IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

Vijana wa Iringa hakuna kurudi nyuma,pambaneni mpaka kieleweke!
Acha uchonganishi mkuu wakitumbuliwa utafurahi? Washauri wafuate taratibu zilizowekwa


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kamanda wa kikosi cha zimamoto analalamika akisema askari wake kaumizwa mguu
 
Barabara kuu itokayo Iringa mjini eneo la mshindo hali ni mbaya, matairi yanawaka, mabomu yanarindimb, watu wako ktk hekaheka...
Nikukumbushe tu ndugu msomaji wa jf kua mimi ni Skype naripoti tukio hili moja kwa moja toka Iringa mjini.

Sawa sawa mkuu,tupia walau kapicha km yawezekana.

The nation that destroys its destroys itself.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mpaka muone wakifanya wazungu ndio na nyiemnafwata. unafahamu kitu kinaitwa flee markets?
Ile stretch ya barabara ikifungwa mara moja kwa wiki kuna hasra ipi wakati kuna access kutoka barabara kuu na hii yakuzungukia takrima. Kufunga barabara ajili ya midundiko na kukata viuno ni sawa lakini kufanya biashara....?

Hatufanyi vitu kwa sababu wazungu wamefanya. Uzunguke takrima ukatokee wapi na kwa gari ya aina gani? Au unadhani ile barabara inatumiwa na bajaj peke yake?
 
Sometimes CHADEMA wanaipeleka nchi hii jehanam.
Haiwezekani ukatetea watu kufanya biashara bila kufuata utaratibu,eti kisa unataka kura zao.
Ina maana,CHADEMA ikiingia madarakani,itaendesha vipi serikali?

Wamachinga wanapatikana ubungo, mwanza, mbeya na Iringa tu. Majimbo mengine hawapo? sio mbinu chafu hzo
 
Acha umbumbumbu wewe, hakuna mwenye akili timamu ataafiki machinga kufanya biashara eneo hilo. Barabarani no way. Hizi siasa hizi zinatupeleka kusiko.
Kwa yule ambae hajui MABOSO ni nini? Atajua huyu jamaa ana akili ya namna gani... Teh teh..nimekubali kuwA jina huakisi matendo sometimes.....shule za mulugo in action nowwwww
 
Ni katika harakati za tabaka la watu maskini kudai mustakabali wa hatma ya maisha yao baada ya nusu karne ya kunyonywa na kunyanyaswa na serikali dhalimu ya ccm, kwa mda huu hakukaliki hapa iringa its like french revolution for those historians
 
Acha umbumnbumbu wewe, hakuna mwenye akili timamu ataafiki machinga kufanya biashara eneo hilo. Barabarani no way. Hizi siasa hizi zinatupeleka kusiko.
Kwa yule ambae hajui MABOSO ni nini? Atajua huyu jamaa ana akili ya namna gani... Teh teh..nimekubali kuwA jina huakisi matendo sometimes.....shule za mulugo in action nowwwww
 
hawa polisi hawataki watu waende kanisani. kwanini wafunge barabara?. mia
 
Hali ya stend kuu mabomu yanaendelea kurindima
 
Kutoka Iringa vurugu kubwa muda huu, Polisi wapiga mabomu ya machozi kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara.

Hii imetokana na Machinga kuruhusiwa na mbunge wao Mchg Msigwa ambaye pia alikuwepo eneo hilo na Machinga kusukuma gari lake.

Source: WAPO RADIO

ndiyo maana nasema hasa wakuu wa polisi wanamatatizo ya elimu na kuinternalize mambo anagalao polisi awe aliyepata division one ya kujitegemea hawa failures katika mfumo mbovu and chee wa elimu kama huu wa tanzania basi hawafai katika nafasi yeyote zaidi ya kujitegemea binafsi mashambani kwao lakini cha jabu tz wanawapa kazi ya kuchunguza na kulinga usalama haya ndiyo mapungufu ya hali ya juu katika jeshi la polisi. juzi waziri amesema wasibugudhiwe leo wanachezea mabomu badala ya kutumia fedha hizo kuboresha mazingira yao ya makazi yaani mimi cjui hawajui serkal hii na wao ni wananchi na wajue leo kama siyo hayo mabomu yao huku uraiani tuko fit hata mkono tu bila chochote, polisi wengi lishe duni wanapepesuka wenyewe alafu hawana adabu
 
Back
Top Bottom