pale walimkuta idi amini bogus kabisa nayo unaita operation ileNilijua mujahidinas na ayatullahs mngekuja speed hapa mkitokwa na povu. Israeli makomandoo wao wanahistoria pevu ya kufanya vitu adimu duniani. Kukomboa mateka wao kwenye ardhi ya adui, mfano mmoja wapo Ni entebbe raid !
Hahaha afadhali umesema wewe.::pale walimkuta idi amini bogus kabisa nayo unaita operation ile
Dah mna maneno jmnpale walimkuta idi amini bogus kabisa nayo unaita operation ile
Najua unajua fika kuhusu sheria za makabiliano ya kivita.Hoja zako hazina effect kwenye perfomance ya jeshi lao hata wangeitwa viroboto bado isinge affect uwezo wao.
Mbona sisi wale tunawaita makirikiri kwani toka tumewabatiza hilo jina wameanza cheza ngoma ya Botswana?
Kinachotafutwa ni jina la vita!Kuonyesha kwamba hata hujui unachoongea pia unadhani kwamba Iran ni Waarabu...
Iran siyo Waarabu mkuu kajihabarishe zaidi.
Unawaita urojo watu ambao wanazidi pata influence mashariki ya kati kiasi kwamba wanawapa presha USA, Saudi Arabia na Israel?
We unahisi hawatambuani?Najua unajua fika kuhusu sheria za makabiliano ya kivita.
Huko ndio kunahitaji utambuano.
Ilianza kipindi cha Obama mpaka wakaweka makubariano mezani.Kinachotafutwa ni jina la vita!
Kipigo kiko pale pale!
Ni swala la Muda tu.
Wawe waarabu au waajemi hawako salama.
Huwezi kudhani!Ilianza kipindi cha Obama mpaka wakaweka makubariano mezani.
Trump anataka kuyavunja, huku ana Korea Kaskazini, huku atake kupigana na Iran, bado Russia naye hawako vizuri.
Instead if making America great again akijiingiza vitani he will make America more worse.
Sidhani kama mwenzake UK time hii yuko tayari kupelekwa vitani kama ilivyokuwa Iraq na ambavyo tony blair alikiri kuwa aliingiza nchi kwenye vita bila sababu.
Basi ni kwamba UK hawezi kupigana hii vita watu washachoshwa na kupelekwa pelekwa tu vitani.Huwezi kudhani!
Huna uthubutu.
Air power ya marekani usijiziuke kudhani ni mcheza kombolela mwenzio.
Iran haiwezi kupigwa mpaka iingie kwenye 18, ninauhakika itaingia!
Watu wameanza kuwatengenezea njaa.
Magari yanayotumia mafuta siku zake za kuishi zinahesabika.
"Mungu huwa upande upi wa jeshi kwenye makabiliano ya kivita" Aliulizwa Adolf Hitler.We unahisi hawatambuani?
Marekani yenyewe inakiri kuwa Iran inafanya covert affairs syria, yemen, afghanstan, iraq mpaka palestina.
Wana train majeshi ya syria, hezbolla, waasi wa yemen na huko kote ni balaa na msaada wa Marekani Syria Sadat amegoma kutoka, Yemen shida tupu, Hezbolla kila mara wanamtoa jasho Israel.
Wewe Mtanzania mwenzangu bado unawadharau hawa watu...
Kama alijua hilo mboba naye alidundwa."Mungu huwa upande upi wa jeshi kwenye makabiliano ya kivita" Aliulizwa Adolf Hitler.
"To the strongest battalion"
Iran ni dhaifu tu!Basi ni kwamba UK hawezi kupigana hii vita watu washachoshwa na kupelekwa pelekwa tu vitani.
Kuhusu mafuta hata Marekani anazalisha mafuta au hujui hilo?
Hata Saudi Rabia, Kuwait, Qatar wote rafiki za USA wanazalisha mafuta tena wazalishaju wakubwa kuliko Iran kwa hiyo usidhani kutengenezwa kwa magari au kupigwa marufuku magari yasiyotumia mafuta lengo ni kumdhoofisha Iran.
Vikwazo Iran hajaanza kuwekewa vikwazo leo, lakini vimefanya nini zaidi ya kumwongezea uwezo zaidi wa kujitegemea na kujiimarisha kijeshi?
Kwani Iraq ilipovamiwa ilivamiwa kwasababu gani? Tena walikuwa wanajua kabisa kuwa Sadam hana silaha za maangamizi.
Iran siyo kama Iraq wala Libya japo haiwezi kumshinda USA lakini haiwezi kuwa vita rahisi kama walivyomwondoa Saddam
Pale Mtazania wa Kolomije anapo dharau jeshi la Iran ambalo anaowasifu USA wao hawalidharau.Iran ni dhaifu tu!
Kujitutumua ni kanuni ya maisha.
Watachezea kichapo kazi iwaendee wamama kutakiwa kuzaa saaaaana wapatikane wapiganaji.Kama alijua hilo mboba naye alidundwa.
Muda mwingine Kundi tu la wanamgambo linawatoa kamasi jeshi la nchi kama Israel mpaka wanakubari kuingia makubariano.
Vita muda mwingine siyo silaha tu..
Lets call it a dayWatachezea kichapo kazi iwaendee wamama kutakiwa kuzaa saaaaana wapatikane wapiganaji.
Silidharau kwa sababu ya uwezo tulionao, bali kwa kuwalinganisha na marekani wao ni dhaifu tu.Pale Mtazania wa Kolomije anapo dharau jeshi la Iran ambalo anaowasifu USA wao hawalidharau.
Basi sawa
Give thanks to the Almight God.Lets call it a day
Unaona sasa kuwa ulikuwa wabishana bure bure, maana mada haikuwa kupeleka macomando wake wakapigane na Marekani, bali kawapeleka Syria wakatrain jeshi la Syria.Silidharau kwa sababu ya uwezo tulionao, bali kwa kuwalinganisha na marekani wao ni dhaifu tu.
Hakuna terminology ingine.
Ni wadhaifu, sio goigoi.
Mbona unavunja makubaliano?Unaona sasa kuwa ulikuwa wabishana bure bure, maana mada haikuwa kupeleka macomando wake wakapigane na Marekani, bali kawapeleka Syria wakatrain jeshi la Syria.
Yani ni sawa uambiwe JWTZ imepelekwa Congo uje uanze sema ni goigoi haiwezi pigana na Marekani.