Mimi si muuzaji wa pump, ninataka kuanza kilimo....so ninaomba mchango wenu wa kimawazo kuhusu sehemu nzuri ambayo ina maji ya uhakika ili niwekeze pia na kwenye miundo mbinu ya umwagiliaji!Mkuu hebu ongea vizuri and be specific. Wapi, zao gani na ni nini hasa unahitaji. coz sehemu zipo nyingi. I need to know wewe ni muuzaji wa pump ama irrigation machines au unataka anza kilimo etc be detailed kidogo.
Asante mkuu, ila ningependa kujua ....ardhi inakwenda bei gani kule?
Kuna eneo Mkuranga kando ya mto, mimi nimefika hapo, eka moja ni Tsh 400,000/ na bei inapungua,mto una maji ya kudumu na barabara ipo. Ni km 78 toka mnazi mmoja. Kuna eneo zuri sana dakawa Morogoro kando ya mto wami, tatizo ni wakati wa mvua, ikinyesha mvua huwezi kuingia na gari hata kama ni 4W na inabidi uingie kwa miguu halafu peku. Bei kwa eka ni Tsh 60,000/ Udongo ni mzuri sana na maji kibao na pembeni yake kuna mradi wa Nafco.
Mkuu malila kuna tetesi nimesikia kwamba eneo la Mkuranga ni Kimeo na si la kunununua, jamaa kanihabarisha kuwa eneo kubwa la mkuranga limeshauzwa kwa makampuni ya mafuta kwa ajili ya kufanya exploration. Je kuna ukweli wowote?Kuna eneo Mkuranga kando ya mto, mimi nimefika hapo, eka moja ni Tsh 400,000/ na bei inapungua,mto una maji ya kudumu na barabara ipo. Ni km 78 toka mnazi mmoja. Kuna eneo zuri sana dakawa Morogoro kando ya mto wami, tatizo ni wakati wa mvua, ikinyesha mvua huwezi kuingia na gari hata kama ni 4W na inabidi uingie kwa miguu halafu peku. Bei kwa eka ni Tsh 60,000/ Udongo ni mzuri sana na maji kibao na pembeni yake kuna mradi wa Nafco.
Mkuu malila kuna tetesi nimesikia kwamba eneo la Mkuranga ni Kimeo na si la kunununua, jamaa kanihabarisha kuwa eneo kubwa la mkuranga limeshauzwa kwa makampuni ya mafuta kwa ajili ya kufanya exploration. Je kuna ukweli wowote?
Mkuu malila kuna tetesi nimesikia kwamba eneo la Mkuranga ni Kimeo na si la kunununua, jamaa kanihabarisha kuwa eneo kubwa la mkuranga limeshauzwa kwa makampuni ya mafuta kwa ajili ya kufanya exploration. Je kuna ukweli wowote?