Is baby wipes safe for wiping vagina?

Is baby wipes safe for wiping vagina?

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,455
Frankly speaking,uwa natumiaga izi baby wipes kuwafuta baadhi ya wasichana ninaolala nao before and after sexual intercourse,na sababu kubwa ya kufanya ivi ni kutokana naukweli kwamba baadhi ya dada zetu hawako makini na sehemu zao izo private,hivyo kupunguza ladha ya tendo la ndoa au kutofanyika kabisa kutokana na harufu mbaya inayotoka sehemu hizo.

Nimegundua mbinu ambayo for somehow imekuwa ni nzuri kwangu,kwani nikigundua mwenza ninayeshiriki naye tendo hilo sehemu zake haziko safi,uwa natumia baby wipes kwa ajili ya kusafisha sehemu za siri za uke na kutoa pleasant smell ambayo unifanya nijisikie vizuri ninaposhiriki tendo hilo.kwa mujibu wa izo wipes ambazo zimetengenezwa mahususi kwa ajili ya watoto wadogo pindi wanapojisaidia haja kubwa au ndogo,je ina madhara yeyote kwenye sehemu za siri za mwanamke?,nimekwisha tumia ila sijasikia malalamiko yeyote ya michubuko je? kuna madhara mengine ya sehemu hizo kisayansi zaidi?,anayejua kuhusu hili anielezee vizuri...
 
Hakuna tatizo hata mi hutumia hata nikienda haja ndogo na nikiwa na mwenza pia zipo zilizothibishwa na ma dr na kama ziko safe kwa watoto haziwezi kudhuru wakubwa
 
Kama unakutana na mtu anatoa harufu ambayo wewe unaiona ni mbaya, na unagundua ni kwa sababu ya uchafu, kwa nini unaendeleza mchakato? Ujue huyo mtu ni mchafu na kwamba ham match!.

Kama ni harufu ya maradhi, mshauri ama mpeleke mkatibiwe! Unalazima gani ya kufanya tendo la ndoa ikiwa sharti ukunje uso na kunyanyua pua kabla? Au wewe ndio unaungonjwa wa ku sex bila kupenda?
 
Frankly speaking,uwa natumiaga izi baby wipes kuwafuta baadhi ya wasichana ninaolala nao before and after sexual intercourse,na sababu kubwa ya kufanya ivi ni kutokana naukweli kwamba baadhi ya dada zetu hawako makini na sehemu zao izo private,hivyo kupunguza ladha ya tendo la ndoa au kutofanyika kabisa kutokana na harufu mbaya inayotoka sehemu hizo.Nimegundua mbinu ambayo for somehow imekuwa ni nzuri kwangu,kwani nikigundua mwenza ninayeshiriki naye tendo hilo sehemu zake haziko safi,uwa natumia baby wipes kwa ajili ya kusafisha sehemu za siri za uke na kutoa pleasant smell ambayo unifanya nijisikie vizuri ninaposhiriki tendo hilo.kwa mujibu wa izo wipes ambazo zimetengenezwa mahususi kwa ajili ya watoto wadogo pindi wanapojisaidia haja kubwa au ndogo,je ina madhara yeyote kwenye sehemu za siri za mwanamke?,nimekwisha tumia ila sijasikia malalamiko yeyote ya michubuko je? kuna madhara mengine ya sehemu hizo kisayansi zaidi?,anayejua kuhusu hili anielezee vizuri...

Asante kwa taarifa. endelea kutumia
 
usiitumie tafadhali hiyo ni kwa ajili ya watotot tuuu
kwni hakunamens nyiginezo kwa kufanyia usafi mpaka hizo wipes?mpkeleke kuoga kabala yatendo nashaur. hapo unakua unatoauchafu nje unauingiza ndan
 
Hivi maji hamna na sabuni? Waambie wajisafishe kwa maji na sabuni then wajikaushe kwa kitambaa safi na laini....na kwa siku wajitahidi kubadili vyupi walau 3 uone harufu itatokea wapi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
mmh na hao wasichana zako wanajiendekeza kwamba hata hashtuki kama anatoa harufu? tena isiyona kawaida ama? jaman jaman na anajisikiaje anapoxafishwa na wewe au anapenda labda ndio maana anajiacha na uchafu
 
Mhhh sasa hapo kuna kwenda chumvini tena ukishaikuta hali hiyo?raha yote ya tendo inapotea ingawa wengine husema wanapenda ile harufu ya kibeberu beberu
 
Hivi maji hamna na sabuni? Waambie wajisafishe kwa maji na sabuni then wajikaushe kwa kitambaa safi na laini....na kwa siku wajitahidi kubadili vyupi walau 3 uone harufu itatokea wapi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Farkina mumy naona nikufahamishe kitaalamu kwny papuchi hakutakiwi kuingia sabuni coz inachemical mbaya ambayo inaweza kuleta fungus na kusababisha yale kama "maziwa mgando" so safisha kwa maji safi tu....
 
Frankly speaking,uwa natumiaga izi baby wipes kuwafuta baadhi ya wasichana ninaolala nao before and after sexual intercourse,na sababu kubwa ya kufanya ivi ni kutokana naukweli kwamba baadhi ya dada zetu hawako makini na sehemu zao izo private,hivyo kupunguza ladha ya tendo la ndoa au kutofanyika kabisa kutokana na harufu mbaya inayotoka sehemu hizo.Nimegundua mbinu ambayo for somehow imekuwa ni nzuri kwangu,kwani nikigundua mwenza ninayeshiriki naye tendo hilo sehemu zake haziko safi,uwa natumia baby wipes kwa ajili ya kusafisha sehemu za siri za uke na kutoa pleasant smell ambayo unifanya nijisikie vizuri ninaposhiriki tendo hilo.kwa mujibu wa izo wipes ambazo zimetengenezwa mahususi kwa ajili ya watoto wadogo pindi wanapojisaidia haja kubwa au ndogo,je ina madhara yeyote kwenye sehemu za siri za mwanamke?,nimekwisha tumia ila sijasikia malalamiko yeyote ya michubuko je? kuna madhara mengine ya sehemu hizo kisayansi zaidi?,anayejua kuhusu hili anielezee vizuri...
Mkuu ain't gonna judge you. .buuuuuut jina lako na msg yako 'wasichana unaolala nao' mwe mweh. . Ngastuka. ..ni shyderr
 
Kwanza turekebishe maneno, tendo la ndoa hufanywa na wanandoa sio kila mtu ilimradi ametoboka katikati ya miguu! Hilo ni tendo la zinaa...
 
Farkina mumy naona nikufahamishe kitaalamu kwny papuchi hakutakiwi kuingia sabuni coz inachemical mbaya ambayo inaweza kuleta fungus na kusababisha yale kama "maziwa mgando" so safisha kwa maji safi tu....

Hiyo sabuni sio kama unaweka huko ni kunawa mikono iwe safi kwanza kabla haijapelekwa huko kwenye naniliu.....

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom