Polisi wanapambana na wamachinga. Leo asubuhi Mbunge alikuwepo na gari lake likisukumwa na wamachinga. baadae polisi wakaziba barabara. Kwa mara ya kwanza wafanyabiashara walikua wanafanyia kazi nje ya mji. lakini leo Mbunge kawarudisha Iringa mjini. matokeo yake polisi wanawapiga mabomu na kumwagia maji ya kuwasha. Inavyo onekana polisi wamezidiwa sababu machinga wamejipanga kimakundi so wakipiga mabomu upande mmoja machinga wanajikusanya sehemu nyingine. matokeo yake polisi wanamwagia maji kila mtu. mia