prof.mutunga
JF-Expert Member
- Apr 10, 2013
- 341
- 60
Yaani warudishe mahari kwa sababu ya wewe kukutwa na PICHA..?? You are not serious.... Either umetunga au hao warusha mahari akili ndogo kuongoza akili kubwaKuna yule msinii wa bongo movies tokea ameigiza the oprah,aliuteka moyo wangu vile pindi hicho nimeoa sasa kuna picha yake nimeipata kwa simu akiwa uchi dah?naicheki sasa wife amenikuta mara mbili naicheki ameondoka na wazazi wamekuja kurudish mahari
Mimi nimefurahi kuachwa na wife najua hii chance nitaitumia kumtafuta irin jamani mwenye namba zake anisaidie hawa dume watano nimtolee yeye kama mahari ambao upande wa wife wamerudisha tule bata na mtoto irin plz nisaidieni no.zake wana mmu!
una ela? Kama hauna usijisumbue pale hakuna love wewe utaongea una ngap. Kuanzia million 1.5 kwa siku moja . Unayo?
mie namtaka mkeo ili nikupe namba,
weka humu nasi tuone....tuamini
iv h-baba akisoma hii story anakuweka kwenye kundi gani?, make kapiga huo mzigo na kaona haulipi kiviile.
hizi form four za mulugo ni majanga kwa kweli