IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

IRINGA: Vurugu, Machinga na Polisi wapambana

we p.imbi hiyo misa itasalika vipi wakati mtaani wapo raia wema wanaonyanyaswa na mapolice-CCM?au wewe unawachukulia wamachinga kama wakimbizi? Nyie magamba msipende kusahau kuwa hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho.
Taratibu kijana, acha jazba.
Hamna mmachinga anayenyanyaswa na polisi. Polisi wanachofanya ni kulinda raia na mali zao, kwa case ya iringa wanazuia uvunjwaji wa amani unaosababishwa na wamachinga kupitia kwa mbunge ambaye ni mchungaji. Nilitegemea wachungaji ndio wahubiri amani, lakini kumbe siyo hivyo!
Ninashangaa sana watu mnavyoleta habari za CCM hapa, kisa mbunge wa Chadema ndio anahamasisha vurugu!!polisi wanafanya kazi yao na siyo kwa instruction za CCM!
 
Sawa sawa mkuu,tupia walau kapicha km yawezekana.

The nation that destroys its destroys itself.

Mkuu, naomba radhi kwa kua natumia simu na haina uwezo wa ku upload picha, nisamehe mkuu.
 
Aisee tunaomba matukio zaidi walio Iringa,maana kuna jamaa yangu yuko huko anasema KAMANDA MSIGWA amekamatwa!mtujuze.
 
Imeandikwa ni nani awezaye kuacha kumwokoa ng'ombe wake aliyeingia ndani ya shimo kwa ajili ya siku ya sabato?
Usiwe mshabiki tatizo hamtaki kukubali kua mda umewakataa na ndio maana hata mfanye nn linazuka jipya.mda wenu umekwisha na mkiendelea pingana na mda mtaumia zaidi acheni mda uamue unataka nn mkuu.haijawai tokea mtu akaushinda mda ndio maana hata 'mwana wa Adamu mda ulipo fika alitundikwa msalabani na mda ulipo timia akafufuka'km shule ipo changanua kauli iyo utapata maana maana waswahili usema asiejua maana..........na siku nyingine usimwamshe alie lala maana ..............CCM BANA.
Pole sana mkuu, naona ujaribu kuqote vifungu vya biblia ambavyo hata wewe huvielewi!
 
Kwa yule ambae hajui MABOSO ni nini? Atajua huyu jamaa ana akili ya namna gani... Teh teh..nimekubali kuwA jina huakisi matendo sometimes.....shule za mulugo in action nowwwww

Unaacha kujadili mada unajadili jina la mtu. Eti shule za mulugo, unadhani kila kitu hadi ufundishwe shule? Wewe unaona hao machinga wapo sahihi kuvunja sheria kisa tu Mbunge kasema? Sometime tuache uchama tutumie akili.
 
Watu wameumizwa vibaya, wengine wamekutwa wakiwa hoi wanagaagaa lakini bila huruma polisi wanawaongezea mkong'oto na kuwapakia kwenye karandinga au defender.
 
Kwa wale mliopo Iringa mjini sikiliza ibon fm wanaripoti kupitia ripota wao aitwae abduli.
 
Taratibu kijana, acha jazba.
Hamna mmachinga anayenyanyaswa na polisi. Polisi wanachofanya ni kulinda raia na mali zao, kwa case ya iringa wanazuia uvunjwaji wa amani unaosababishwa na wamachinga kupitia kwa mbunge ambaye ni mchungaji. Nilitegemea wachungaji ndio wahubiri amani, lakini kumbe siyo hivyo!
Ninashangaa sana watu mnavyoleta habari za CCM hapa, kisa mbunge wa Chadema ndio anahamasisha vurugu!!polisi wanafanya kazi yao na siyo kwa instruction za CCM!

Tatizo mkuu watu hawajui hizi vurugu za leo zimefikaje hapa zilipo. Wanaibuka tu na lawama kwa CCM bila hata kuchukua muda kufanya utafiti.
 
Mkuu wa wilaya ya Iringa anaongea kupitia ibon fm
 
Mkuu wa wilaya anasema msigwa kahamasisha wamachinga wapambane
 
vijana wa iringa amkeni sasa kama vijana wa mbeya hadi sasa polisi wa mbeya wana heshima amkeni vijana.

hivi watanzania mnafikiri kuishi kufanya shughuli bila utaratibu ndiyo kutenda haki?
Hivi kuuza bidhaa katikati ya barabara ndo haki tunayopigania?
Hatufiiiiiiiki!
 
Anaendelea mkuu wa wilaya kua wamepambana na hali imekua shwari
 
Mkuu wa wilaya anasema atapambana na raia kama kawaida
 
Ujinga wa Msigwa ndio unaoleta machafuko Iringa tabia hii mbaya ya wabunge wa chadema itaisha lini ni muda wa polisi kuwashughulikia wenye mmba na sio kudeal na Mbwa.
 
Mkuu wa wilaya anaendelea kusema Msigwa kaondoka karudi kwake
 
Taratibu kijana, acha jazba.
Hamna mmachinga anayenyanyaswa na polisi. Polisi wanachofanya ni kulinda raia na mali zao, kwa case ya iringa wanazuia uvunjwaji wa amani unaosababishwa na wamachinga kupitia kwa mbunge ambaye ni mchungaji. Nilitegemea wachungaji ndio wahubiri amani, lakini kumbe siyo hivyo!
Ninashangaa sana watu mnavyoleta habari za CCM hapa, kisa mbunge wa Chadema ndio anahamasisha vurugu!!polisi wanafanya kazi yao na siyo kwa instruction za CCM!

Kwahiyo kuwaambia watu wafanye biashara hapo mpaka watakapo wekewa mazingira mazuri ya biashara wanapowahamishia,hizo ni fujo!?umefelili.
 
Mkuu wa wilaya anasema kua hawezi kuongea na Msigwa na kasema hiyo ni kazi ya manispaa
 
kwa nn majimbo yanayoongozwa na CHADEMA mabomu ni kitu cha kawaida? kuna siku majimbo ya CHADEMA tutaandamana kwa pamoja tuone kama hawa polisi wataweza kudhibiti hali ya maandamano kwani naamini kuwa polisi ni wachache mno nchi hii.
Ukiona hivyo ujue CCM wameshafahamu kuwa hawana chao katika jimbo hilo, hivyo wanaamua kuwaadhibu tu wananchi wake. Kama inavyotokea Arusha Mjini, Nyamagana na Ilemela
 
Back
Top Bottom