Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

I now strongly doubt the credentials.
 
AMECHAFUKA KWA KOSA LISILO LAKE 100%, THEY FAILED TO PREPARE THE PUBLIC, AND THAT IS NOT TECHNICAL, IT IS COMMUNICATION

Unapopewa kazi yeyote ile hata kama ni ya ujomba ni muhimu uwe na PROFESSINAL PRINCIPLES; maana yake ni kwamba usifanye kazi kwa utashi wa wakubwa zako bali kwa misingi ya taaluma yako!! Ukifanya hivyo huwezi pata matatizo kwani utakuwa na msimamo wa kukataa kutekeleza yale note ambayo yako kinyume na taaluma yako na hiyo ndio itakuwa kinga yako.
 
Kama binadamu huu utenguzi imenikwaza sana. Tatizo maelekezo pia yanaponza. Mifuko ya hifadhi ya jamii ni issue sensitive mno.
 
Kama binadamu huu utenguzi imenikwaza sana. Tatizo maelekezo pia yanaponza. Mifuko ya hifadhi ya jamii ni issue sensitive mno.
Tatizo sio mifuko ya HIFADHI kuwa sensitive. Tatizo ni serikali kuichakaza hiyo mifuko kwa kutolipa fedha za kuchangia kama MWAJIRI na kuzitumia kwenye mambo mengine
 
Ata uwe na PHD kwenye hayo mambo but kama utaincorporate mambo ya siasa imekula kwako
Ndo. Maana imekula kwake!! Kuna kila. Dalili alijua kua hii sio sawa ila. Kwa kua kuna mkono wa siasa akaingia kichwa kichwa
 
Lol .hahaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…