UmenikunaKusafisha haimanishi unaondoa ile scent of woman mnayoipenda ila unahakikisha hali ya usafi eneo hilo mana hivo ulivosema yaani hata tukikojoa tusinawe na maji eti kisa harufu asilia itapotea.....
Sabuni lazima kusafisha sehemu karibia na hilo eneo kwa mfano pembezoni mwa mapaja hususan kwa wenye miili mikubwa kuondoa harufu ya jasho....
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums