Iranian commandos take over elite Syrian army unit

Iranian commandos take over elite Syrian army unit

Iran ni emperial power,hapana kucheza na hii kitu,
mpaka sasa iraq,syria,lebanon ni completely iran client state,
na yemen vilevile ana influence,
sasa hawa wamarekani,na washirika wananuna sana kwa hizo achievement
 
Washamba tu!

Iran ina jeshi lenye wanajeshi kama laki tano lakini walivyo washamba mkuu wa majeshi ana cheo cha meja jenerali ?!!

Halafu kamanda wa landforces ni brigedia! Wakati katika well civilized countries brigedia ni field officer !
Vyeo havina issue mkuu, issue ni utendaji wa kazi na kiukwel wapo vizuri,
 
Washamba tu!

Iran ina jeshi lenye wanajeshi kama laki tano lakini walivyo washamba mkuu wa majeshi ana cheo cha meja jenerali ?!!

Halafu kamanda wa landforces ni brigedia! Wakati katika well civilized countries brigedia ni field officer !
wewe na Iran nani ana maendeleo?nani yuko civilized kuliko mwenzake?
 
Waarabu walivyolegea hivyo kuna commando hata mmoja ? Kitu gani makomandoo wa Iran walishawahi Fanya duniani zaidi ya kujihusisha tu na ugaidi ?
 
Hao washamba wavuke ng'ambo ya pili Israeli waone commando wa ukweli wakoje !
 
Washamba tu!

Iran ina jeshi lenye wanajeshi kama laki tano lakini walivyo washamba mkuu wa majeshi ana cheo cha meja jenerali ?!!

Halafu kamanda wa landforces ni brigedia! Wakati katika well civilized countries brigedia ni field officer !
Mi naona wewe ndio mshamba, unaonekana umekariri muundo wa nchi fulani.
 
Hawa waizraeli mbona wakawaida sana.sinihawa wanaopigana na hizbullah mwaka 2006 matokeo yakatoka wameshindwa jaman sinihawa
 
Hawa waizraeli mbona wakawaida sana.sinihawa wanaopigana na hizbullah mwaka 2006 matokeo yakatoka wameshindwa jaman sinihawa
Media huwa zinajua kupamba!! Ndio hapohao waliobebwa na wanaendelea kubebwa na mataifa makubwa.
 
Kwahiyo kukosekana kwa hivyo vyeo viwili ndiyo criteria uliyotumia kufikia hitimisho kuwa jesho lao la kishamba na hawana lolote?
Umesahau jeshi hilo hilo lilivyo ntercept na kukama USA Navy seal walioingia kwenye eneo la bahari la Iran?
Umesahau kuwa ni jesho hili hili kila mara lina intercept vyombo vya maji vya USA.
Siyo kwamba ni the best, ila wako vizuri
Halijapatikana jina zuri la kuanzishia vita! Iran ni urojo tu.

Watu weupe wote ni wanyama lakini waarabu licha ya unyama lakini pia ni wakatili sana. Ni hasara kwa dunia.
 
Halijapatikana jina zuri la kuanzishia vita! Iran ni urojo tu.

Watu weupe wote ni wanyama lakini waarabu licha ya unyama lakini pia ni wakatili sana. Ni hasara kwa dunia.
Kuonyesha kwamba hata hujui unachoongea pia unadhani kwamba Iran ni Waarabu...
Iran siyo Waarabu mkuu kajihabarishe zaidi.
Unawaita urojo watu ambao wanazidi pata influence mashariki ya kati kiasi kwamba wanawapa presha USA, Saudi Arabia na Israel?
 
Mi naona wewe ndio mshamba, unaonekana umekariri muundo wa nchi fulani.
Nilijua mujahidinas na ayatullahs mngekuja speed hapa mkitokwa na povu. Israeli makomandoo wao wanahistoria pevu ya kufanya vitu adimu duniani. Kukomboa mateka wao kwenye ardhi ya adui, mfano mmoja wapo Ni entebbe raid !
 
Waitwe ma general ili hoja zife pande zote.
Hoja zako hazina effect kwenye perfomance ya jeshi lao hata wangeitwa viroboto bado isinge affect uwezo wao.
Mbona sisi wale tunawaita makirikiri kwani toka tumewabatiza hilo jina wameanza cheza ngoma ya Botswana?
 
Nilijua mujahidinas na ayatullahs mngekuja speed hapa mkitokwa na povu. Israeli makomandoo wao wanahistoria pevu ya kufanya vitu adimu duniani. Kukomboa mateka wao kwenye ardhi ya adui, mfano mmoja wapo Ni entebbe raid !
That was then this is now...
Hata Japan aliwah kutawala China yuko wapi sasa?
Hata Germany nusura aitawale dunia.
Hata Roma iliwahi kutawala ulimwengu.
Hata jeshi la Tz lilimpiga Idd Amina akakimbia nchi yake.
Weka mahaba ya kuangalia na kujenga hoja kwa kuzingatia sijui hawa ni wajahidin sijui hawa ni wakina nani...
Huwezi kuwa under-estimate uwezo wao kwasasa hawa Waajemi.
 
Back
Top Bottom