Iris season 5 imeshatoka ?

Iris season 5 imeshatoka ?

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,232
Reaction score
2,729
Kwa wale wafuatiliaji wa Drama za Kikorea, vipi season ya 5 ya drama hii imekwishatoka?
 
Niko Iris 2, hizo 3 na 4 nazipata wapi mkuu?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Athena je?
Unaponunua IRIS mtu unatakiwa kuwa makini sana! Kimsingi, IRIS ipo Season 1 na 2 pekee; sema wabongo wamechakachua na kwamba ile season 1, wametoa 1&2, na seaosn 2(ambayo imetoka mwaka jana) wameifanya 3&4! So, suala la Season 5, itabidi msahau kidogo manake jamaa wapo slow sana katika kutoa hizi series! Don't forget, Season 1 ilitoka 2010 na season 2 ndo kwanza ikatoka mwaka jana!

Kuhusu Athena, bado ipo season ile ile ya kwanza (2011) ambayo hata hivyo wabongo wameifanya season 1&2. Kwa kuwa IRIS 2 imetoka mwakajana, probably Athena 2 nayo ikaja mwaka huu!

But all in all, ogopa kununua zile DVD ambzo makasha yake ni mafupi...ni full magumashi!!
 
nina seasonal 1&2&3 hii 4 kitu tofauti jsmaa wanapigana kwenye meli bwana haina uhusiono na zile za mwanzo ingawa jina na wahusika ni walewale
 
nina seasonal 1&2&3 hii 4 kitu tofauti jsmaa wanapigana kwenye meli bwana haina uhusiono na zile za mwanzo ingawa jina na wahusika ni walewale
Hiyo sio ATHENA? Nimetafuta Iris 3 na 4 hadi mtandaoni sijaiona.
 
part 3 na 4 zimetoka, tatizo waigizaji ni wachache walioshiriki part 1 na 2 ila wengi waliacha na kisa cha kuacha ni maslahi, part 1 na 2 ziliuza sana ila kugawana mapato ndo ikawa tatizo
 
part 3 na 4 zimetoka, tatizo waigizaji ni wachache walioshiriki part 1 na 2 ila wengi waliacha na kisa cha kuacha ni maslahi, part 1 na 2 ziliuza sana ila kugawana mapato ndo ikawa tatizo

Yah 3&4 zmetoka ila ata muhucka mkuu nazan co yule wa 1&2 wahucka weng wamechange
 
Athena nimeangalia 1&2, siajua kama imetoka nyingine. Ndiyo nimeza hii inayoitwa A MAN CALLED GOD, nayo ni nzuri kiasi chake.

A man called ni bonge ya muv pia hutojutia kuchek
 
Nyie mnaishi wapi hapa mjin ?muv za mwaka jana hizo zote mpya ni HEARTLESS CITY ni zaid ya CITY HUNTER.
 
Nyie mnaishi wapi hapa mjin ?muv za mwaka jana hizo zote mpya ni HEARTLESS CITY ni zaid ya CITY HUNTER.

Hii HEARTLESS CITY sijaiangalia, lakini A MAN CALLED GOD ni Series nzuri.
 
nina seasonal 1&2&3 hii 4 kitu tofauti jsmaa wanapigana kwenye meli bwana haina uhusiono na zile za mwanzo ingawa jina na wahusika ni walewale
Mbona hazina huo utofauti mkuu wangu? Tatizo ni kwamba hizi series kama unanunua Bongo ni full uchakachuzi hadi maudhi. Kwanza IRIS mwisho ni Season 2, Season I ilitoka 2009 or 2010 wakati Season II imetoka 2014. TZ wamechakachua na kufanya IV Seasons badala ya II.

So, ikiwa ya kwako uchakachuzi ulikuwa too much basi inawezekana ndio maana unaona kama zipo tofauti...nilishaacha kununua series za kariakoo baada ya kununua Series ya 24 ikiwa na only 1 episode badala ya 24!
 
Yah 3&4 zmetoka ila ata muhucka mkuu nazan co yule wa 1&2 wahucka weng wamechange
Don't forget, two main characters wa I & II walishaondoka NSS...mbaya zaidi Sterling, Kim Hyun-jun alipigwa risasi na kufa! Likewise, one of the main characters, Jin Sa-woo nae aliuawa, so the change was inevitable ingawaje I didn't agree with the assassination of Kim Hyun-jun hata kama katika kutengeneza dramatic plot, it's the right thing..audience should always be caught at unexpected/unpredictable corner!
 
Kwa wale wafuatiliaji wa Drama za Kikorea, vipi season ya 5 ya drama hii imekwishatoka?

.
Me ndo nipo ya kwanza
am kinda sad....
.
Ila na wait kwa hamu sana hapo mwezi wa nane EXPENDABLES 3 lol
.
 
Back
Top Bottom