Polisi waache kutumiwa na CCM kama condom . Wamachinga wana haki ya kufanya biashara hapo.
Kutoka Iringa vurugu kubwa muda huu, Polisi wapiga mabomu ya machozi kutawanya machinga. Hii ni kufuatia machinga kurudi kwenye maeneo yaliyokatazwa kufanyia biashara.
Hii imetokana na Machinga kuruhusiwa na mbunge wao Mchg Msigwa ambaye pia alikuwepo eneo hilo na Machinga kusukuma gari lake.
Acha umbumbumbu wewe, hakuna mwenye akili timamu ataafiki machinga kufanya biashara eneo hilo. Barabarani no way. Hizi siasa hizi zinatupeleka kusiko.
leo ndo pamekua barabarani?