IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

IRINGA: Mkoa wenye kabila moja tu!

Mbona nimewahi kusikia kuna kabila la Wadzungwa wanaotokea maeneo ya nyanda za juu za mkoa wa Iringa?

Vv
Hao ni wabenamanga wako milima ya udzungwa inayopakanisha Morogoro na lupembe Njombe ila huwa wanakuja kulima eneo la bomang'ombe kilolo!
 
Hatari tupu
ea5cc46b2086e46298da72b87d441723.jpg
 
Mkoa wa Iringa awali ulikuwa unakaliwa na wenyeji wa makabila ya wahehe, wabena, wakinga, waanji, wapangwa wakisi na wamanda. Lakini baada ya kugawanywa na kuzaliwa mikoa miwili ya Iringa na Njombe ndipo Iringa imejikuta inabakiwa na kabila la wahehe pekee na yale mengine yote yameangukia mkoa wa Njombe. Sijui busara ipi ilizingatiwa katika mgawanyo huu na sidhani kama kuna mkoa mwingine wenye kabila moja kama upo nielimisheni wadau. Nawasilisha!
dalili za kukosa kazi ya kufanya mtoa mada
 
Mipaka ya makabila haijawahi kuwa wazi (vivid) hata siku moja hivyo HOJA YAKO HAINA MASHIKO. Kila mahali linaweza kuwepo kabila lolote
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Una matatizo
 
Kama wahehe wasingeendekeza ushirikina, naamini Iringa ingekuwa moja ya mikoa bora kabisa na ya kuigwa. Wahehe walisoma tangu enzi zile. Ila ndio wakishasoma hawarudi kwao wanaogopa kupigwa vipapai. Nawaonea sana huruma. Wavuke sasa kiunzi hicho waanze kuendeleza mkoa wao.
Kwani nn kimekosekana iringa ukilinganisha na mikoa unayodhan imeendelea?
 
(5) Geita - Wasukuma
(6) Kigoma - Waha
(7) Moshi (kilimanjaro) - Wachaga
(8) Dodoma - Wagogo
(9) Mtwara - Wamakonde
(10) Bukoba (kagera) - Wahaya.

NB: Kwenye mikoa hiyo, wengine kama wamo ni wakuja tu (Wamahanga) na ni wachache wala hawajulikani.
Acha kuchafua hali ya hewa we umenoti makabila maarufu tu kwa taarifa yako Geita wasukuma ni wahamiaji kuna makabila ya asi li kama wazinza, wasumbwa nk
 
Back
Top Bottom