao sio Raia wa kenya

Raila is lethargic & inarticulate when compared to Uhuru Kenyatta. The man clearly has a good head on his.Moderators wa mdahalo waliwaachia wagombea Urais wachomane wenyewe na kweli kila mgombea alimjeruhi mwenzake.Uhuru Kenyatta played possum saying he would boycott the debate & then struck like a cobra when Raila relaxed probably strategizing on how to bash Uhuru while he was not on the stage!


Peter Keneth alisindwa tena kuonyesha uwezo wake ingawa ni miongoni mwa wanasiasa vijana ambao ni brilliant sana.Alishindwa kumtaja Uhuru Kenyatta moja kwa moja kama mfano wa watu wanaomiliki melfu ya ekari kwenye mashamba tofauti na Martha Karua aliyeenda moja kwa moja kumtaja Uhuru Kenyatta. Over the two debates, the man has fallen even below Martha Karua. He is too overconfident and has revealed to be a man of bad temper but suppressed.

Raila on the other hand, is a man who hides in nuances and lies. He seems to take advantage of technicalities to run away from responsibility. If only he was a bit more sincere, he would be a very good politician.

Debate ya juzi ilikua juu ya Uchumi,Ardhi na Sera za mambo ya nje ila cha kushangaza Moderators hawakugusa hili la sera za mambo ya nje kabisa.Nadhani hili ni tatizo kwa mataifa ya Afrika.mataifa yaliyoendelea ukiongelea sera ya mambo ya nje unaongelea ulinzi na uchumi.Tunahitaji kupiga hatua .Tanzania tujifunze kuwapima watu kwa midahalo,CCM wana mgombea mmoja tu tishio kwa midahalo miongoni mwa wale wanao-tajwa/jitaja kugombea Urais 2015 ingawa wao hawaoni hiyo potential………Simtaji!CHADEMA Tumekamilika….!
 
Msijiwsahau sana, king maker wa bongo RA yuko kwa RAO jamaa mbaaya sana yule japo hapa kwetu alitutengenezea presidaaa wa KICHINA.

Kwenye red, maajenti wa kule kwa ajili ya kudestabilize East na Central Africa kama hujui. Lao moja na boss wao mmoja na akina M7 na Kg.
 
Kuna uwezekano mkubwa wa odinga kushinda,ikumbukwe kwamba uhuru ana kura nyingi mkoa wa kati lakini sio zote,kuna martha karua,peter keneth hawa lazima wagawane kura za mkoa wa kati na uhuru kenyatta,ukija rift valley kwa wakina ruto napo mambo sio shwari kwa jubilee,kuna kanu pale,ina maana kura nyingi zitaenda jubilee lakini sio kama walivyokuwa wanatarajia mwanzoni,pia kitendo cha SANG kujitokeza na kumuunga mkono odinga ni a big milestone kwa odinga ,tusishangae jubilee kuambulia kura nusu tu rift valley tofauti na matarajio yao.mikoa mingine jubilee hawana nguvu saana kivile,mombasa 67% wanamuunga mkono odinga,western pale ni gombea kura kati ya mudavadi na odinga uhuru hana chake pale,baada ya kumgeuka mdavadi.kwa kweli kazi sio rahisi kama tuzaniavyo,propaganda za kwenye mitandao zinampaisha uhuru lakini ki halisia kazi ni ngumu.
 
Tuombe wawe na uchaguzi huru na wa haki, ukifuatiwa na utulivu na usalama.

Wishes aside, it's a hell too complicated "election".
 
Kinacho mwangusha Rao kwenye debate ni kwamba yeye alikuwa serikalini,so unakuta all misiles zinalengwa kwake,inabidi atumie muda mwingh kujitetea,though the real fact ni kwamba serikali inaongozwa na asilimia kubwa ya wakikuyu,NIS mkikuyu,IGP mkikuyu,KDF mkikuyu,HEAD OF CIVIL Sevant mkikuyu,secta nyeti kibao zimekamatwa na wakikuyu.kikuyu mafias wana run the country,kwa mtazamo wangu cord wakishinda atleast kutakuwa mchanganyiko wa makabila kwenye stracture nzima ya serikala.
 
Back
Top Bottom