Irene Uwoya

Irene Uwoya

Kama mwanamke ni maua, basi ikubalike kuwa huchanua na wakati ukifika hunyauka au kusinyaa.

Kama mwanamke ni tunda basi ikubalike kuna wakati huvutia mlaji kulichuma na kulila na likichelewa kuchumwa huiva sana na kurojeka na kupoteza mvuto wa kutaka kuchumwa bin kuliwa.

Na watu wote waseme Amen.
Amina,mama askofu wewe uko wakati UPI?
 
Sio irene uwoya huyu hata iweje.
Na kamwebhawez kuja kuwa hivi.Yan uwoya ndio wa kuvaa mi tishirt hiyo na viwigi uchwara hivyo vya buku jelo.?

Never
 
Kama mwanamke ni maua, basi ikubalike kuwa huchanua na wakati ukifika hunyauka au kusinyaa.

Kama mwanamke ni tunda basi ikubalike kuna wakati huvutia mlaji kulichuma na kulila na likichelewa kuchumwa huiva sana na kurojeka na kupoteza mvuto wa kutaka kuchumwa bin kuliwa.

Na watu wote waseme Amen.
Sio yeye
 
Back
Top Bottom