Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,981
- 5,797
Wagogo pia wamo.Mkoa wa Iringa awali ulikuwa unakaliwa na wenyeji wa makabila ya wahehe, wabena, wakinga, waanji, wapangwa wakisi na wamanda. Lakini baada ya kugawanywa na kuzaliwa mikoa miwili ya Iringa na Njombe ndipo Iringa imejikuta inabakiwa na kabila la wahehe pekee na yale mengine yote yameangukia mkoa wa Njombe. Sijui busara ipi ilizingatiwa katika mgawanyo huu na sidhani kama kuna mkoa mwingine wenye kabila moja kama upo nielimisheni wadau. Nawasilisha!
Vv