Irene Charles Isaka, Director General, Social Security Regulatory Authority

Niseme kiukweli mimi ni mmoja ambaye sikuwa nafurahia utendaji wa huyu mama pale SSRA. Suala mmoja la mfano ni pale vionfozi wa PPF walipo wakatalia kuwalipa wastaafu wa ATCL haki zao ambazo wakichangia na muajiri kutopeleka michango hiyo. Sheria ipo wazi PPF inatakiwa kuwalipa wastaafu na wao wadai ATCL. Hata baada ya mahakama kuamuru maki za ATCL zikamatwe ili kufidia nalipo ya wastaafu hao huyu mama alishindwa kuiamuru PPF kuwalipa wastaafu na kufanya kama sheria na kanuni za SSRA zinavyotaka. Hadi leo wazee hao bado wanayumbishwa na hii ni kwa sababu huyu mama hakuwa na uwezo wa kuisimamia hii mifuko.
Si vema kufurahia majanga kwa mwenzio lakini kwa kutenguliwa huyu mama nasema raisi amefanya jambo sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka 2012, apumzike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…