- Thread starter
- #101
Unamuuliza nani swali hili? Au ndio ugeni na JF?Sasa ulitaka waende wapi? Hukumsikia ahat Dr.Abdallah Kigoda akisema wamachinga waachwe wafanye biashara zao
Mnakuaga dunia ipi na ninyi????
Unamuuliza nani swali hili? Au ndio ugeni na JF?Sasa ulitaka waende wapi? Hukumsikia ahat Dr.Abdallah Kigoda akisema wamachinga waachwe wafanye biashara zao
Mnakuaga dunia ipi na ninyi????
Ngoja nifuatilie habari hizi nikizipata ntakujuza
Asante mkuu.
Ni fujo, mamlaka husika zimeshatoa maelezo ni sehemu gani za kufanyia biashara na ni sehemu gani haziruhusiwi! Kwanini wewe upingane na mamlaka? Kuna taratibu za kupinga lakini siyo kwa stahili hii ya CDM na ya mchungaji koko wao!Kwahiyo kuwaambia watu wafanye biashara hapo mpaka watakapo wekewa mazingira mazuri ya biashara wanapowahamishia,hizo ni fujo!?umefelili.
Maboso ni mapovu yanayotokana na ulanzi...ambayo kwa kawaida huwa ni uvundo unaobaki kwenye mianzi hasa asubuhi na huwa ni chakula cha nzi na nyuki. Kule Iringa ni kitu maarufu sanaKwa yule ambae hajui MABOSO ni nini? Atajua huyu jamaa ana akili ya namna gani... Teh teh..nimekubali kuwA jina huakisi matendo sometimes.....shule za mulugo in action nowwwww
Back to the topic,
maeneo ya stend kuu hali si shwari mabomu yameanza tena, vurugu zinaendelea, vijana wanakamatwa na kupigwa, barabara zimefungwa tena.
hivi watanzania mnafikiri kuishi kufanya shughuli bila utaratibu ndiyo kutenda haki?
Hivi kuuza bidhaa katikati ya barabara ndo haki tunayopigania?
Hatufiiiiiiiki!
Angalia picha zaidi za matukio ya Iringa kwenye... MjengwaBlog :: Habari, Picha, Matangazo na Matukio
Huo sasa ni ujuha, sasa gari la zimamoto linahusika vipi na matatizo yao? Saa hizi wanaliponda, halafu baadaye moto unaunguza mali zao na wanaanza kulitafuta tena kwa ajili ya kuzima moto. Wehu huu jamani!Gari la zima moto limeshambuliwa sana kwa mawe eneo la hall fare, gar la polisi limebondwa sana, matairi yamewashwa barabarani
Mbunge wa Iringa mjini Mch Msigwa amekatwa na Polisi
Huo sasa ni ujuha, sasa gari la zimamoto linahusika vipi na matatizo yao? Saa hizi wanaliponda, halafu baadaye moto unaunguza mali zao na wanaanza kulitafuta tena kwa ajili ya kuzima moto. Wehu huu jamani!