Tuttie
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,265
- 1,306
hahaHapo ni ukuta kabla ya skimming
hahaHapo ni ukuta kabla ya skimming
Ah!wapiBado mzuri
Kwa hiyo unahesabu kwa kurudi nyuma??Wema sepetu birthday yake lini ya ķutimiza miaka 27?
Mana mwaka jana tulifanya ya kutimiza miaka 28
Umeona eennhh???Kama mwanamke ni maua, basi ikubalike kuwa huchanua na wakati ukifika hunyauka au kusinyaa.
Kama mwanamke ni tunda basi ikubalike kuna wakati huvutia mlaji kulichuma na kulila na likichelewa kuchumwa huiva sana na kurojeka na kupoteza mvuto wa kutaka kuchumwa bin kuliwa.
Na watu wote waseme Amen.
Hapo hakuna makeup.Sio irene uwoya huyu hata iweje.
Na kamwebhawez kuja kuwa hivi.Yan uwoya ndio wa kuvaa mi tishirt hiyo na viwigi uchwara hivyo vya buku jelo.?
Never
U mean huyo ni yeye???NoooHapo hakuna makeup.
Make up inabadilisha uhalisia wa mtu.U mean huyo ni yeye???Nooo